Kwanini niliomba muongozo-Sakata la Mgomo wa Madaktari by J J MNYIKA

udhaifu unadhirika pale serikali inapotumia media,viongozi wa dini na chama bila mafanikio
 
kama kawaida mbunge kijana ndugu JJ MNYIKA anaendelea kuanika ''udhaifu'' wa serikali.
kama serikali ina majibu isisite kutoa taarifa kwa umma!!

Kimsingi, serikali isipoangalia itaingia chaka imekimbilia mahakani wakati mgomo unaendelea je, kama solidality ya madaktari itabana na asitokee hata mmoja kufanya kazi itakuwaje maana huo ndiyo uelekeo....hapa waziri mkuu unabidiajipange vizuri tabia ya kutoa habari nyepesinyepesi ilihali wananchi wanaumia inabidi awe makini...na mkuu wa mkoa wa dar es salaam ameupotosha umma kuwa kazi zinaendelea kama kawaida jambo ambalo si kweli hii inatupeleka babaya juu ya tatizo nyeti kama hili....
 
naomba wapinzani waendelee kuwaumbua humo bungeni ili wananchi wawajue mazezeta yao walioyachagua ili 2015 yasirudi bungeni:smash:
 
Jamani ee, serikali ya ccm haina jipya. hivi kwa akili ya mtu hai mahakama inaweza kuwasimamia madakitari kuhudumia wagonjwa? hii ni akili ya mtu mfu. Halafu wanaficha ukweli, jamani mgomo huu siyo wa mishahara tu kama serikali inavyowadanganya watu. hospitali hazina vifaa na wao na familia zao hawatibiwi huko, jamani watanzania amkeni mpige kelele mseme sasa basi.
 
Chadema ni rahisi kuandaa bajeti ya harusi si bajeti ya nchi "Ngeleja"

Kahoma ka kukosa uwaziri kanamsumbua, na pia kutoelewa ya kuwa CHADEMA hawakuandaa bajeti bali ni maoni.Yaelekea yupo bungeni lakini hajui jukumu lake haswa la kutokusoma au njaa ya kujipendekeza, wewe na huyo mwenye udhaifu wa fikira ni wapi walipiga kura kupitisha mnayoiita bajeti ya chama cha upinzani? Acha kudandia jambo toka kwa asiyejua mana ndo yale ya msomi kuongozwa na asiyesoma, akiambiwa moja ongeza moja ni kumi umo.
 
Back
Top Bottom