Kwanini hukunambia mapema M?

Seriously, Meggy lazima ana issues na mwanae
Sidhani kama ana mapenzi naye sababu anamuona ni 'aibu' au 'anguko' kwake
ndo maana hana ujasiri kumtaja kwa watu anaodhani ni wa maana kwake.

Unakumbuka ile stori ya mdada aliyenywesha sumu mtoto ili aolewe?
Mi naona zinahusiana ila tofauti ni 'degree ya ukichaa' tu wa kutaka kuolewa ndio umetofautiana.

Kweli kabisa
Kuna kitu kinaendelea kati ya jhuyu dada na mtoto wake ambacho may be alitaka kuficha sana kuwa ana mtoto sasa akaona ipo siku ataumbuka ndo maana kaamua kulisema
Haiingii akilini five years hujawahi kutaja jina la mtoto kwa mwanaume wako
haaingii akilini five years umekuwa nae may be outing hata marafiki zake na mwanamke hawajawahi kukutajia au kukuliiza habari za mtoto wako
 
Hata kama ningekuwa mimi ning'empa dada kibut cha aja.siku zote izo alikuwa analea kidonda ndugu poor wakati uwa akipon labda kwa maombi na miujiza
 
kuna wanaume washamba sana?....huyo afai katika jamii..kuzaa kitu gani bwanaaa?....ngoja nisain out maaana..khaaa..kwani mtoto ni sumu?
 
First mdada, there is nothing wrong there kabisa...si kwa M wala kwa N.
a) It is wrong kuwa na mtoto nje ya ndoa -->>this explains N's reaction(naturaly lazima aumie).
b) Timing ya kumuambia ni perfect -ajue kabla hajamek decision ila having a child hata kama ni nje ya ndoa ni pride jamani...Yani mi nikiwa na mtoto I will tell every body simfichi hata kidogo...kwanza namfichaje na ntakuwa naye all the time?
c) M ampe N time and space ndo tools anazohitaji kwa sasa...If Upendo uliota mizizi atarudi tu- Love is Love bana. Kama hatorudi upendo usioweza kushirikisha kosa la minutes (It only takes minutes to get pregnant) which brings a precious life (the child)...si Upendo wa kweli na wa kung'ang'ania ajirudishe sokoni atapata mdau mwingine anayemstahili.
d) Dont judge him yet huo ni upepo tu utapita
 
Ni kheri angemwambia mapema..jamaa angeamua kama anakuwepo au hatokuwepo..ht kama ningekuwa mimi nisingekuwa sawa..ila naiman jamaa atamsamehe tu..in a mean time dada anaweza kutumia rafiki wa karibu sana wa jamaa ili aongee naye na kupata muafaka,
 
hakumpenda kwa dhati! upendo wa kweli hauoni, husikii, haukwazi, hautafakari! nina mfano mdogo, cousin yangu alikuwa engaged, then jamaa akaenda masomoni south africa! waliendelea kuwasiliana baada ya mwaka jamaa karudi, aliporudi tu akamwambia cousin kuwa NIMEATHIRIKA NA HIV, if u ar ok tuendelee, if u ar not lets quit and i will understand u!

my cousin hakumuacha, waliendelea, walifunga ndoa, she is still negative sijui wanafanyaje? na watoto wawili wapo negative, and once ukikaa nao, utajua realy what luv is! shemeji akiumwa, mkewe hulala naye agakhan na kumhudumia UNCONDITIONALLY! Na tupo kumpa support! that is luv jamani! KAMA MTU ULIMPENDA UTAMUACHA SABABU YA MTOTO TU?? HAINIINGII AKILINI!
 
Asante Kaunga, maisha yenyewe yako wapi ya kupasuana mioyo kwa siri zisizo na mpango?

