MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,487
- 20,439
Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika uchaguzi wa rais na mgombea mwenzake ndg Lipumba.
Katika uchaguzi huo Mbowe alipata kura asilimia 5 pekee huku Lipumba akipata 11%. Kwa lugha nyepesi ulikuwa unaitaji watu wawili wenye uelewa, uchambuzi wa mambo, ujengaji wa hoja, akili nk ili kumpata Lipumba mmoja.
Swali ninalojiuliza kila siku katika watu wote duniani ilikuwaje Mbowe akapitwa kiasi kile na Lipumba. Sijauliza Kikwete ambaye alipata zaidi ya 80 % ambazo zilimfanya Mbowe kumheshimu sana Kikwete.