Kwanini hukunambia mapema M?

Kutoka mwanzo mi naona mawazo yangu yapo tofauti na wachangiaji wengi hapa...
Mdada alifanya vizuri kutomweleza mapema. Angemueleza mapema kuna uwezekano jamaa angesepa mapema. But 'usiri' wake umemwezesha kuenjoy mapenzi kwa miaka 5. Something is better than nothing jamani, na tusijidanganye kwa miaka 5 walikuwa wanaandaa kuishi pamoja baadae, no walikuwa wanaenjoy life, kama wapenzi... Pia, kwa kumkawiza jamaa kusepa, amempa jamaa nafasi ya kumjua kiundani zaidi. Probably kama M ana positives nyingine, huyu jamaa frustrations zikiisha atakumbuka na chance ya kurudi ni kubwa. Angesepa mapema, asinge-learn kitu chochote positive kwa huyu M na probability ya kurudi ingekuwa zero.

Niseme tu kwamba, huyu dada kuona kama kuwa na mtoto ni anguko, inategemea na vision ya maisha yake. Kwa kweli kwa mdada ambaye anadream kuishi maisha ya ndoa, kupata mtoto na mtu ambaye hakumuoa, ni disaster kwa dream yake...

Asante@Tuko

mie na imani kama huyo ndo future husband wake atarudi
lakini kama sio basi tena ndo hivo ....
 
cacico mie nimebakia nashangaa kauli yake ya it is over kuanzia leo unisahau jamani ..mmh
jasiri haachi asili FirstLady1, ndio hivyo inavyokuwaga kwa wale wenye uelewa mdogo, aliyempa mimba huyo dada, ukute yupo hapa jamvini, na kuoa alioa siku nyingiiiiiii, bila kikwazo kutoka kwa mkewe, ila kwavile ni mwanamke ambaye huwa anabaki na mtoto ni issue! mmmhhh, its sooo sad kwa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.

Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?

M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.

Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla…
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..

Nawasilisha....!

Ushauri wa kumpa huyo Bidada ni mmoja tu ingawa atauona mchungu lakini agugumie aunywe ili kuondowa huo ugonjwa moja kwa moja! Ushauri ni kumwambia kuwa huyo Bwana hamfai hata kidogo, aachane nae asubiri mwengine. Na huyo atakaekuja asijiachie kwenye mapenzi kwanza mpaka wameelewana kuhusu binti yake. Kasubiri miaka 9 anashindwaje kuendelea kusubiri kidogo?
 
cacico, sina tatizo kusamehe, hili ni jambo la hisia za mhusika. Huwezi kumpangia mtu msamaha!
ndipo hapo ninapozungumzia kuwa upendo wa kweli HAUKUWEPO! Kama upo unasamehe mara moja, kwanza unajiona kuna kitu unakimiss na unajiona hujakamilika bila uwepo wa yule mtu! my dear RR tumepita kwingiiiii, tumevuka mengiiiiiii na kusamehe bila kikomo! ,maana najua ni wangu niliyepangiwa na MUNGU, na HAKUNA KUACHANA KATI YANGU NA YEYE! UPENDO DAIMA ILI UKAMILIKE NI SADAKA, U HAVE TO SACRIFICE! bila hivyo jiulize sana maswali, lazma kuna tatizo!
 
Last edited by a moderator:
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.

Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?

M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.

Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla…
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..

Nawasilisha....!

Miaka yote hiyo asimwambie? Nitamtaka anambie siri nyingine ambazo anazo maana hili ilibidi kumuambia jamaa from the very beggining.
 
Akubali matokeo tu huyo dada then apige moyo konde maisha yaendelee!Alishachemsha mwenyewe kwa kutomwambia ukweli mwenzake kwa miaka yote hiyo mi 5!
 
Kuna mmoja alimwambia mpenzi wake kwamba mtoto ni wa kaka yake aliyefariki kitambo yeye na mkewe kwa ajali, na akamlazimisha mwanae awe anamuita shangazi.....
Baada ya miaka mitano ya ndoa likabumburuka, hakuachika lakiini ndoa yao ilijenga ufa mkubwa na muime mapenzi yamepungua, nadhani wanishi kwa sababu ya watoto wao wawili waliozaa katika ndoa yao....

Ni vyema kusema mapema ili kuepuka suprise.................
 
Mimi huwa sielewi unawezaje kaa na mtu kwa wiki nzima hujamtaja mwanao kama unaye.
Hainiingii akilini sababu mwanangu ni part and parcel yangu.

Yaani nikianza kumtamani tu mtu atajua nina watoto 3 kila mmoja na baba yake na hata majina ya baba zao atayajua.

Sio fair hata kidogo kuficha, yaani mtu unalala naye 24hrs hajajua kama una watoto?

Babu Dark City njoo unieleweshe hapa maana mie sioni kwa nini Meggy anashangaa kuachwa na kwa nini aendelee kumsumbua huyo kijana wa watu kwa mimeseji

Unajua nini Kongosho,

Huyu dada pamoja na matatizo yaliyomkuta, kama ningekuwa karibu naye ningemlabua vibao kwanza!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nina swali kwa wakaka, l hope Asprin, Dark City, Mr Rocky na wengine watanisaidia.
Hivi mdada aliyenyonyesha ukiwa naye huwezi gundua?

Najua kuna wadada wachache ambao unaweza usione tofauti, lkn majority it shows.

