Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

Kama taifa na kama tunadhamira ya kweli ya kupambana na ukali wa maisha basi inabidi kufanya jambo moja tu - tuchane kabisa na hii tabia ya ku-recycle viongozi. Leo wezi, kesho victim, kesho kutwa wapambanaji! Tanzania hakuna watu wengine wa kutuongeza? Personally ningetaka kufunga hii chapter ya 'walewale' .
 
Mkuu Zipo, Rais Mwinyi aliwahi kusema kila zama na kitabu chake, kitabu cha zama za Lowasa tumeshamaliza, tunakaribia kumaliza na cha Pinda.

Nakumbuka Spika six alitamka "Mungu akitaka kukuangamiza wakati mwingine anakunyima nuru". Inaelekea EL na wafuasi wake wamenyimwa nuru ya kutambua zama zao zilishapita.Wanachofanya sasa ni kulazimisha, matokeo yake wataadhirika zaidi ya sasa. Katibu wa CCM,Mukama ameshasema CCM hairudi nyuma kuvuana magamba. Bora akamuulize Mukama kwa nini EL ni gamba? Pili uko serikalini EL amesahau nini ambacho wananchi hatukijui mpaka alazimishe kurudi? Kwa kifupi EL hafai kwa nafasi yoyote ndani ya serikali. Mpeni ushauri atulie aendeshe biashara zake.
 
Jamani, post za kila siku kutaka kumsafisha EL nyie hamjui kuwa mnazidi kumharibia? Maji yamechafuka, wala hayajatulia, nyie mnazidi kumtumbukiza humo kwa madai kwamba mnataka kumsafisha?
 
wanaanza kumpigia kampeni kuanzia kutoka kwenye media ..
 
NAPENDA KUULIZA, JE NI KWELI MZIGO WOTE WA UFISADI NA UBAYA WOTE UNAOTENDEKA TANZANIA LOWASA NDIO TOP OF ALL???
Ndugu Zipompapompa, kwa ridhaa yako naomba kujibu swali lako lenye kipengele hicho hapo juu kama ifuatavyo.

Umeuliza kama ni kweli mzigo wote wa ufisadi na ubaya wote unaotendeka Tanzania Lowassa ndio on top of all.

Ukweli ni kwamba Lowassa sijui kama ni on top of all, au ni at the bottom of all, au ni katikati of all. Tunachojua ni kwamba yumo katika mzigo huo wa kashfa la mafisadi, kama ni juu, katikati, chini, pembeni, we don' t give a freak.
 
Sina mengi ila nachojua Lowasa ni jembe tatizo ni kuhusika kwake katika kashfa na mtandao huo wa ufisadi isingekuwa hivyo he is not a guy he is a man to lead.
 
huyo mchapa kazi hana ubaya wowote ule ni mtu safi tu. ni mtu ambaye anafaa kutuongoza baada ya jk kumaliza muda wake, apewe nafasi huyu mtu kuna baazi wa ya watu ndani ya CCM wanamuone tu. ila mungu atamleta juu tena very soon.
 
Siyo kwamba Lowassa ndiye chanzo cha ufisadi. Yeye na mapacha wenzake ni ishara (symbol) ya uchafu/uovu uliyoikumba nchi. Kwa uelewa wangu CCM waliposema wanataka kujivua gamba hawakumaanisha Lowassa, Chenge na RA peke yao. Gamba linapaswa kuvuliwa kutoka chini kabisa mpaka kitaifa. Kila ngazi ya CCM (na serikali yake) ni tatizo na mzigo kwa wananchi. Kama wanao uwezo na utashi wa kufanya hivyo mimi sijui. Mpaka sasa hawajatupa sababu ya kuamini kuwa wanao uwezo au utashi. Lakini huwezi kumsafisha Lowassa kwa kigezo tu cha kuwa mchapakazi. Hizo shule za kata nao ulikuwa ni mpango wa kifisadi. Kwa sababu pesa nyingi zilitumika lakini matokeo ni hovyo kabisa. Tulichotaka siyo quantity bali quality.
 
WATANZANIA WENZANGU HEBU TUACHE USHABIKI HALAFU TURUDI KATIKA UKWELI NA UWAZI,
KAMA NI KUCHAFULIWA NA KUONEWA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA AMEONEWA NA KUCHAFULIWA SANA,
LAKINI NAPENDA KUULIZA, JE NI KWELI MZIGO WOTE WA UFISADI NA UBAYA WOTE UNAOTENDEKA TANZANIA LOWASA NDIO TOP OF ALL???
LEO HII KILA UNAPOPITA, HATA UKIMUITA MTOTO WA DARASA LA 4 UKAMUULIZA UNAMJUA FISADI, ATAKUAMBIA LOWASA.

BINAFSI NAKUMBUKA JINSI AMBAVYO ALISIMAMIA KIDETE SUALA LA UANZISHWAJI WA SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA, JAPO HAZIKUPATA MAFANIKIO MAKUBWA BUT KWA KIASI KIKUBWA LIMEPUNGUZA WIMBI LA VIBAKA NA MATEJA KWANI VIJANA WETU WANAOMALIZA LA SABA WANAINGIA SEKONDARI KWA WINGI.

