Lowassa ndiyo mtu pekee anayeweza kulitoa taifa hili la tanzania kwenye umaskini huu wa kipato na fikra pia ikubukwe kwamba ndiye aliye engineer mchakato wote wa ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma ingawa credit wanapewa watu wasiostahili kabisa , kwa kifupu tanzania kwa sasa. "WE NEED DEVELOPMENT NOT DEMOCRACY"
Duh! Naona mmejipanga kweli kweli kumfagilia huyu fisadi ambaye sehemu pekee itakayomfaa ifikapo 2015 ni JELA na sio Ikulu.