Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Li CV zito ila mkuu ungetuwekea miaka uliyokuwa ukiyafanya hayo. Pia kule kwenye FB nimeona katika College umetaja UDSM ila hapa siioni!

- Nah! those are my FB fans who are always adding things in my CV that I never did, not only UDSM but if you look at it carefully you 'ill find a lot of other stuff that were added that I have nothing to do with, but I always respect my fans wish!

William.

W
 
Mkuu komaa na mchakato mwanzo-mwisho, linda kura kama chadema BUT usije kutugeuka!

hawa ndio wanavyokuwaga wanapokuwa na shida wanakuwaga wapole ngoja apate, mtachoka. wallahi tena huyu atawasaliti tu hawana maana waccm hata jf ataona wajinga. atakuwa bize na michakato, mipango, harakati, isiyotekelezeka. haya ndugu malecela kila la heri.
 
- Nah! maan just want you the people to be rest assured that, English which the language used in the EAC Assembly will never be an issue to us, we can speak it very well and write it too. I mean it is important that you know now that you are sending someone who can master the language well.

William.

if language is the case, mbona kuna watu wana Master mpaka za Linguistic???
We unachoangalia ni lugha tu ila UCHUMI umekupitia pembeni???
nchi inaenda kuuzwa tena.
 
Kweli umezichezea kodi zetu huko USA sasa unataka na ututawale tena? Mshukuru sana baba yako wewe la baharia

- Naah! maan I paid for my education in Europe na US, sure did not pay here in Tanzania cause under Awamu ya kwanza, education was free for all Tanzanians, I want to believe you be civilized enough to apologize for this!

William.
 
Neno KUMKOMA NYANI kama kihuni vile!
Hatutaki toz kuiwakilisha nchi yetu.
Tunataka watu wanaojiheshimu, wanaowaheshimu na kuwapenda watu wote, tunataka kiongozi wa vitendo siyo wa maneno mengi kama chiriku.

kaka pole sana hiyoi ni lugha JF miaka hiyo ikitwa JamboForums, Unaonekana huu mgeni humu!!
Ilikuwani "Kumkoma NYANI GULABU"
 
- Nah! maan just want you the people to be rest assured that, English which the language used in the EAC Assembly will never be an issue to us, we can speak it very well and write it too. I mean it is important that you know now that you are sending someone who can master the language well.

William.

Nadhani uwezo wa kusimamia na kutetea "issues" ndio kigezo kikubwa kuliko uwezo wa kuongea kiingereza. Kwa upande wangu nionavyo una uzoefu kiduchu sana wa kisiasa baada ya kusoma profile yako: inabidi mkuu ujifue ili kujijengea zaidi uzoefu huu.
 
if language is the case, mbona kuna watu wana Master mpaka za Linguistic???
We unachoangalia ni lugha tu ila UCHUMI umekupitia pembeni???
nchi inaenda kuuzwa tena.

- I was responsible for Transportation and Financial part of my company that I had worked for the last 23 years in New york city, now if I could do that in New York and help the company to stand for all those years, do you really believe that I will have a problem understanding the economics of EAC? Pleaase!

William.
 
Lugha gongana hapa.
Kunta Kinte wacha hizo! Kiingereza sio lugha yetu acha ulimbukeni na ushamba. Alichoandika kinaeleweka kabisa. Unajua nini ma-niga wa kuchovya huwa mnafikiri lugha ni elimu. Mbona wazungu wanapokosesea Kiswahili husemi lugha gongana, Wewe ni mtumwa wa hali ya chini sana unayejifanya umegeuka m-amerika mweusi Koma kabisa na elimu yako feki ya kwenye makaratasi.
 