VILE VILE NAKUMBUKA KABISA KWAMBA NAMBA MUHIMU ILIYOPIGIA DEBE UANZISHWAJI WA CHUO CHA DODOMA NI HUYU HUYU LOWASA.

JE UNAWEZA UKAMLINGANISHA EDWARD LOWASA NA MIZENGO PINDA? PINDA ALIRUDISHA GARI ALIYONUNULIWA ILI AONEKANE NI KWELI NI MTOTO WA MKULIMA, LAKINI HAPO HAPO TUNAAMBIA ANAENDA JIMBONI NA MSAFARA WA MAGARI 50.

NAKUMBUKA NIDHAMU YA KAZI ENZI ZA LOWASA, JAMAA UKISIKIA ANATEMBELEA WIZARA FULANI, LAZIMA WATU WAWEKE ADABU KWA SABABU WANAJUA HATAKI MCHEZO KATIKA KAZI.

SASA NAULIZA JE NI LOWASA ANASTAHILI KUHUKUMIWA KILA KONA KWAMBA YEYE NI FISADI? KWA NINI VIONGOZI WENGINE KAMA KIKWETE, MKAPA, MSABAHA, KARAMAGI ETC, HAWASHIKIWI BANGO KAMA ANAVYOSHIKIWA LOWASA?

KIPINDI KILE ALISEMA BUNGENI "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" JE NA SASA TUSEME "TATIZO NI URAISI" ???

!!!tafakari!!! :A S 114:

Unaposema tuache ushabiki na turudi ktk ukweli na uwazi una maana gani? Hebu tueleze vizuri, Edward Lowassa ameonewa nini na nani aliyemuonea? Amechafuliwaje? Chuo Kikuu cha Dodoma ni mpango wa JK, na sio Lowassa. Una uhakika kuwa Waziri Mkuu Pinda akienda jimboni huwa anakuwa na msafara wa magari 50? Hebu tueleze magari yote hayo ni ya nini? Tatizo sio Uwaziri Mkuu wala Urais, tatizo ni TABIA zake.
 
Nakumbuka Spika six alitamka "Mungu akitaka kukuangamiza wakati mwingine anakunyima nuru". Inaelekea EL na wafuasi wake wamenyimwa nuru ya kutambua zama zao zilishapita.Wanachofanya sasa ni kulazimisha, matokeo yake wataadhirika zaidi ya sasa. Katibu wa CCM,Mukama ameshasema CCM hairudi nyuma kuvuana magamba. Bora akamuulize Mukama kwa nini EL ni gamba? Pili uko serikalini EL amesahau nini ambacho wananchi hatukijui mpaka alazimishe kurudi? Kwa kifupi EL hafai kwa nafasi yoyote ndani ya serikali. Mpeni ushauri atulie aendeshe biashara zake.

Bahati mbaya sana hawa wafuasi wake ni kama fisi maji ambaye anaweza kung'ang'aniza kupita katika upenyo ambao anajua hata kichwa chake hakiwezi kuingia. Hivi kutuambia habari za sekondari ya kata na huo ujenzi wa UDOM ndo unadhani kuta-off set wizi na udhalimu anaowafanyia watanzania? Kama mpaka leo hujui hukumu ya Lowassa inatokana na makosa yapi basi wewe na yeye mwenyewe mnalo tatizo kubwa katika section za vichwa vyenu!

Sasa sisi tunakwambia hivi, hukumu ya Lowassa ilishapita kule Dodoma February 2008, na yeye mwenyewe kwa kujua dhmabi zake, alijielekeza katika kusaka huruma kwa kukimbilia kudai uwaziri mkuu wake unatafutwa, kumbe sisi shida yetu atuondolee balaa la kutafuna hazina yetu. Kama unadhani kasingiiziwa basi peleka utetezi huo kwa Mukama ambaye sasa amenoa panga anasubiri kufyeka shingo za mafisadi.
 
Unaposema tuache ushabiki na turudi ktk ukweli na uwazi una maana gani? Hebu tueleze vizuri, Edward Lowassa ameonewa nini na nani aliyemuonea? Amechafuliwaje? Chuo Kikuu cha Dodoma ni mpango wa JK, na sio Lowassa. Una uhakika kuwa Waziri Mkuu Pinda akienda jimboni huwa anakuwa na msafara wa magari 50? Hebu tueleze magari yote hayo ni ya nini? Tatizo sio Uwaziri Mkuu wala Urais, tatizo ni TABIA zake.

Mkuu hapo umetoa darsa zuri lakini tatizo ni hivyo vichwa havina uwezo wa kupima na kugundua kwamba political orbituary ya Lowassa aliiandika yeye mwenyewe siku nyingi, toka wakati wa Baba wa Taifa. Sasa wanaompenda waende wakanywe naye chai lakini nchi yetu tuachieni!
 
huyo mchapa kazi hana ubaya wowote ule ni mtu safi tu. ni mtu ambaye anafaa kutuongoza baada ya jk kumaliza muda wake, apewe nafasi huyu mtu kuna baazi wa ya watu ndani ya CCM wanamuone tu. ila mungu atamleta juu tena very soon.

