Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

Baada ya kuua sekta binafsi kwa kuwashusha matajiri wawe masikini wengi walifunga biashara zao.Watu wakakosa ajira,akaua kilimo wengi wakakimbilia kwenye umachinga akatumia fursa hio kuwabrainwash kwamba ni mtetezi wao,akajipigia iishirini iishirini zao, aliwatengeza machinga Ili awatumie kisiasa.
 
Ile ni zuga ya JPM kuwa ana watu. Lakini kiuhalisia kura yao haina nafasi ktk ushindi wake. Sanasana angewatumia kama kichocheo cha kubadili Katiba ili atawale milele.

Wapi JPM alikwanbia Ana mpango wa kutawala milele. Alishakuwa anasubiri amalize muda Wake akakae kijijini. Msipende kujifurahisha kwa mgongo wa marehemu. Sababu zake hamuwezi kuzijua. Labda mkajaribu kwa mkewe kumuuliza.
 
Wangeingia barabarani wakipaza sauti kuwa JPM aongezewe muda Kwa visingizio vya uzalendo almradi Dunia ione kuwa ni support ya watanzania kumbe ulaghai tu. Mungu aliona hila hii mapema akaona aweke rekodi sawa kablq haijaja siku iliyombaya.
Kwani hata asingepasha sauti alikuwa anashindwa kujiongezea?
 
uchumi mbovu au imara unaonekana kupitia kundi la chini kabisa ambalo ni boda boda na machinga,ambao kula yao ni jasho la siku hiyo.


huyu mama yenu anaingia mitengo kizembe kwa kusikiliza kelele za mazagamunda,ambayo hayajui kitu nayeye kama kipofu anaingia miguu yote.

unafukuza machinga,ukiwa huna eneo la kuwaweka watafute mlo bila kukupigia kelele,upate nafasi ya kufanya mambo mengine!!!huyu bibi kwakweli anashaurika mpaka na wapumbavu.

acha tuanze kuona data kamili za uchumi zisizoendana na maisha ya watu.
RIP JPM waliokusingikiza airport vifua wazi peku peki,leo wanasaga meno.
 
Wanabodi,

Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.

Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?

Naomba tuelimishane hapa pls

Machinga nao ni wanadamu/Watanzania,wanastahili kuishi na kueshimiwa ktk nchi yao,sio kufukuzwa kama mbwa mjini, sababu nao wanatafuta liziki,ili waweze kuishi na family zao,tena mataifa yalioendelea watu kama hawa wanalipwa hela ya kujikimu kwa kila mwezi ili waweze kuishi, Tanzania wanaalibiwa mitaji yao eti wanachafua mji,sijui huo mji kajengewa kina nani.magufuri atazidi kueshimika hata kama yuko kaburini maana alikuwa na huruma na masikini
 
Wanabodi,

Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.

Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?

Naomba tuelimishane hapa pls

Unapokataa kuwaajiri wasomi ni kuongeza machinga mitaani. Hapa tujiulize aliwakumbatia kwa wema.
 
Alikuwa populist. Hakufikiri kama umachinga ni kitu kinachoongezeka haraka kama amiba.
Matokeo yake watu eengi waliamini mjini ni rahisi kuishi ukiwa tu na mtaji wa vipande vibovu vya mbao na mabati popote mjini utapata pesa.
Ni kuwa ingeendelea hivi tu hata wamachinga wangejichukia. Hata kuuza ingekuwa shida.
Populist bila kujali, come what may.
Samia ametumia hekima sana kuleta suluhisho.
But sijui ni wengi mno.


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anaficha roho mbaya yake kwa kujifanya ni mtu wa watu pia alikuwa na lengo la kujinufaisha kisiasa.
 
Magufuli alikuwa katili mwigizaji.

Alikuwa hafuati sheria bali upepo.

Magufuli huyohuyo ndiye aliyevunja maelfu ya nyumba Kimara, Magufuli huyohuyo ndiye aliyewakingia watu wa Mwanza wasivunjiwe nyumba
Magufuli alikuwa Mcha Mungu. Aliyetuambia tumtangulizeMungu. Kwenye corona alitaka misikiti na makanisa women, hakuifunga nchi. Akatutaka na akaongoza maombi ya siku tatu kuomba na kushukuru. Mpaka leo Mungu katuweka hai. MAGUFULI, jembe, chuma, mwanamwema wa Afrika
 
Machinga ni mtego mbaya wa kisiasa.

Rais atapata tabu kuendesha serikali yake.

Hawa watu ni wengi sana kuliko wenye ajira na biashara rasmi na wana wategemezi.

Kuna hitajika busara kukaa nao.
True but watu wanapaswa kujua kuwa mjini sio mahali rahisi kihivyo. So kusafisha kidonda ndio mwanzo wa kukitibu. kikitoa damu usiogope

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hawa Machinga wameanza leo au kwenye utawala wa JPM ?..... hawa walikuwapo na wataendelea kuwapo pia asilimia kubwa ya vibanda vilivyo wekwa barabarani ni wafanyabiashara wenye kipata kikubwa na sio MACHINGA halisi wanaojulikana kwa miaka yote ukweli lazima usemwe huwezi kuufanya mji kama namna ile ya vibanda banda kila corner uli ni UTAHIRA .
Ni sawa ila aliwapa nguvu sana na wasimamizi wa miji waliwaogopa machinga kupitia yeye. Iizidi, ingefika mahali hata machinga wangeichukia hali yao na ingwaathiri pia.
Sifa mbaya sana

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Marehemu aliwapenda sana watu wajinga na wasio na akili. Hawa aliweza kuwadanganya kwa kila kitu, na kwa sababu uelewa wao ni duni na akili ni kidogo sana, waliamini na kumshangilia bila kuhoji.

Haikuwa nia yake kuwapenda, bali ni kuzidi kuwapumbaza.

Hata humu JF, kwa kuangalia namna ya uandishi, unaona wazi kabisa, wale wanaomsifia ni wale wenye akili ndogo aliofanikiwa kuwapumbaza.
 
Ur comment determines your thinking capacity..stupid!!!
I can't find the descriptive words to define you but what I know, that you probably don't, is that the diversity of option is the divine right of every mankind.
 
Baada ya kuua sekta binafsi kwa kuwashusha matajiri wawe masikini wengi walifunga biashara zao.Watu wakakosa ajira,akaua kilimo wengi wakakimbilia kwenye umachinga akatumia fursa hio kuwabrainwash kwamba ni mtetezi wao,akajipigia iishirini iishirini zao, aliwatengeza machinga Ili awatumie kisiasa.
Umenikumbusha neno la kinyakyusa la autocratic leadership
 
Wanabodi,

Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.

Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?

Naomba tuelimishane hapa pls

Weqe unaonaje kwa upande wako...
naona umeuliza swali na kujijibu mwenyewe hapo....
 
Back
Top Bottom