kwanini mademu wanasikia kiu

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
kwanini mademu wanasikia kiu pindi wanapomaliza ku DO?? na kwa nini mwanaume anasikia usingizi pindi anapomaliza KU DO???
 
mmhy uyo demu wako tu atakuwa na ugonjwa
si mademu wote wapo ivyo...
...wale wa kisungu au masi sta du ndo utawaskia ...beb i wana cup of cofee...kat kat ya mchezo ili usitishe zoez na yeye apate break fup bt si wote wapo ivyo et kiu...thou ile olympic yaleta kiu!
barid la mafinga usiku wa manane atataka maji kweli?au ili joto la ilala?
 
me mwenyewe nilijua joto la Ilala lakin hata baada ya kwenda Arusha ngoma ni ilele kiu afta marathon, tena cha ajabu kabla hajaanza marathon yenyewe ana oda maji kabisa, kikweli inanichanganya
 
Hahaaa kuna msemo nilisikia kama umedu peku ukimaliza 2 ukanywa maji tena ya baridi hupati mimba nafikiri ndo mana wanakunywa maji na c kiu
 
kwanini mademu wanasikia kiu pindi wanapomaliza ku DO?? na kwa nini mwanaume anasikia usingizi pindi anapomaliza KU DO???

Mbona unaposti mbilimbili? anyway mi huwa nalala saaaaana ila ukinigusa tu naanzisha nyingine! ....:car:
 
Hivi hii shughuli mnayoongelea hapa ni kubwa hivyo?? sitanii namaanisha mi labda sijawahi kuona ukubwa wake??? waga watu wanakomoana au,mi sielewi bwana...............1bao=8km????kweli????watu wangekuwa wanaenda kazini kweli na maumivu yote hayo na uchovu?:frog:
 
kuna mmoja alipigishwa gwaride mpaka akaanza kupiga makelele . mwiziiiiii mwiziiiiiiiiii! kumbe anamnadia mwizi mume wake bana! asalamaleko wayahi! hii shuhuli ina mambo kwelii
 
Hivi hii shughuli mnayoongelea hapa ni kubwa hivyo?? sitanii namaanisha mi labda sijawahi kuona ukubwa wake??? waga watu wanakomoana au,mi sielewi bwana...............1bao=8km????kweli????watu wangekuwa wanaenda kazini kweli na maumivu yote hayo na uchovu?:frog:

hivi unafikiri mchezo????

images
 
Hivi hii shughuli mnayoongelea hapa ni kubwa hivyo?? sitanii namaanisha mi labda sijawahi kuona ukubwa wake??? waga watu wanakomoana au,mi sielewi bwana...............1bao=8km????kweli????watu wangekuwa wanaenda kazini kweli na maumivu yote hayo na uchovu?:frog:

Kwani hujawahi kukutana na mtu anayetumia dakika 45 round ya kwanza?
 
Hivi hii shughuli mnayoongelea hapa ni kubwa hivyo?? sitanii namaanisha mi labda sijawahi kuona ukubwa wake??? waga watu wanakomoana au,mi sielewi bwana...............1bao=8km????kweli????watu wangekuwa wanaenda kazini kweli na maumivu yote hayo na uchovu?:frog:

Michelle si kukumoana. Binadamu wanatofautiana katika mambo mbali mbali. Hivyo katika kunanihii pia wengine wana pumzi isiyo ya kawaida. Wanaweza kupiga 30 minutes au hata zaidi na hapo shurti mtu aombe birika au chupa ya maji. Na muhusika anayeomba maji haoni kama alikuwa anakomolewa kwa namna moja au nyingine.

Back
Top Bottom