kwanini mademu wanasikia kiu

ukishaona ze orijino yake je! Utaikutanisha na ze orijino yako au?

mitihani yote ya sayansi inakuwaga na siori na praktikal, nitajaribu kumshawishi afanye praktikal ili aweze kuwa na kumbukumbu nzuri ya alichokifanyiaga mtihani. hii haiitwi tamaa, hii inaitwa kuweka maslahi ya elimu mbele.
 
ai lavd bailoji kwenye topik ya reprodaksheni tu!! through topic nzima darasa lilikuwa linajaa hadi wale wa kiswahili nakingredha walihudhuria
 
mitihani yote ya sayansi inakuwaga na siori na praktikal, nitajaribu kumshawishi afanye praktikal ili aweze kuwa na kumbukumbu nzuri ya alichokifanyiaga mtihani. Hii haiitwi tamaa, hii inaitwa kuweka maslahi ya elimu mbele.

kwa maslahi haya ya kuweka elimu mbele mi ningemwaga manyanga pwaaaaa....
 
ai lavd bailoji kwenye topik ya reprodaksheni tu!! through topic nzima darasa lilikuwa linajaa hadi wale wa kiswahili nakingredha walihudhuria
espesheli mwalimu akuwe mwanamke, unakaona kamwalimu kanasomesha yale mambo halaf kanakulegezea macho na huku kanachezea chezea chaki, dah! nazani umefika wakati wabakaji wapunguziwe azabu.
 
we unafikiri nini wanaenda kuangalizia kisha wanarudi kuchora,vidume sio roho kuuma

ai,hao akili zao cjui zilikuaje. Mbona inawezekana kuchora tu kwa imagination jamani haina hata haja ya kwenda washrum
 
espesheli mwalimu akuwe mwanamke, unakaona kamwalimu kanasomesha yale mambo halaf kanakulegezea macho na huku kanachezea chezea chaki, dah! Nazani umefika wakati wabakaji wapunguziwe azabu.

sasa mbona topic yenyewe hata haipo deep kihiivyo. Labda kama huyo ticha alikuwa ananyemelea kidume class.
 
Hahaaa kuna msemo nilisikia kama umedu peku ukimaliza 2 ukanywa maji tena ya baridi hupati mimba nafikiri ndo mana wanakunywa maji na c kiu

Dah! Mimi demu wangui aliniambia ni coca cola ya baridi ndio inazuia mimba! Itabidi madaktari watusaidie hapa!
 
espesheli mwalimu akuwe mwanamke, unakaona kamwalimu kanasomesha yale mambo halaf kanakulegezea macho na huku kanachezea chezea chaki, dah! nazani umefika wakati wabakaji wapunguziwe azabu.

we ticha wangu umemuona nini? hebu mfikirie.......mwanamama,mnene,muhaya,kaachika mara 3,singo........wacha tu maharage yatiwe mafuta ya taa
 
dah! Mimi demu wangui aliniambia ni coca cola ya baridi ndio inazuia mimba! Itabidi madaktari watusaidie hapa!

hii niliwahi ckia pia,ila cjawahi dhibitishiwa na mtu yeyote. Wataalamu tujuzeni plz
 
we ticha wangu umemuona nini? Hebu mfikirie.......mwanamama,mnene,muhaya,kaachika mara 3,singo........wacha tu maharage yatiwe mafuta ya taa

sasa hapo we si utakuwa ni sawa na serengeti boys bandugu..!
 
Kiu sio maji tu, girls wavutaji wengi wanawasha sigara kabisaaa yaani sijui ndo hamu inakuwaga au, I fail to understand.
 
sasa mbona topic yenyewe hata haipo deep kihiivyo. Labda kama huyo ticha alikuwa ananyemelea kidume class.

kuna wadada wengine hata wakilia basi wanakupandisha mzuka. yaani kuna ticha moja kuna siku lilitwambia leo mtakoma! tukazani linakuja kutupiga makwaju , kumbe lilikwenda kuchange nguo na kuvaa kimini. tulikoma kweli aisee.
 
Dah! Mimi demu wangui aliniambia ni coca cola ya baridi ndio inazuia mimba! Itabidi madaktari watusaidie hapa!
nikiwa kama daktari mstaafu. nachukua nafasi hii kupinga huu uzushi until further notice.

kamanda umepotea sana naona. au wamekupa ubunge?
 
Acha kudanganya watu mbona mi na wewe ulikuwa hufanyi kilomita zote hizo,huku JF ndo unajidai kusema,muone kwanza??
wataalamu wanatauambia bao moja ni sawa na mu kukimbia km 8 that is the reality ni ukweli mtupu kama una mchumba wako usimkamue sana magoli mengi.utamsikia mtu anajidai kapiga goli 4 mpaka 6 na wanajisifu ni mbaya sana goli 2 au 3 jamani inatosha madhara yake mbeleni ni makubwa sana.Michehele inategemea kuna mtu wk wa goli la kwanza anatumia dk 5 au kumi tu mwingine hata dk 40 ni jinsi mtu alivojichuni esp kama mnatumia condom bao huwa linachelewa.sasa nguvu anayotumia wtk wa ejaculation ndo hiyo tuanasema ni sawa na kukimbia km 8 au wengine wanadai mita 15000.
 
Asante Lokissa,nimeelewa,kumbe wanaume mko tofauti mi nilijua wote dakika 5-10 kila mtu alishalala......sasa naanza ku-experiment!:eyeroll1:
 
Back
Top Bottom