Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

I would like to comment on two things: William's choice of language in this thread and issues of EAC

With all due respect I think the use of broken English, sometimes slang, damages William's credibility and suitability for the position he runs for. Countless gramatical errors in William's posts raise red flag on his ability to pay attention to details. Moreover, non-English JF members can easily feel offended to have their posts answered in the language they seldom understand. William I think your compaign team isn't advising you well on this. Clean, professional, and standard language is a must-have item if the campaign is to yield the desired outcome.

That said I fail to understand William's stand on the pressing issues of the EAC. Personally I would like William and other contenders for the position to answer the following questions to earn my vote:

1) What is economic argument against EAC single currency?
2) Should Tz and other EAC members gain equally from EAC for the EAC to be considered beneficial to Tz?
3) Has the EAC made Tz worse off since its inception in late 90s? If so how?
4) The demise of EAC in 1967 is attributed to counter productive political environment in Tanzania, how does EA parliament going to make sure that the new EAC is here to stay? What policies need to change in the respective member states with that regard?
 
Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia...na kinachonitisha zaidi William anaelekea kuwa kwenye kundi moja na yule Dr Feki aka Dr Shayo.


Kwa nini Baharia asijibu haya maswali once and for all ?


mimi nataka nihamie kwa Dr Feki lakini kuna hiki kiporo cha Wills


tafadhali fafanua haya kwa faida ya wote humu
.............................. .............................. ......................










Hoja zake kubwa ni hizi:




1. Anasema hakuna haraka ya kujiunga na Federation kwa sababu wananchi hawajaelemishwa...ni kweli kabisa lakini amesahau kuwa hili suala halikuanza kuangalia leo wala jana na si kazi ya nchi zingine kuwapa wa Tanzania elimy juu ya hii federation.




2. Amesema kuwa Tanzania itapata matatizo ya uchumi kama Greece ambayo imepata matatizo ya uchumi kwa sababu imeingia kwenye Euro. Lakini ukweli ni kuwa si kweli matatizo ya Greece ya uchumi ya Greece hayakutokana na kujiunga na Euro bali matatizo ya Greece yametokana na Greece (serikali) kutokuwa makini kwenye spending yao,cheap lending and failure to implement financial reforms ambayo essentially iliacha Greece kuwa badly exposed wakati global economic downturn ilipostruck. Hii haiuhusiani na Greece kujiunga na EU .




3. Amesema kuwa watanzania wengi walipo nje (diaspora) ni wepesi kukosoa serikali na utawala nyumbani kwa sababu ni CHADEMA...sijui kazitoa wapi hizi data lakini naaamini kuwa William amekuwa too simplistic na accusations zake. In short anataka kuwafanya waTanzania wajinga kiasi cha kuwa no one can think critically and independently na hatuna option zaidi ya CHADEMA.




4. William anasema kuwa angefurahi sana kama National Service ikarudishwa ili kurejesha uzaelndo kwa vijana lakini ukweli kasahau:




a) Kwa nini iliondolewa in the first place




b) Uzalendo hauwezi kupatikana kwa kulazimishana




c) Atapata wapi budget ya kuirudisha hiyo National service




d) Uzalendo haupatikani kama serikali haitazami wananchi wake




5. William amesema kuwa anaunga mkono kila kitu ambacho serikali ya sasa inakifanya. Hii inatisha sana kwa mwana JF na mtu aliyesoma na kuishi nje ya nchi. Inamaana William ana unga mkono mpaka mabaya ambayo serikali imeyafanya. This is dangerous thinking, hata huyo Nyerere hakuunga mkono kila kitu ambacho serikali ilikuwa inafanya iweje huyu amekuja na kutoa endorsement ya 100% bila ya kuwa critical kwenye mabaya, akiingia inamaana William atakuwa na rubbestamp kila kitu huko serikalini? Is this the hope we can believe in? kweli?




6. Amesema kuwa Tanzania middle class wamekuwa wengi....well ukweli ni kuwa tanzania ina population ya almost 44 million na the so called middle class ni less than 8% sasa na ni wale wale ambao ni watoto wa kishua na extension zao. Namshauri williama atoke aende rufiji, Mkuranga Kisarawe na tendahimba kama atakuta middle class hata mmoja.




7. Anasema kuwa watu walipo nje wasikae nje na kulalamika. ukweli ni kuwa the entire system imekamwata na wale wale. Na nathubutu kumwambia atuletee list ya wana diaspora waliorudi na wakapewa nafasi ya kufanya mabadiliko kama alivyofanya kagame wa Rwanda’s government ambaye serikali yake ilikuwa aggresive kwenye ku recruit highly educated members of the Diaspora....na waliporudi wakapewa nafasi ya kufanya mabadiliko na yanaoneka. Sasa william nitajie idara hata moja iliyopewa watu waliokuwa Diaspora na ambayo imepewa nafasi ya kufanya mabadiliko?




Je william anajua:




a) It takes 4months to register a business in Tanzania na it costs about 800 usd? wakati Rwanda it only takes 15 minutes and costs nothing!




b) Je anajua kuwa 70% ya Watanzania ni under 30 ambao wako detached na political elites ambao wako out of touch na maendeleo




c) Je William anajua kuwa hao vijana ambao wamezaliwa early 1990's ambao amewapatronise kwenye interview ndio hao hao leo wanapiga kura?




d) Je william anajua kuwa BRELA walinunua software ya bilioni 2 ambaoilitakiwa ifanye kufanya biashara Tanzania iwe ni rahisi lakini mpaka leo ile kitu imefeli, pesa zimetumika na so far imefanyiwa sabotage ili watu waendelea kula rushwa pale BRELA...cha ajabu waziri Nyalandu analijua hili, Waziri Mary Nagu analijua hili and no one cares.








