Kwanini Unaamini Mungu yupo?

Actually ni kinyume kabisa. Ukiangalia creatures lazima utaona kuwa kuna creator. Sababu viumbe haviwezi kuwepo bila muumbaji. Leo hii ukitembea msituni ghafla ukaona picha imechorwa pahala, lazima utasema kuwa kuna mchoraji under no circumstance utasema kuwa hiyo picha imetokea tu under the influemce of evolution which took place over billions of years (kama evolutionists wanavyoargue).

Kila kitu, milima, viumbe hai, visivyohai, mpangilio wa sayari, mzunguko wa dunia etc proves that there is an intelligent Designer.
Tatizo ni huyo creator alitoka wapi au yeye ameumbwa na nani au na nini?
 
If you could urge with religious people, there would be no religion.
Fortunately I'm not religious and I don't believe in religion for religion is a work of man and it is, quite often than not, flawed. But "The Gospel" isn't. Don't confuse the two
 
Naamini sababu yeye ni wa kwanza kusema mimi Mungu nipo. Asingesrma watu wasingejua kama kuna Mungu. Ingekua kweli hamna Mungu, nawala watu wasingejua mungu ni nini.
 
Mimi naamini Mungu yupo kwa kuwa tu dunia na viumbe vyake na mimi mwenyewe nilivyo ni majabu sana bila uwezo wa Mungu nisingekuwa hivi na kikubwa kabisa kinacho sababisha niamini kabisa ni kifo tu utapiga kila kitu utafanya kila kitu ila lazima utakufa tu hapo ndiyo Mungu alijizirisha kwetu
 
Tatizo ni huyo creator alitoka wapi au yeye ameumbwa na nani au na nini?

Assumptions za wengi zinadisplay that you are thinking of the wrong god. Tatizo tunataka kum-fit Mungu katika mazingira ambayo tunayoishi sisi.

Kwa mfano wengine wanauliza kama Dunia iliumbwa na Mungu, basi Mungu alitokea lini? Jambo la kwanza la kutambua ni kwamba Mungu wa biblia hadhuriwi na muda (time), nafasi (space) wala maada (matter).

Kama anakuwa affected na time, space and matter huyo sio Mungu! Ninaomba kuanzia mbali kidogo;

1. 1. Time, space and matter inaitwa continuum (all of them has to come into existence at the same instance) vinategemeana. Sababu kama kuna matter but no space, WHERE would you put it? Kama kuna space and matter but no time, WHEN would you put it? Hauwezi kuwa na time, space or matter independently, they have to come into existence simultaneously.

2. 2. Sasa basi, Biblia inajibu haya maswali kwa maneno kumi; In the beginning (TIME), God created the heavens (SPACE) and the earth (MATTER).

3. 3. Sasa kuna time, space and matter, created a trinity of trinities: Time is PAST-PRESENT-FUTURE, Space has LENGTH-WIDTH-HEIGHT, Matter has SOLID-LIQUID-GAS.

4. 4. So tuna trinity of trinities created instantaneously, and the God who created them has to be OUTSIDE of them. IF HE IS LIMITED BY TIME HE IS NOT GOD!

Mtu aliye create hiyo device yako (simu au computer) hayupo ndani ya computer running around in there changing the screen. Likewise, the God who created the universe is outside the universe, He is above it, beyond it, in it, through it, He is unaffected by it!
Your questions assume a limited God na hapo ndio kuna tatizo, kama ningeweza kumuelewa Mungu kwa ubongo wangu asingestahili Ibada yangu!
When we try to fit God in the context of this universe (designed by Him) tunakua tunakosea mno! Ku-question the existence of God, metaphorically speaking, ni kama numbers za kwenye computer yako zikaanza ku argue kwamba hazijawa created au hakuna intelligent designer kwa sababu tu hazimuoni ndani.
 
Mungu kama yupo,hana haja ya kujificha inabidi ajidhihilishe tu aseme alitoka wapi na yuko wapi.
 
Atafanya hivyo, ultimately. Swala ni je utakua upande gani?

Majibu yapo na you can experience him personally. The thing is, we often choose to neither listen nor seek him. It is our iniquities, rather, that distances us from him (Isaya 59: 1-2).
 
Kwa sabau ni ngumu kuelewa jinsi dunia na viumbe vyake vilivyoumbwa kwa ustadi mkubwa.
 
Atafanya hivyo, ultimately. Swala ni je utakua upande gani?

Majibu yapo na you can experience him personally. The thing is, we often choose to neither listen nor seek him. It is our iniquities, rather, that distances us from him (Isaya 59: 1-2).
Mimi nakuhakikishia Mungu hayupo,nimesoma revolution za imani zote,nikagundua ni ujanja ujanja tu,watu kama Papa wa Vatican Wanajua kabisa Mungu hayupo.na Vatican siri za imani zote ziko pale,ndomana kuna maktaba pale hazifunguliwi zinahusu mambo ya dini ya zamani.
 
