gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,185
- 1,439
Yaan Quran ni moja tu iliyopangwa na othman ambayo Jibril alimsomea Mtume hayo mengine unayajua wewe na waislam wote duniani walio amini rula Yetu ni Quran ya Muhammad SAW hayo yakuoteza sijui Yemen sijui nini ni katika kujifanya mnaweza kututoa relini kwani hata wamarekani wanayo Furqan yao walijitungia Ina Aya 77 kwahio huna jipya na hauna hoja.Hivi unajua Sanaa manuscript (Yemen) ile Qurn kongwe kabisa iliyogunduliwa miaka ya 70 bada ya kufanyiwa research ya kutosha inaonyesha umri wake ni zaidi ya Mohamed? wakati nyie mnasema Mohamed ndiye aliyeshushiwa Quran na pia ile sio Hafs wala Warsh. Ile Quran ni kongwe kuliko Quran ya Uthman, swali hiyo Quran unayosema haijabadilika ni ipi? Uthman Quran,Sanaa,Topkapi? Topkapi Quran ina tofauti zaidi ya 2000 na hii Quran ya mwaka 1924, Wewe umehifadhi ipi kati ya hizo tatu japo zipo nyingine pia?
Topkapi Quran ina upungufu wa verse 23 kulinganisha na hii ya mwaka 1924, ni moja ya quran kongwe kabisa. Uchunguzi unaonyesha hii iliandikwa karne ya 8,je hizo verse 23 ziliongezwa na wanazuoni wa AL Azhar university? Wewe utakua umehifahi hii Quran mpya,kwanini imetofautiana na ya zamani?
Kitabu hiki hakina Shaka yoyote kama tulivyoambiwa katika Quran 2,2 hivyo muislam yoyote mwenye Iman hawezi kufikia Shaka kitabu hiki Shaka wamebaki nazo makafiri na msingi wa Imani yetu ukitilia Shaka Quran wew sio muislam umesharitadi. Hizi Kurasa za Quran zipo katka tablet yake mwenyezi Mungu Jibril ninmuaminifu na ni bosi wa malaika wote hivyo hakuna muislam kamili utamletea Shaka katika moyo wake labda awe hajasoma