Kwanini nachangia CHADEMA Tsh 150,000 - Match mine or beat it!

Hivi ukisha tumbukiza fedha benki ile slip unapeleka wapi ili waweze kufuatilia kama zimeingizwa si unajua tena hizi benki zenye harufu ya kiCCM wanaweza wakawa hawaingizi zote
 
Mzee mm nilikusoma siku nyingi sana.pokea tanooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!
Tupo pamoja nitachangia mpaka nifilisike.hela yote ya kupiga castle lite naipeleka kuchangia chadema.
 
Tunakumbushia ili kuweka rekodi katika usahihi; maana tuna tatizo kubwa la usahaulifu....
 
Back
Top Bottom