Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

Kwangu bila kushughulikia matatizo ya makato kibao ya tanesco na hizo sijui ndo service charge.... service yenyewe hatuion.Bila kushughulikiwa sijauona ubora wa JPM, wazir husika utusaidie.... ilisemekana bei ingepungua baada ya matumizi ya ges lkn hakuna lolote
 
Yaani kweli kama tukiweza kufanya maandamano ya amani nchi nzima kupinga huu unyonyaji najua muhongo ni mzalendo na uncle magu ni mzalendo pia wasikie kilio chetu hiki oooooiiii wananchi tunakamuliwa sana
 
Mkuu maandamano ya nini wakati TANESCO wanaofisi kila sehemu na wanapokea maoni.
 
Kwa kifupi tanzania hatuna viongozi wenye kuwapigania wananchi wake,hili swala likipata watu kama albania marcus,renatus mkinga,kina balile wakilikomalia itaondolewa maana ni wizi nawalipa EWURA,REA for what? 6700 ya nini? 4% kila nikinunua umeme ni wizi.
 
Kwa kweli TANESCO nalo ni jipu tu , kwenye 30,000 makato ni 10,000 nzima

LUKU

SELCOM3EMDB21981826
66.50kWh

4405 2403 6534 2095 4536

Cost TZS 19,807.87
Service Charge TZS 5,520.00
VAT 18% TZS 4,559.02
EWURA 1% TZS 253.28
REA 3% TZS 759.83
TOTAL TZS 30,900.00
 
Last edited:
kwa upande wangu sijawahi kutumia umeme wa zaidi ya unit 75, na nimeshawataarifu tanesco waniondolee service charge wamekataa na nimemaliza mwaka sasa bila mafanikio yoyote. Inaumiza sana.
 
KWA UWELEWA WANGU MDOGO, NI SAWA SAWA NA MUUZA DUKA AMBAYE UNANUNUA BIDHAA KWAKE ALAFU ANAKWAMBIA "PIA LAZIMA ULIPIE GHARAMA ZA MIMI KUANZISHA DUKA LANGU-MBALI NA ULICHONUNUA"

MAGUFULI HILI JIPU TENA BAYA SANA. LITUMBUE MAPEMA.
 
Asante Mkuu kwa swali zuri, ni kweli kabisa mita ni mali ya TANESCO, lakini kumbuka TANESCO haitengenezi hizo mita, mita zinanunuliwa na mbali ya hivyo kunavitu vingi Kama cable, mafundi wanapokuja kwa mteja pia mafuta, kuna vifaa vingi, matatizo ya kiufundi mteja anaweza kuyapata ya aina mbalimbali na sio mita tu.

Fikiria upige simu TANESCO unatatizo uambiwe ili mafundi wafike unatakiwa ku gharamia 50,000 kama gharama ya ufundi ingekuwaje?

SERVICE CHARGE haina tatizo na ipo kisheria nafikiri mada ingejikita zaidi kwenye kuboresha huduma.
Mkuu Koleba,
Nasubilia umjibu Kandawe kuhusu uhalali wa kulipia EWURA na REA ndo nikuulize swali.
Asante.
 
Malipo yamekamilika.37142027194
Rcpt MAXCO33EMDB20775793
Units 31.8KWH

Token 1966 3327 9463 9236 2283

Cost TZS 9451.81
Serv Charge TZS 11040.00
Tax TZS 4508.19
Total TZS 25000
eS 08/12/15 23:09

Inaumiza sana kwa kweli...hebu oneni hiyo serv.charge
 
Mkuu maandamano ya nini wakati TANESCO wanaofisi kila sehemu na wanapokea maoni.
Mkuu, huko juu umekuwa ukisema kuwa mteja akipata 'tatizo lolote' ndo service charge inapohusika, ni tatizo gani hilo unalomaanisha? Na ile mita ni ya tanesco kwa nini unaijumlisha kwenye makato haya? Kwa mwaka ni wateja wangapi wanabadilishiwa mita zao? Na kama ni hivyo bora waombaji wapya wapewe mita bure maana zinalipiwa kwenye matumizi ya kila mtu! Hebu jibu swali hili; Hizi kampuni zinazoishi kwa mgongo wa Tanesco kama Iptl, Aggreko(?), Songas, Simbion nk zinalipwa capacity charge kwa hela ipi?
 
Kwa kweli TANESCO nalo ni jipu tu , kwenye 30,000 makato ni 10,000 nzima

LUKU

SELCOM3EMDB21981826
66.50kWh

4405 2403 6534 2095 4536

Cost TZS 19,807.87
Service Charge TZS 5,520.00
VAT 18% TZS 4,559.02
EWURA 1% TZS 253.28
REA 3% TZS 759.83
TOTAL TZS 30,900.00
Malipo yamekamilika.37142027194
Rcpt MAXCO33EMDB20775793
Units 31.8KWH

Token 1966 3327 9463 9236 2283

Cost TZS 9451.81
Serv Charge TZS 11040.00
Tax TZS 4508.19
Total TZS 25000
eS 08/12/15 23:09

Inaumiza sana kwa kweli...hebu oneni hiyo serv.charge
Hivi kuna nchi ina umeme wa gharama zaidi ya Tanzania duniani?
Unatoa 30,000 unapata umeme wa 20,000?..
Kwa hali hii hivyo viwanda itakuwa ni ndoto..Utapata faida gani kwa bei hii ya umeme?
 
Service Charge bila VAT ni 5520, ukiweka VAT 5520+(22%) Jumla ya service charge Tsh. 6734.4 NA SIO Tsh. 7400 KAMA ULIVYOSEMA.
Koleba upo sahihi kabisa
mimi leo nimetoa 15,000/= nkapewa unit 4.3 eti ni kwa 1,255.09
na wamenikata service chsrge miezi 2 Disemba 2015 na January hii jumla 11,040
Swali Koleba
mwezi Novemba niliwapa Tanesco 60,000/=wakanipa unit 85 nahisi na Service charge ya mwezi huo, mpaka sasa ninao umeme, kwanini wasingekata hukohuko kwa miezi inayofuata?ambayo mteja ATATAKA?
SWALI 2
je hii risit ya leo niliyolipia miezi 2 IKAPOTEA kabla ya kuingizamshine ya Tanesco itanidai upya?

ushauri wa maana ya Service charge ungekuwa sawa na ule wa maji safi na maji taka
Huduma ya maji ikikufikia,utumie au mita itolewe kwa ajili ya Deni Service charge utaikuta kila mwezi kwani wao wanadai mashine zao zina kuletea (Pump) mpaka hapo kwako kwa msukumo mkubwa
zaidi ya hapo TANESCO watakuwa wanatuibia km tutamlipa Habinder Sigh Capacity charge
bora mabwawa yafufuliwe
au tukanunue umeme Kenya au Zimbabwe
 
Last edited:
Ukweli kama ni kujali wananchi hii gharama ipunguzwe au iwe flat rate let's say 10,000 kwa mwaka
 
Service charge inalipwa maramoja kila mwezi, na usipolipa mwezi uliopita mwezi huu utakatwa mara mbili, makato ya mwezi uliopita na makato ya mwezi huu.

Huwezi ukalipa service charge ya mwezi ujao, mfano hata ukinunua umeme wa 60,000 utakatwa service charge ya mwezi huu. Mwezi ujao kama bado utakuwa na umeme itakulazimu ununue umem kidogo ili kulipia service charge.

Ukishalipia service charge hata risiti yako ikipotea kabla hujaweka umeme huwezi kutozwa tena pesa. Na umeme wako utaupata ukipiga simu TANESCO watakusomea token zako(umeme) kwa maana hiyo utauweka.

Karibu kwa maswali zaidi Asante
 
Ukweli kama ni kujali wananchi hii gharama ipunguzwe au iwe flat rate let's say 10,000 kwa mwaka

Haiwezekani ikawa hivyo ndugu yangu, kumbuka hiyo inajumlisha huduma ambayo utapewa pindi utakapo kuwa na matatizo ya kifundi utahudumiwa bila kulipia gharama yoyote. Mfano service charge ilitolewa muanze kulipia gharama za ufundi ni wateja wangapi watamudu?
Mfano mita mbovu TANESCO mita unanunua, uniambiwa ulipoenda Fundi, na gharama za usafiri itakuwaje.ku l
 
kuna jambo liko nyuma ya pazia, tunalipia ile capacity charge kule IPTL kwan kule mkataba mbovu tulioingia weather IPTL wazalishe umeme kwa tanesco au wasizalishe still tunalipa capacity charge ndio maana hata sisi iyo ya luku tunalipa regardless tumetumia au la vinginevyo tutashindwa lipia deni la iptl ambalo ni jipu hata maguful haliwez
 
Mkuu, huko juu umekuwa ukisema kuwa mteja akipata 'tatizo lolote' ndo service charge inapohusika, ni tatizo gani hilo unalomaanisha? Na ile mita ni ya tanesco kwa nini unaijumlisha kwenye makato haya? Kwa mwaka ni wateja wangapi wanabadilishiwa mita zao? Na kama ni hivyo bora waombaji wapya wapewe mita bure maana zinalipiwa kwenye matumizi ya kila mtu! Hebu jibu swali hili; Hizi kampuni zinazoishi kwa mgongo wa Tanesco kama Iptl, Aggreko(?), Songas, Simbion nk zinalipwa capacity charge kwa hela ipi?
kwa upande wangu sijawahi kutumia umeme wa zaidi ya unit 75, na nimeshawataarifu tanesco waniondolee service charge wamekataa na nimemaliza mwaka sasa bila mafanikio yoyote. Inaumiza sana.
naomba namba yako ya simu na mita namba yako Mkuu,
 
Back
Top Bottom