Yaani ni sawa na kuficha mimba wakati utazaa tu, bora mtu ajue mapema aamue kusuka ama kunyoa

Kama unadhani una 'big mouth' basi mie nina ungo lol
I know, mimi tumejuana maisha status kabla hata ya kuamua kuwa wapenzi. Hivyo tulivyoingia kwenye mahusiani kila mtu at least anajua what s/he is into. With my big mouth, sijui kuficha kuhusu my life ili ujue unapenda mtu wa namna gani.
 
Last edited by a moderator:
Napingana na wewe kwa point b, kama alitaka kuwa fair angesema mwamnzo labda huyu N asingeingia wala kwenye mahusiano hayo.
Labda sababu ya kuingia kwenye mahusiano kwa N ilikuwa natafuta mtu wa kuoa na si kupitisha muda, na inavyoonekana N hayuko tayari kuishi na mwanamke mwenye mtoto.

So timing ya kumwambia haikuwa sawa kabisa

First mdada, there is nothing wrong there kabisa...si kwa M wala kwa N.
a) It is wrong kuwa na mtoto nje ya ndoa -->>this explains N's reaction(naturaly lazima aumie).
b) Timing ya kumuambia ni perfect -ajue kabla hajamek decision ila having a child hata kama ni nje ya ndoa ni pride jamani...Yani mi nikiwa na mtoto I will tell every body simfichi hata kidogo...kwanza namfichaje na ntakuwa naye all the time?
c) M ampe N time and space ndo tools anazohitaji kwa sasa...If Upendo uliota mizizi atarudi tu- Love is Love bana. Kama hatorudi upendo usioweza kushirikisha kosa la minutes (It only takes minutes to get pregnant) which brings a precious life (the child)...si Upendo wa kweli na wa kung'ang'ania ajirudishe sokoni atapata mdau mwingine anayemstahili.
d) Dont judge him yet huo ni upepo tu utapita
 
Angepaswa kumwambia toka awali bana! 5 years ni mda mrefu sana kumficha mtu kitu ambacho unadhani ni muhimu ajue!
 
hakumpenda kwa dhati! upendo wa kweli hauoni, husikii, haukwazi, hautafakari! nina mfano mdogo, cousin yangu alikuwa engaged, then jamaa akaenda masomoni south africa! waliendelea kuwasiliana baada ya mwaka jamaa karudi, aliporudi tu akamwambia cousin kuwa NIMEATHIRIKA NA HIV, if u ar ok tuendelee, if u ar not lets quit and i will understand u!

my cousin hakumuacha, waliendelea, walifunga ndoa, she is still negative sijui wanafanyaje? na watoto wawili wapo negative, and once ukikaa nao, utajua realy what luv is! shemeji akiumwa, mkewe hulala naye agakhan na kumhudumia UNCONDITIONALLY! Na tupo kumpa support! that is luv jamani! KAMA MTU ULIMPENDA UTAMUACHA SABABU YA MTOTO TU?? HAINIINGII AKILINI!

Unconditional kwenye uongo (au kukaa na fact muhimu siku zote)?
Kitu kama kuwa na ndoa kabla, watoto nk ni mambo ya msingi na yanahitaji kuwekwa sawa mwanzoni mwa uhusiano.....

Nina swali kwa wakaka, l hope Asprin, Dark City, Mr Rocky na wengine watanisaidia.
Hivi mdada aliyenyonyesha ukiwa naye huwezi gundua?

Najua kuna wadada wachache ambao unaweza usione tofauti, lkn majority it shows.

Kaunga ikiwa ni mapema sana yaani ndo ameacha kunyonyesha karibuni utamgundua tuu
Ila kuna wengine wana maumbile ya ajabu sana
Yaani licha ya kunyonyesha hajabadilika kabisa na kama ni manyonyo yako vile vile hayabadilika
Sometime Kaunga ni ngumu iwapo ni issue kama ya huyu mtoto ni mkubwa ana miaka 9 na hakuna incidence yoyote hapo kati ya kuwa alishawahi kushika ujauzito tena
 
Sidhani, kuna wengine mamnyonyo yanakuwa ndala sababu ya kupanga tu list ndefu.
Kuna wengine wana saa sita kama ya kimasai au kizulu so huwezi jua.

