Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

Anawezakuwa anafaa lakini kwani watz tuko wangapi? Kama tuko zaidi ya mil 40 basi yeye ndo anafaa pekee katika watz wote kuwa kiongozi we2? Nadhani ifike mahali sisi watz tuache kufanya kazi kwa mazoea, jamani wako wengi wanafaa kuongoza nchi hii akiwemo na EL lakini kwake yeye tayari alikwishajikwaa kisiasa hivyo basi vyema tukamshukuru kwa kazi zake na pia katika watz mil 40 atafutwe aliemsafi, asie na doa ndio apewe uongozi, tunamshukuru EL kwa kazi nzuri alizotufanyia watz ingawa ilikuwa ni sehemu ya wajibu wake kwani kazi hiyo alipewa na akapaaka kuitumia vyema na Mungu ambariki kwa kufanya kwa kiwango chake. Vyema basi tukajiuliza ni nani asie na doa ndie tumkabidhi nchi na si kupigiana debe kusiko kuwa na maana. Hongera EL kwa kazi nzuri na Mungu akubariki na ingekuwa vyema kama ungebaki kuwa mzee wa ushauri kama mawaziri wakuu wenzio waliopita. Nawakilisha
saggy
 
Last edited by a moderator:
Aisee hongera kwa kumfagilia, but you still got a lot of work to do!
Kuna haja ya ku- opt kwa others who are more attractive to wapiga kura! nadhani Hata SISIEM wanaliona hilo!
 
Nyie mnaomsifu lowasa mnapata posho, lowasa mrafi toka siku nyingi ila ni mwigizaji mzuri hana lolote ktk kututumikia wananchi
 
saggy

lakini yeye mwenyewe anapenda kugombea urais?? na kupitia chama gani? maana nasikia chama chake kinampango wa kumuondoa na kumfukuza uanachama. ............maana tusijekupoteza muda kuchangia mambo yasiyowezekana hapa duniani na kesho ahera........
 
Last edited by a moderator:
Huo ni matizamo wenu pia,na mimi naukubali kabisa but bado mswali muhimu hamjanijibu katika hili

1.Je hakuwa anatekeleza maagizo ya Baraza la Mawaziri,kwakuwa tunajua Waziri ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni na kila siku?Serikali yote ilikuwa imeanguka kufuatia kosa hilo.Kwanini aliyewajibika atwishwe mzigo kwamba ndiye mkosaji?hapa jamani,tuache fitina tumtendee haki huyu mtu.

2.Je Bunge mnaweza kutuambia nini sisi umma wa Watanzania kwamba mlikuwa wapi mpaka haya yote yanatokea na mkangoja tatizo limetokea ndipo mnaunda Kamati wakati Bunge ni Chombo cha wanachi cha kuhoji utendaji kazi wa Serikali kwa niaba ya Wananchi? Bunge zima lilipaswa kuvunjwa kwa Uzembe uliopelekea Hasara kubwa kwa Taifa na Uchaguzi mpya kuitishwa,pale hakuna mtu ambaye angeweza kupona,kama tunafahamu dhana ya Uwajibikaji wa Pamoja''Collective Responsibility'' mimi nasema kwamba Kamati hii iliundwa kisiasa kwa lengo la kuficha Uzembe wa Bunge letu Tukufu,tutaendelea mpaka Lini na Bunge la Kuunda Kamati kutafuta mkosaji/Wakosaji badala ya kuwa Bunge linaloshauri Serikali na kuitizama kwa niaba ya wananchi?

Mimi naomba tusiwe Bias jamani,tuchambue jambo hili kwa uwazi.

Tanesco sasa hivi wanatumia Mitambo ya nani?si ya Dowans/Richmond,mbona tunakuwa na Macho yasioona kabisa!!!!

Mitambo ya Dowans inawaka na Mgao wa umeme upo palepale na EL ana hatia kwa kuonekana kutaka kuipendelea Richmond/Dowans ambayo sasa tunatumia Mitambo yake???This is Non-sense! Ni kufilisika mawazo kulikoje huku!Zimeni mitambo ya Dowans tukae Giza ili tujue kweli hawakuwa na sifa ya kupewa zabuni hiyo!
 
lakini yeye mwenyewe anapenda kugombea urais?? na kupitia chama gani? maana nasikia chama chake kinampango wa kumuondoa na kumfukuza uanachama. ............maana tusijekupoteza muda kuchangia mambo yasiyowezekana hapa duniani na kesho ahera........