Kwa kuwa wote tunamwamini Mungu, basi tujitahidi kukesha tukiomba mazuri yatokee ktk nchi yetu. Lowasa HAFAI ktk mchakato wa mazuri tunayoyatarajia.
 
Siyo kwamba Lowassa ndiye chanzo cha ufisadi. Yeye na mapacha wenzake ni ishara (symbol) ya uchafu/uovu uliyoikumba nchi. Kwa uelewa wangu CCM waliposema wanataka kujivua gamba hawakumaanisha Lowassa, Chenge na RA peke yao. Gamba linapaswa kuvuliwa kutoka chini kabisa mpaka kitaifa. Kila ngazi ya CCM (na serikali yake) ni tatizo na mzigo kwa wananchi. Kama wanao uwezo na utashi wa kufanya hivyo mimi sijui. Mpaka sasa hawajatupa sababu ya kuamini kuwa wanao uwezo au utashi. Lakini huwezi kumsafisha Lowassa kwa kigezo tu cha kuwa mchapakazi. Hizo shule za kata nao ulikuwa ni mpango wa kifisadi. Kwa sababu pesa nyingi zilitumika lakini matokeo ni hovyo kabisa. Tulichotaka siyo quantity bali quality.

Partly correct. Lakini ukitaka kuua nyoka unapiga kichwani na hao mapacha watatu ndiyo ugonjwa wenyewe na mengine ni magonjwa nyemelezi tu ambayo hupotea baada ya kutibu gonjwa mama! Tunawapa mkono wa buriani, waende wakahesabu fedha na rasilimali walizotuibia, wakisubiri yamkute ya Benali wa Tunisia.
 
Waulize walioko Keko kama wote kweli ni wakosaji.

Lowasa alishindwa kujitetea mwenyewe Bungeni miaka iliyopita, leo hii ndo unajitokeza kuuliza ubaya wake!

Mushaurini arudi AICC, kwani mpaka arudi kuwa waziri mkuu?
 
Hata huko AICC ana mawaa ambayo yakifufuliwa leo hata huo ubunge atautema.
 
WATANZANIA WENZANGU HEBU TUACHE USHABIKI HALAFU TURUDI KATIKA UKWELI NA UWAZI,
KAMA NI KUCHAFULIWA NA KUONEWA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA AMEONEWA NA KUCHAFULIWA SANA,
LAKINI NAPENDA KUULIZA, JE NI KWELI MZIGO WOTE WA UFISADI NA UBAYA WOTE UNAOTENDEKA TANZANIA LOWASA NDIO TOP OF ALL???
LEO HII KILA UNAPOPITA, HATA UKIMUITA MTOTO WA DARASA LA 4 UKAMUULIZA UNAMJUA FISADI, ATAKUAMBIA LOWASA.

BINAFSI NAKUMBUKA JINSI AMBAVYO ALISIMAMIA KIDETE SUALA LA UANZISHWAJI WA SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA, JAPO HAZIKUPATA MAFANIKIO MAKUBWA BUT KWA KIASI KIKUBWA LIMEPUNGUZA WIMBI LA VIBAKA NA MATEJA KWANI VIJANA WETU WANAOMALIZA LA SABA WANAINGIA SEKONDARI KWA WINGI.

VILE VILE NAKUMBUKA KABISA KWAMBA NAMBA MUHIMU ILIYOPIGIA DEBE UANZISHWAJI WA CHUO CHA DODOMA NI HUYU HUYU LOWASA.

JE UNAWEZA UKAMLINGANISHA EDWARD LOWASA NA MIZENGO PINDA? PINDA ALIRUDISHA GARI ALIYONUNULIWA ILI AONEKANE NI KWELI NI MTOTO WA MKULIMA, LAKINI HAPO HAPO TUNAAMBIA ANAENDA JIMBONI NA MSAFARA WA MAGARI 50.

NAKUMBUKA NIDHAMU YA KAZI ENZI ZA LOWASA, JAMAA UKISIKIA ANATEMBELEA WIZARA FULANI, LAZIMA WATU WAWEKE ADABU KWA SABABU WANAJUA HATAKI MCHEZO KATIKA KAZI.

SASA NAULIZA JE NI LOWASA ANASTAHILI KUHUKUMIWA KILA KONA KWAMBA YEYE NI FISADI? KWA NINI VIONGOZI WENGINE KAMA KIKWETE, MKAPA, MSABAHA, KARAMAGI ETC, HAWASHIKIWI BANGO KAMA ANAVYOSHIKIWA LOWASA?

KIPINDI KILE ALISEMA BUNGENI "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" JE NA SASA TUSEME "TATIZO NI URAISI" ???

!!!tafakari!!! :A S 114:
mzee kwenye red hapo unauhakika amepunguza au ameongeza wimbim la vijana wazurulaji wale vijana laki nne waliofeli mtihani wa kidato cha nne mwaka jana wataenda wapi?Lowasa ametuletea shida kwa sababu sio shule tena hizo ni vituo vya kukuza watoto baada ya kumaliza elimu ya msingi
 
Back
Top Bottom