Kipenzi Chao
Member
- Oct 12, 2010
- 99
- 4
Nilitokea siku moja nipo na mdada mmoja ambaye aliweza kuwa muwazi kwangu kwa kiasi fulani baada ya mimi kutumia mbinu fulani ya kumdadisi kuhusu jinsia yao....! Kwa mujibu wa maelezo yake, wanawake hupenda sana vitu vinne katika maisha yao, ambapo hata moja ikikosekana, basi huchukua hatua za kumtafuta mwanaume wa kuziba nafasi hiyo...! Vitu hivyo ni:
Je, wadada wengine humu JF mnasemaje?
- Huhitaji usalama: Kutokana na hili lazima atafutwe mwanaume mwenye misuli, giant, na mwenye nguvu ya kukabiliana na purrukushani yoyote itakayojitokeza mbele ya mwanamke huyo...!
- Huhitaji matunzo ya fedha/kiuchumi: hivyo lazima awepo wmanaume ambaye kwa namna moja ama nyingine yuko "well off", si bahili, na wala si mchoyo. Hii ni ili aweze kudhamini movements zake, na chochote kile atakachohitaji...!
- Huhitaji mwanaume handsome kwa ajili ya kuongozana naye mtaani, na kwenye maeneo yaliyowazi sana. Hapa atahitajika mwanaume handsome, msafi, mpole nk.
- Huhitaji kutoshelezwa kitandani: Kwa kweli alidai hakuna mwanamke mwenye kuweza kuvumilia mapungufu haya, na hivyo lazima atafutwe wa kushikilia idara hii....!
Je, wadada wengine humu JF mnasemaje?