Urais huo kweli anautaka tena kwa udi na uvumba na hata kwa nguvu za Nabii Joshua, lakini lililo kweli ni kwamba hana chama kitakachomkubali maana hawataweza kumuuza. Hiki ni kipusa ambacho ukikutwa nacho unakwenda mung'ende! Wapambe si mumwambie ukweli tu?
 
Huo ni matizamo wenu pia,na mimi naukubali kabisa but bado mswali muhimu hamjanijibu katika hili

1.Je hakuwa anatekeleza maagizo ya Baraza la Mawaziri,kwakuwa tunajua Waziri ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni na kila siku?Serikali yote ilikuwa imeanguka kufuatia kosa hilo.Kwanini aliyewajibika atwishwe mzigo kwamba ndiye mkosaji?hapa jamani,tuache fitina tumtendee haki huyu mtu.

2.Je Bunge mnaweza kutuambia nini sisi umma wa Watanzania kwamba mlikuwa wapi mpaka haya yote yanatokea na mkangoja tatizo limetokea ndipo mnaunda Kamati wakati Bunge ni Chombo cha wanachi cha kuhoji utendaji kazi wa Serikali kwa niaba ya Wananchi? Bunge zima lilipaswa kuvunjwa kwa Uzembe uliopelekea Hasara kubwa kwa Taifa na Uchaguzi mpya kuitishwa,pale hakuna mtu ambaye angeweza kupona,kama tunafahamu dhana ya Uwajibikaji wa Pamoja''Collective Responsibility'' mimi nasema kwamba Kamati hii iliundwa kisiasa kwa lengo la kuficha Uzembe wa Bunge letu Tukufu,tutaendelea mpaka Lini na Bunge la Kuunda Kamati kutafuta mkosaji/Wakosaji badala ya kuwa Bunge linaloshauri Serikali na kuitizama kwa niaba ya wananchi?

Mimi naomba tusiwe Bias jamani,tuchambue jambo hili kwa uwazi.

Tanesco sasa hivi wanatumia Mitambo ya nani?si ya Dowans/Richmond,mbona tunakuwa na Macho yasioona kabisa!!!!

Mitambo ya Dowans inawaka na Mgao wa umeme upo palepale na EL ana hatia kwa kuonekana kutaka kuipendelea Richmond/Dowans ambayo sasa tunatumia Mitambo yake???This is Non-sense! Ni kufilisika mawazo kulikoje huku!Zimeni mitambo ya Dowans tukae Giza ili tujue kweli hawakuwa na sifa ya kupewa zabuni hiyo!

Baba hongera kwa juhudi zako! Hata hivyo hekaya hizo kawaambie wageni wa hapa mjini. Wenye akili tunajua kwamba bwana huyu aliasisi kampuni hii hewa na waanzilishi wake wanafahamika, labda wakati ule wewe ulikuwa nyegezi unasoma, ndo maana unauliza maswali ambayo ni academic na irrelevant! Conviction yake ilipita 2008 na yeye ali-opt kutojitetea, kwa kujua hana utetezi. Hizi after thoughts zenu hazina mashiko.
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee EL anafaa kuwa rais wa Monduli khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee EL anafaa kuwa rais wa Monduli khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hata huko Monduli ni wale anaowachinjia ngo'mbe. Siyo wale wamasai wanaopoteza mifugo yao kila mwaka kwa kukosa malisho na malambo ya maji na huku wana mbunge anayetumia mabilioni kuwakweka viongozi anaowataka na kuwaondoa wanaoonekana kuwa kikwazo kwake. Miaka zaidi ya 20 ya ubunge, jimbo lina njaa kila mwaka! Aibu!
 
