Na mimi nimewaza hivyoUsikute huyu jamaa ndio mwenye hii nchi sisi ni wapangaji wake
Kipindi cha Pungu one jiwe huyu si alipitia joto la jiwe mpaka akataka kuhamia Zambia au nimechanganya files?
JPM alikwenda kufungua Taifa Gas pale Kigamboni na pia Siku au miezi michache kabla ya kifo cha JPM walikuwa pamoja naye pale Morogoro katika ufunguzi wa kiwanda chake kingine !!
Hajawahi kuwa mbali na Head of State yeyote tangu kwa hayati Mkapa na wote waliofuata baadaye !
Jamaa anajua kuzichanga karata zake vizuri
Tetesi zinasema Rostam ndio amechonga deal la mama kuweza kutua Vatican ili kuonana na Papa. Ni mama alikuwa anaitafuta hiyo fursa kwa hali na mali ili kutengeneza deal la kanisa katoliki kumbeba mama 2025 kwenye urais.
Kwa kuwa sote tunajua, presha iliyopo ndani ya system (lile genge la kututengenezea viongozi) ya kutaka kumuondoa mama 2025 ni kubwa kupita maelezo. Hivyo kila njia mbadala itakayoletwa mezani kwa mama inabidi aipokee tu.
Maisha ya mavibosile wote Duniani zaidi huwa ni a lot of stress !Vipi ukigundua nae ni mwanasesere Kama wengine tu?
“Mtumwa hakosi alama.
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
Huu ni Uwongo.
HUYU NI KONTAWAAlipo tupo.
View attachment 2902057
Ngosha huyu....Kuna miaka tulikula sana hela zake huyu jamaa....hana baya.Mburushi wa Iran huyo. Sema waarabu wa Igunga, Bukene, ukenyenge wanakijua kisukuma na walishaassimilate. Sema ni ili malengo yao ya kibiashara yatimie.
Itoshe kusema wewe kweli ni Chizi tena huna maarifa kabisa!Rostam ni mtu muhimu hata kwenye kiingereza anakifahamu vizuri na ana exposure. Acheni amsaidie rahisi.
Rostam ni mfanyabiashara mkubwa hivyo kufuatana na Rais ni moja ya fursaNawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..
Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..
Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Watu wanasahau mapema mnoNdio huyo huyo na eti leo watu humu ndani wanalegeza kabisa sauti na kubana pua eti “King Maker!
King Maker my brown $&@!
Sii kwambaa Rostam alirudi Tz baada ya ile kesi uchwara ya mdogo wake ya ujangili!?Aseme tu kua alinunua amani na Magufuli kwa kumrudisha Lowassa CCM ili Magufuli abariki mradi wa Taifa Gas na kumpa uhuru wa miradi yake Rostam.
Rostam akamrudisha Lowassa,akawapa CCM Channel Ten na Magic FM kama nyongeza
Vatican unafika kwa msaada wa kanisa katoliki.Utafikaje Vatican sasa au USA?.
Siasa za Tanzania zina mambo mengi sana nyuma ya pazia.