Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,324
- 18,494
Baada ya kuua sekta binafsi kwa kuwashusha matajiri wawe masikini wengi walifunga biashara zao.Watu wakakosa ajira,akaua kilimo wengi wakakimbilia kwenye umachinga akatumia fursa hio kuwabrainwash kwamba ni mtetezi wao,akajipigia iishirini iishirini zao, aliwatengeza machinga Ili awatumie kisiasa.