my profile:
1. Born in tukuyu.
2. Jamhuri primary school, mnazi mmoja; dsm.
3. Kwiro secondary school, mahenge; morogoro.
4. Kidatu sugar instituon, kilombero; morogoro.
5. Dsm marine engineering school (dmtu), dsm.
6. Field kagera sugar factory, kyaka; bukoba.
7. Field mv. Bukoba, mwanza; mv. Mwongozo & liemba; kigoma.
8. Jkt oljoro/makuyuni, camps; arusha.
9. Cmb marine engineering insistute; antwerpen, belgium.
10. Field cmb-belgian shipping line ( as assistant engineer)
11. Worked tanzania/chinese shipping company; dsm/hongkong.
12. Associate degree in criminology & police science; westchester college in new york, usa.
13. Ba in political science, lehman university at new york city, usa.
14. One year internship at dominican republic permanent representative to the un, general assembly; new york; usa.
15. Worked at sterycircle inc, as class a haz mat & poison at disposal facilities. Dealing with (transportation + financial covering the incinerator)
16. Started ccm branch in new york city, usa.

- now aspiring to represent our nation, to the eac assembly.

William.
mambo poa tunakutakia kila la kheri,tunafahamu ya kua unania nzuri kuliwakilisha taifa letu katika bunge hilo.hapa tatizo ni chama unachopitia ccm kwani chama hicho kinautaratibu wake ambao sio wa kawaida wanaoamua useme nini upige kura vipi ni viongozi wa juu wa chama ndio watakaoamua.(hakuna demokrasi ndani ya chama tawala ccm)hivyo mchango wako katika bunge hilo itategemea na maamuzi ya chama chako ccm,kwa hiyo dhamila yako na nia yako nzuri ya kutaka kutuwakilisha itakua likizo mpaka mfumo wake utakapobadilika.mungu ibariki tanzania.
 
Non-Accredited Colleges & Universities!

- I can leave with that, but for your info the current New York City, School Chancellor went to the same University that I did, however let me move to the next level if you know what I mean, my Case!, believing that we are all on the same page!

William.
 
- Nah! maan just want you the people to be rest assured that, English which the language used in the EAC Assembly will never be an issue to us, we can speak it very well and write it too. I mean it is important that you know now that you are sending someone who can master the language well.

William.

Tayari ushatuonyesha vingine, kwamba kiingereza hujui.

Yaani huyu bwana hata anapoamua kutuonyesha kwamba kiingereza anakijua, kuandika sentensi mbili zilizonyooka za kiingereza mgogoro.
 
- Naah! maan I paid for my education in Europe na US, sure did not pay here in Tanzania cause under Awamu ya kwanza, education was free for all Tanzanians, I want to believe you be civilized enough to apologize for this!

William.

And you have the audacity to brag about your English language skills?! SMH
 
Nadhani uwezo wa kusimamia na kutetea "issues" ndio kigezo kikubwa kuliko uwezo wa kuongea kiingereza. Kwa upande wangu nionavyo una uzoefu kiduchu sana wa kisiasa baada ya kusoma profile yako: inabidi mkuu ujifue ili kujijengea zaidi uzoefu huu.

- Maaan One year at the General Asembly, is not enough to understand poilitics of the EAC? What politics are talking about, Diwani?

William.
 
- Naah! maan I paid for my education in Europe na US, sure did not pay here in Tanzania cause under Awamu ya kwanza, education was free for all Tanzanians, I want to believe you be civilized enough to apologize for this!

William.
William Hebu acha kutu danganya mbona sisi hatukupata hizo nafasi za kwenda USA tukiwa wadogo kipindi hicho Kama wewe? Wewe ulitumia influence ya baba yako wakati akiwa madarakani ambaye tulikuwa tunamlipa posho nyingi tu kutokana na kodi zetu. Halafu ni kiingereza gani hichi unachotumia Kama kiongozi mtarajiwa -" Naah! maan" wewe ni pdiddy Hebu acha Ulimbukeni haraka sana
 
Tayari ushatuonyesha vingine, kwamba kiingereza hujui.

Yaani huyu bwana hata anapoamua kutuonyesha kwamba kiingereza anakijua, kuandika sentensi mbili zilizonyooka za kiingereza mgogoro.

- Ha! ha! ha! now let me get on with the next phase, what is my case! ha! ha! ha!

William.
 
Kwa mtindo huu ka ukishinda, na wewe unakuwa mzigo kwa taifa..
 
Back
Top Bottom