Ni matusi ya nguoni na aibu kubwa kwa nchi yenye watu millioni 40, kufikiria hata kidogo kwamba hatuna mtu isipokuwa Lowassa anafaa kuwa rais!..
 
mimi naona tunalumbana bure hapa kuhusu Lowasa 2015, je yeye Lowasa kasema kua nautaka huo urais??couz tusije kua tunakata kiuno bure wakati mwenyewe hata hana nyege.............ila kama anauitaji urais 2015. LOWASA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
kwel unakata kiuno hafu watu hawana nyege..huyu unaemwongelea ni edward lowassa (mb)wa monduli au yupi?kama ndiye bac awe rais wa familia yenu lkn c tanzania
 
WATANZANIA WENZANGU HEBU TUACHE USHABIKI HALAFU TURUDI KATIKA UKWELI NA UWAZI,
KAMA NI KUCHAFULIWA NA KUONEWA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA AMEONEWA NA KUCHAFULIWA SANA,
LAKINI NAPENDA KUULIZA, JE NI KWELI MZIGO WOTE WA UFISADI NA UBAYA WOTE UNAOTENDEKA TANZANIA LOWASA NDIO TOP OF ALL???
LEO HII KILA UNAPOPITA, HATA UKIMUITA MTOTO WA DARASA LA 4 UKAMUULIZA UNAMJUA FISADI, ATAKUAMBIA LOWASA.

BINAFSI NAKUMBUKA JINSI AMBAVYO ALISIMAMIA KIDETE SUALA LA UANZISHWAJI WA SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA, JAPO HAZIKUPATA MAFANIKIO MAKUBWA BUT KWA KIASI KIKUBWA LIMEPUNGUZA WIMBI LA VIBAKA NA MATEJA KWANI VIJANA WETU WANAOMALIZA LA SABA WANAINGIA SEKONDARI KWA WINGI.

VILE VILE NAKUMBUKA KABISA KWAMBA NAMBA MUHIMU ILIYOPIGIA DEBE UANZISHWAJI WA CHUO CHA DODOMA NI HUYU HUYU LOWASA.

JE UNAWEZA UKAMLINGANISHA EDWARD LOWASA NA MIZENGO PINDA? PINDA ALIRUDISHA GARI ALIYONUNULIWA ILI AONEKANE NI KWELI NI MTOTO WA MKULIMA, LAKINI HAPO HAPO TUNAAMBIA ANAENDA JIMBONI NA MSAFARA WA MAGARI 50.

NAKUMBUKA NIDHAMU YA KAZI ENZI ZA LOWASA, JAMAA UKISIKIA ANATEMBELEA WIZARA FULANI, LAZIMA WATU WAWEKE ADABU KWA SABABU WANAJUA HATAKI MCHEZO KATIKA KAZI.

SASA NAULIZA JE NI LOWASA ANASTAHILI KUHUKUMIWA KILA KONA KWAMBA YEYE NI FISADI? KWA NINI VIONGOZI WENGINE KAMA KIKWETE, MKAPA, MSABAHA, KARAMAGI ETC, HAWASHIKIWI BANGO KAMA ANAVYOSHIKIWA LOWASA?

KIPINDI KILE ALISEMA BUNGENI "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" JE NA SASA TUSEME "TATIZO NI URAISI" ???

!!!tafakari!!! :A S 114:
 
bora jizi lichapakazi kuliko jizi zembe na vuvuzela,.so i will go for lowassa,..sio kwamba nataka ila umenipa machaguo mawili
 
Mkuu Zipo, Rais Mwinyi aliwahi kusema kila zama na kitabu chake, kitabu cha zama za Lowasa tumeshamaliza, tunakaribia kumaliza na cha Pinda.
 
bora jizi lichapakazi kuliko jizi zembe na vuvuzela,.so i will go for lowassa,..sio kwamba nataka ila umenipa machaguo mawili
Ukweli ni kwamba mimi binafsi ni mwana mageuzi natarajia kufanikisha kuubadili utawala wa magamba uliojaa uzembe, uvivu, zuluma na ufisadi, lakini kama ni kuirudisha madarakani magamba 2015 bora Lowasa mchapa kazi kuliko hao ambao wameanza kupigiwa debe. Chama cha magamba (mafisadi) kwa sasa hakina mchapa kazi, jasiri, mfuatiliaji na mwenye maono kama Lowasa wengine wote vilaza tu
 
Back
Top Bottom