nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 442
- 299
kila kitu kina mwanzo na mwisho wake hata uvumilivu nao una mwanzo na mwisho wake,thus why wanawake wengi (sio wote) walioolewa hutoka nje ya ndoa zao ,kila siku mtu anakuja na vimbwanga vipya leo umemfuma na hili kesho unakutana na kubwa kuliko hata lile la jana,na sie hatuna roho za chuma mwishowe lazima tu utakachoka thus why watu huamua kutafuta watu wa nje wa kuwapunguzia some stress!
NB:Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!
NB:Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!