MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
mengi yamesemwa kuhusu JK kutofaa kwa awamu nyingine, lakni ni kweli hakuna yale mazuri yanayoturuhusu tumpe awamu ya pili?? katika hili naomba tuchambue zile sababu haswa zinazoshawishi JK apate awamu ya pili....
1. mengi ya yale yanayoonekana hajayachukulia hatua ni mambo yaliyotokea wakati wa awamu nyingine, na katika kuweka usalama wa Taifa mbele na amani tuliyonayo JK amtumia busara kutofanya pupa, maana angejaza maadui na kuleta mzozo wa kisiasa nchini, mfano ni suala la Richmond, toka limeongewa na kuchukuliwa limeleta matatizo mengi ya kisiasa na hata umoja wetu umeanza kudhoofika na CCM pia imegawanyka kwa hili....
2. nia nzuri aliyokuwa nayo kuhusu kutokomezwa rushwa na kuhakikisha wale viongozi anaoingia madarakani kwa fedha wanakosa nafasi, na hili ni pamoja na kulet utaratibu wa kuwapata wagombea ndani ya chama cha CCM, na pamaja na sheria ya gharama za uchaguzi.....
3.....
4......
yapo mengi tukumbushane tuache unafiki....