Kaunga,

Unaweza kugundua ila wakati mwingine ni vigumu...Kuna wasichana wengine wako under 18 ila matumizi ya rasilimali zao yanazidi ya wanawake wa miaka 30! Mfano mzuri ni kale ka binti kanakoishi Segerea kwa sasa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mmoja alimwambia mpenzi wake kwamba mtoto ni wa kaka yake aliyefariki kitambo yeye na mkewe kwa ajali, na akamlazimisha mwanae awe anamuita shangazi.....
Baada ya miaka mitano ya ndoa likabumburuka, hakuachika lakiini ndoa yao ilijenga ufa mkubwa na muime mapenzi yamepungua, nadhani wanishi kwa sababu ya watoto wao wawili waliozaa katika ndoa yao....

Ni vyema kusema mapema ili kuepuka suprise.................

Duuuh aisee.....huyo kiboko.....mwanao wa kumzaa umkane na umlazimishe akuite shangazi kisa mwanaume????.....aisee yaani kama mimi huyo ni mamangu sitamsamehe kamwe......hivi kwani kuwa na mtoto ni dhambi jamani???
 
kuna wanaume washamba sana?....huyo afai katika jamii..kuzaa kitu gani bwanaaa?....ngoja nisain out maaana..khaaa..kwani mtoto ni sumu?

Smile,

Hata mie ni mshamba....Sijui kama ningegeuka nyuma,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
wanawake wakiwa wasiri wanakuwa wasiri sana.five years ya mahusiano,unamficha mwenzako?inashangaza kwa kweli.ila mimi naamini huyo kaka atajirudi tu,mapenzi ya muda mrefu,kuachia just like that,huwa ni ngumu hasa ukiangalia tatizo sio kama mmoja ame cheat kuwa na mtu mwengine,ingawa suala la mtoto kulipokea hapo kwa hapo huwa ngumu,maana jamaa atahisi kama maybe kutakuwa na mahusiano na baba mwenye mtoto.
 
Hivi mambo kama hizi si huwa ni za kwanza kuelezana? Hasa katika ile stage ya kwanza kabisa wakati wa kufahamiana majina, kabila na hobbies zenu? Why amesubiri miaka yote hiyo??.......... nway better late than never na ni bora ameeleza kabla ya kuengajiwa

MwanajamiiOne,

Kisa cha huyu dada kusubiri miaka yote 5 na kumpotezea muda mkaka wa watu ni miongoni mwa vitu vinavyomfanya awe katika wakati mgumu kupewa nafasi nyingine tena.

May be....labda jamaa keshaonja limbwata kwa hiyo anajitutumia....Ila kama ningekuwa mie....Daaaaaaaaahhhhh....ningekimbia kama niko kwenye 100m race!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
yaani wee ukishasahihisha mtihani wangu nikafaulu basi mwingine habadili msimamo.

Kweli kuna haja ya kufunza mabinti zetu kujiamini kwa vyovyote walivyo.

Unajua nini Kongosho,

Huyu dada pamoja na matatizo yaliyomkuta, kama ningekuwa karibu naye ningemlabua vibao kwanza!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Duuuh aisee.....huyo kiboko.....mwanao wa kumzaa umkane na umlazimishe akuite shangazi kisa mwanaume????.....aisee yaani kama mimi huyo ni mamangu sitamsamehe kamwe......hivi kwanis kuwa na mtoto ni dhambi jamani???
sio dhambi harooo mie kweli kitu cha kwanza ningesema hapa nilipo niko very proud mupenzi tayari nina mtoto ,,sijui mchumba Angekata kona
 
Dada huyo anastaili kabisa kupata alichokipata, 5yrs bado hajamueleza alikuwa anasubiri nini?

Mimi namshauri asiendelee kulia lia badala yake ajikite katika kumueleza huyo jamaa kama ataelewa basi itakuwa bahati yake.
 
Siku zote ni vizuri unapokuwa kwenye mahusiano umfanye mtu akupende vile ulivyo kwa kumwambia ukweli wote kuhusu wewe. unapoficha madhara yake ndio hayo. kila mtu anapoamua kuingia kwenye mahusiano ana vigezo vyake na hivyo kusema mapema kunamfanya mtu afanye maamuzi sahihi kulingana na vigezo alivyojiwekea pindi awapo kwenye mahusiano.

Wapo ambao mtoto kwao sio ishu na hvo hata mwanamke awe na mtoto atamuoa tu, ila wapo wengine ambao mtoto kwao ni ishu. Nimeona mahusiano ya aina mbili yakivunjika na kushindwa kufunga ndoa kwasababu tu mwanamke ana mtoto na hawa walishafikia siku ya kulipa mahari. uhusiano mwingine mwanamke pamoja na kuwa na mimba na mwanamme mwingine kumkataa still alikubalika na tumbo lake na kuolewa na mwanaume mwingine.

Ukweli ni kwamba kitendo cha kuficha siri hii kwa miaka mitano huyu dada hakujitendea haki yeye mwenyewe na wala hakumtendea haki huyu mwanaume. Ningemuona wa ajabu kama huyu mwanaume angemuacha mwanzo wa uhusiano kwa kujua tu ana mtot. Ila kwa hapa hata simlaumu huyu mwanaume. La kumshauri ni kwanza aombe msahama wa dhati kuhusu hili kosa, then asubiri tu rehema za Mungu kwa kusali sana ili kama huyu ndo mume wake aliyepangiwa basi arudi wamalizie mambo. Atambue tu kuwa kama ni chako ni chako tu na lazima kirudi kwako ni swala la muda tu ila kama sio chako hata ufanyeje.
 
sio dhambi harooo mie kweli kitu cha kwanza ningesema hapa nilipo niko very proud mupenzi tayari nina mtoto ,,sijui mchumba Angekata kona

Sasa FirstLady inakuwaje mdada anasahau machungu yote ya ujauzito na kujifungua afu anaacha kumthaminisha mtoto first?.....huyo mwanaume kama kakupenda kweli wala hawezi kukukimbia eti kisa mtoto. ......hapo red lol nimecheka kwa loud spika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom