Kwanini Tendwa hajasema chochote juu ya Brigade ya CHADEMA

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kuna nini hapa hadi Bwana Tendwa kukaa kimya juu ya Brigade ya Chadema?

1. Je kwa kuwa CCM wameshikwa pabaya kwa kuwa nao wanayo

2. Au kwa kuwa kasaini katiba ya chama bila kusoma?
 
Tendwa ni mwanasheria. Ungetegemea aseme nini kuhusu Red Brigade wakati anajua fikA KUWA KUNA WENYE GREEN GUARD NA WENYE BLUE GUARD? Labda angesema kuwa Vyama vyote vyenye hizi guards vifutwe. Sawa.
 
Tendwa ni MNAFIKI WA KUPINDUKIA...! Na asipoangalia yatamkumba yalomkumba Mh Kivuitu(Marehemu Mungu amweke pahala pema Peponi) huko nchi jiran ya Kenya...!
 
Napendaga jinsi anavyolembuaga macho jamani,nimemmis sana shemeji.
 
Bila kumung'unya nasema hivi Tendwa hawezi kuongea chochote kuhusu Red Brigade kwa sababu kuna Blue Guard iliyodumu miaka yote ya CCM.
 
Kuna nini hapa hadi Bwana Tendwa kukaa kimya juu ya Brigade ya Chadema?

1. Je kwa kuwa CCM wameshikwa pabaya kwa kuwa nao wanayo

2. Au kwa kuwa kasaini katiba ya chama bila kusoma?

aseme wakati yeye mshitakiwa wa kwanza kwa kusajili katiba ya chadema ambayo inasema waziwazi kuhusu red brigedia!
 
mkuu aliemweka kitengoni katAMKA HAKUNA CHA WHITE OR RED BRIGED HIVYO HUYO KUTENDWA HANA JIPYA
 
Khaa!! huyu alisema anaweza kukifuta chadema. Labda anatafsiri sheria ya kukifuta :bored:
 
Hawezi kufuta chadema wala hawezi kuongea chochote kwa kuwa RB IPO ndani ya katiba ya chama na aliipitia kabla ya kusajili chadema. Na isitoshe yule yee mwenyewe ccm imeshamchosha ni vile njaa inamsumbua lakini kimsingi amechaka na ccm.
 
Back
Top Bottom