Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
Ni ili kuhalalisha, atakapozaliwa mtoto asije akaitwa Mtoto Haramu.........., si unajua hizi Dini zetu za mapokeo na misamiati yao...
Eti kuna mtoto Haramu na Mtoto halali
Mpwa mbona leo topic nyingi sana kwema? huko sasa huko Mpwa mbali bhana, wewe umejuaje kuwa wanaoa wakiwa wajawazito? haha Mpwa acha uchokozi huwa tunaangalia kama shamba lina mazao wakati huo huo shamba nalo likiangalia kama mbegu zina uwezo wa kuoteshwa.....
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
Mr. Rocky, kwani utra sound inasoma vinasaba au jinsia?Kuhakikisha kuwa hujauziwa mbuzi kweney gunia badala ya mbuzi ukakutana na mbwa

Maana matatizo ni mengi sana siku hizi tena pande zote mbili

Yaani ukihakikisha wewe mwanaume uko fit na mwanamke yuko fit hapo sasa naweza tangaza ndoa

Testing, testing. One, two, three....

Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo

Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....
Testing, testing. One, two, three....
Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo
Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....
mmmh.... kwenye hiyo red part umeniacha..Testing, testing. One, two, three....
Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo
Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....
Kwa mwanamke anaweza kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa yuko fit, lakini kwa mwanaume inaweza kuwa majaliwa au bahati na sibu tu, maana anaweza kuwa amepewa msaada na Bujibuji au mwanaume mwingine yeyote.Kuhakikisha kuwa hujauziwa mbuzi kweney gunia badala ya mbuzi ukakutana na mbwa
Maana matatizo ni mengi sana siku hizi tena pande zote mbili
Yaani ukihakikisha wewe mwanaume uko fit na mwanamke yuko fit hapo sasa naweza tangaza ndoa
Hili nalo pia nenoKwa mwanamke anaweza kuwa ajihakikisha yuko fit, lakini kwa mwanaume inaweza kuwa majaliwa tu, maana anaweza kuwa amepewa msaada na Bujibuji au mwanaume mwingine yeyote.
AD , ni Kweli waweza kuta maki haifanyikazi na muda umeupoteza ...Testing, testing. One, two, three....
Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo
Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....
Mr. Rocky, kwani utra sound inasoma vinasaba au jinsia?
Kwa mwanamke anaweza kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa yuko fit, lakini kwa mwanaume inaweza kuwa majaliwa au bahati na sibu tu, maana anaweza kuwa amepewa msaada na Bujibuji au mwanaume mwingine yeyote.