Kwanza niseme hongera for the initiatives za kutafuta ukweli, Kudos! Binafsi ninaamini kuwa si vema kuamini kitu dogmatically na kimapokeo kwa sababu tu fulani anaamini. We are a society that is blessed with abundance of sources of information, ironically, that blessing is also a curse due to information overload. Ni muhimu kufahamu ni nini unatafuta na unatafuta kwa namna gani.

Secondly, never judge a philosophy by its abuse. Ndio maana ninarudia mimi sio muumini wa religion (Roman Catholic being among them) but the world of God only!

Tatu, huwezi kusema kuwa unanihakikishia kuwa Mungu hayupo kwasababu umesoma conspiracy articles flani ambazo am positive kuwa I know about them. Kisayansi, ili upate reaction flani ya chemicals ni lazima ufuate procedure na conditions fulani otherwise hautafanikiwa kabisa kupata reaction unayopata. Likewise, the word of God is clear on how we can experience God. Unless you follow what is stipulated in THE WORD and still not experience his presence, you can not justify with absolute certainty (like how ur trying do) that God doesn't exist for I followed the word and have experienced him. Check your methodology my dear brother.
 
Kwanza niseme hongera for the initiatives za kutafuta ukweli, Kudos! Binafsi ninaamini kuwa si vema kuamini kitu dogmatically na kimapokeo kwa sababu tu fulani anaamini. We are the society that is blessed with abundance of sources of information, ironically, that blessing is also a curse due to information overload. Ni muhimu kufahamu ni nini unatafuta na unatafuta kwa namna gani.

Secondly, never judge a philosophy by its abuse. Ndio maana ninarudia mimi sio muumini wa religion (Roman Catholic being among them) but the world of God only!

Tatu, huwezi kusema kuwa unanihakikishia kuwa Mungu hayupo kwasababu umesoma conspiracy articles flani ambazo am positive kuwa I know about them. Kisayansi, ili upate reaction flani ya chemicals ni lazima ufuate procedure na conditions fulani otherwise hautafanikiwa kabisa kupata reaction unayopata. Likewise, the word of God is clear on how we can experience of God. Unless you follow what is stipulated in THE WORD and still not experience his presence, you can not justify with absolute certainty (like you did) that God doesn't exist for I have followed the word and have experienced him. Check your methodology my dear brother.
Kiongozi,haingii akilini binadamu afurahie kula nyama ya mbuzi au ng'ombe ambaye anakula kama yeye,anafanya mapenzi kama yeye,anazaa watoto kama yeye halafu anajifariji eti hivi vitu tulipewa na Mungu,uongo mkubwa,halafu Simba akimla binadamu,binadamu huyohuyo,hasemi kama simba ana zambi....
 
Sina hakika kama nimeelewa vizuri point yako mkuu. But what I can say is uliloelezea proves the point that, kama maandiko yasemavyo, binadamu tumeumbwa in the likeness of God, with intellect and free will. Ndio maana binadamu (katika point hiyo ya kula) anaweza amua kuwa pure vegetarian au vegan japo ni omnivorous. Lakini carnivorous watabaki hivyo kama ilivyo kwa herbivorous.

Everything was created with a principle inside it; a fish to swim, a tree to grow, birds to walk n fly, humans to rule. Life to sustain life
 
Fortunately I'm not religious and I don't believe in religion for religion is a work of man and it is, quite often than not, flawed. But "The Gospel" isn't. Don't confuse the two
So how did you come to know about your God?
 
Mungu yupo na naamini yupo kwasababu YUPO! Kwa mkristo(aliye wa kristo) sio ukristo wa kurithi, Roho mtakatifu akisha ishi ndani yako kila kitu UTAJUA! KWA KUWA YEYE NI NAFSI HALISI YA MUNGU,ANAJUA YOTE,YUPO KILA MAHALI NA NI WA MILELE.
 
Sina hakika kama nimeelewa vizuri point yako mkuu. But what I can say is uliloelezea proves the point that, kama maandiko yasemavyo, binadamu tumeumbwa in the likeness of God, with intellect and free will. Ndio maana binadamu (katika point hiyo ya kula) anaweza amua kuwa pure vegetarian au vegan japo ni omnivorous. Lakini carnivorous watabaki hivyo kama ilivyo kwa herbivorous.

Everything was created with a principle inside it; a fish to swim, a tree to grow, birds to walk n fly, humans to rule. Life to sustain life
No creation made,hayo maandiko hayana ushahidi..

Kama binadamu angeumbwa kutawala asingeliwa na simba
 
Logic gani sasa hii!!!

Basi haya tukae kundi moja na hao wanyama wengine kama unavyopenda,simba wanaweza kukutega wakukamate na kwenda kukufuga kwenye himaya yao???
 
Back
Top Bottom