8. William anasema kuwa viongozi wafungue FACEBOOK pages lakini haoni kama hiyo ni ndoto ya alinacha kwani commander in chief ofisi yake (Ikulu) haina website sasa why should someone like Mary Nagu au Nchimbi have a facebook page?








9. William anasema kuwa achievements zake kubwa ilikuwa ni kuandaa sherehe ya kumpokea Asha Migiro alipoteuliwa kuwa Dpeuty SG wa Ban Ki Moon, mimi binafsi sioni kama hiyo ni issue na sioni kama ni achievement ya maana.








10 Anasema kuwa alikuwa instrumental kuanzisha jumuiya ya Watanzania New York na kwa hili nampa pongezi.








In short sijapenda generalisations zake na kwa inter interview ya 1 hour nilitegemea kupata mawazo yaliyobobea na mapya toka kwa mwana JF na mwana diaspora ambaye anaenda kutuwasilisha.








William kama mawazo yako ni hayo then I give up!
 
- Again if you have any question on the details of my CV please let me know, will clarify for you at anytime.

William.

What a diverse bakground!!!

  1. Sugarcane engineer
  2. Marine engineer
  3. Criminologist
  4. Diplomat
  5. Waste disposal Specialist
  6. CCM Branch opening Specialist

Rekebisha hii KITU.......

DSM Marine Engineering School (DMTU), DSM.
 
Huyu jamaa akishinda huu uchaguzi ninauhakika Watanzania wenye uchungu na nchi yao watampleleka mahakamani for perjury. Amerudi na mawazo ya kizamani kwamba mwaka 2012 anaweza wadanganya Watanzania bila kumshtukia. He's insulting our intelligence. Jamaa amedanganya kila kitu kwenye hiyo anayoiita CV yake. Kwanza, he can't even differentiate between Resume and CV.
 
I would like to comment on two things: William's choice of language in this thread and issues of EAC

With all due respect I think the use of broken English, sometimes slang, damages William's credibility and suitability for the position he runs for. Countless gramatical errors in William's posts raise red flag on his ability to pay attention to details. Moreover, non-English JF members can easily feel offended to have their posts answered in the language they seldom understand. William I think your compaign team isn't advising you well on this. Clean, professional, and standard language is a must-have item if the campaign is to yield the desired outcome.

That said I fail to understand William's stand on the pressing issues of the EAC. Personally I would like William and other contenders for the position to answer the following questions to earn my vote:

1) What is economic argument against EAC single currency?
2) Should Tz and other EAC members gain equally from EAC for the EAC to be considered beneficial to Tz?
3) Has the EAC made Tz worse off since its inception in late 90s? If so how?
4) The demise of EAC in 1967 is attributed to counter productive political environment in Tanzania, how does EA parliament going to make sure that the new EAC is here to stay? What policies need to change in the respective member states with that regard?

Heshima mbele Mkuu.......maswali muhimu sana hayo.......Mkuu usipotee namna hiyo!
 
A scumbag from Chama Cha Ma-retards hawezi kuja jibu tuhuma zozote hapa. He knows that he is a fraud. Anakimbia kivuli chake mwenyewe - William, wewe umeanzisha hii thread njoo ujibu maswali hapa.
 
Kwa kweli mimi huyu mtu akipewa ubunge wa ea nitaamini ccm wote ni vilaza! Wanajf tusimtetee huyu jamaa ni kilaza sijawahi kuona! Busara ya mtu huanza kuonekana katika maongezi na watu!
 
Aibu kaka, ngoja tukupe darsa, hiyo ilitakiwa iwe "starring". Hiyo uliyoandika wewe ni fedha ya Britain.

Nna uhakika unalazimisha upate mazoezi ya kuandika Kiingereza, useme ukweli tu unataka msaada tukusaidie.

Watae kuchaguwa watakuwa ni mapunguani, kwa maandiko yako tu humu, hufai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Nyie ndio watu mnayoiharibu nchi kwa kutumia migongo ya baba zenu na umaarufu wao. Kama walivyoiua nchi wao na nyinyi mnataka muimalize kabise.

haya ni maneno mazito sana ya mtu mwenye uchungu na nchi yake! Hongera bana! Huyu ni kilaza kweli, naamini hata ndani ya ccm wamo wengi wa aina hii, ni aibu sana kwa kweli,ila atapita maana ccm wanaangalia sura na si uwezo binafsi
 
"It's better to remain silent and be thought a fool than open ones mouth and remove all doubt" **- Mark Twain

"When you know you're full of bull, keep your mouth shut" - Will Rogers

Despite all the privileges that you had growing in that family...
 
Hatari hii,
World traveller, now @ New York City, representing Tanzania in EAC parliament. This happens in Africa only.
 
nenda kagombee ila mimi sikuungi mkono kwani lichama lako(ccm )linanipa sura na dhamira yako halisi kama ilivyo kwa wengine ingawa unaweza ukapitishwa kwa ajili ya wingi wa wananamatusi huko bungeni
 
CV yako nzuri,OMBI LANGU ni kwamba uwe mpambanaji wa kweli km BABA YAKO.ktk siasa usitarajie kusifiwa mapema,sifa yako utaipata baadaaaaaaae!
 
Back
Top Bottom