Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

Noma sana. Hapo utakuta yupo kwenye msafara wa Mama mpaka Norway. Na Norway wana kampuni ya Equinor iko bahari ya Mtwara Lindi wanachimba gesi, na wanataka kujenga LNG plant huko kusini. Utakuta na yeye anataka kuweka mkono kwenye mradi wa gesi ya LNG. Jamaa yuko veryvery strategic
Hakuna mfanyabiashara popoma,wapo very smart kichwani
 
Hahaha Haya karibu tubebe wote Mabox mkuu
Mimi nimejiajiri hapa Tanzania, na kwakweli Vitumbua👈 (my favourite) havikosekani Mezani Asubuhi, Mchana mwema nao nabadilisha Wali na Ugali kwa Vitoweo mbalimbali na Samaki mara moja moja namshukuru Muumba.

Na natarajia kwenda Msumbiji nasikia Mradi wa Gesi unaanza.
 
Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Jamaa atamla Maza trust me!
 
🤣🤣🤣Tatizo hata wakifa tayari wanambegu chafu ambazo washaziacha. Makamba yupo makamba Jr Tena ambaye ni nyoko kuliko baba yake. Kikwete yupo kikwete Jr, so usitegemee kufa Kwa wazazi wao ndio unafuu utapatikana. Ili tuamke lazima life liwe ngumu sana ili hata wajinga waamke ili waweze kudai haki.
1 lakwanza lipo kwenye ajira tushaona japo bado maumivu bado hayajachoma mioyo coz bodaboda na bajaji zinasukumasukuma life
Inachosha sana fikra😪
 
Back
Top Bottom