Unajua kwenye uzazi baadhi wanakuwa deformed tofauti tofauti, wengine matumbo, wengine nyonyo, wengine sijui nini

Dah, its complicated I guess.

Nina swali kwa wakaka, l hope Asprin, Dark City, Mr Rocky na wengine watanisaidia.
Hivi mdada aliyenyonyesha ukiwa naye huwezi gundua?

Najua kuna wadada wachache ambao unaweza usione tofauti, lkn majority it shows.
 
FirstLady1 pole kwa rafiki yako ambae kwakweli kanishangaza haswaaa.......yani wewe unakua na mahusiano bila kumueleza ukweli huyo umpendae wajameni???? Huyo kaka hata asipomrudia sitamlaumu hata kidogo,kwanza akimrudia huyo dada nae itabidi aogope kidogo maana sidhani kama trust tena itakuwepo.
Samahani lakini, ila nahisi ana uwezo hata wa kumkana mwanae akiahidiwa mambo mazito looh!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Big up Ladies, naweza kusema mmefunga Siredi....Watu wanachezea Upendo-miaka mi5 unambagua mwanao kiasi kicho! Humwambii the man you Love about it.....Hapa nna wasiwasi na mapenzi ya mama kwa mtoto. Halafu sasa unampendaje mtu kama your own flesh and blood unaficha! Kha!
Oh God U wapi Upendo uliotufundisha?

Kongosho, saa ingine najiogopa kwa kuona akili yangu inakaribia kufanana na yako, uwiii!

Yaani on the first date na mtoto ataongelewa na kupigiwa simu,kha! Amemkosea sana huyu kaka. Tatizo ni moja, hii ameisema siku chache kabla ya engagement, mengine atayasema a day before harusi ama? Akaanze upya aisee, keshalikoroga. Otherwise ampe kaka wa watu space akijisikia atarudi mwenyewe!

I know, mimi tumejuana maisha status kabla hata ya kuamua kuwa wapenzi. Hivyo tulivyoingia kwenye mahusiani kila mtu at least anajua what s/he is into. With my big mouth, sijui kuficha kuhusu my life ili ujue unapenda mtu wa namna gani.

hakumpenda kwa dhati! upendo wa kweli hauoni, husikii, haukwazi, hautafakari! nina mfano mdogo, cousin yangu alikuwa engaged, then jamaa akaenda masomoni south africa! waliendelea kuwasiliana baada ya mwaka jamaa karudi, aliporudi tu akamwambia cousin kuwa NIMEATHIRIKA NA HIV, if u ar ok tuendelee, if u ar not lets quit and i will understand u!

my cousin hakumuacha, waliendelea, walifunga ndoa, she is still negative sijui wanafanyaje? na watoto wawili wapo negative, and once ukikaa nao, utajua realy what luv is! shemeji akiumwa, mkewe hulala naye agakhan na kumhudumia UNCONDITIONALLY! Na tupo kumpa support! that is luv jamani! KAMA MTU ULIMPENDA UTAMUACHA SABABU YA MTOTO TU?? HAINIINGII AKILINI!

Asante Kaunga, maisha yenyewe yako wapi ya kupasuana mioyo kwa siri zisizo na mpango?

Yaani ni sawa na kuficha mimba wakati utazaa tu, bora mtu ajue mapema aamue kusuka ama kunyoa

Kama unadhani una 'big mouth' basi mie nina ungo lol
 
Sidhani, kuna wengine mamnyonyo yanakuwa ndala sababu ya kupanga tu list ndefu.
Kuna wengine wana saa sita kama ya kimasai au kizulu so huwezi jua.

Unajua kwenye uzazi baadhi wanakuwa deformed tofauti tofauti, wengine matumbo, wengine nyonyo, wengine sijui nini

Dah, its complicated I guess.

Au na umri pia, nina rafiki yangu tunafanya naye kazi ni mlokole (so the foleni is out of question) sometimes nawaza sijui kama anaDO, anyway ilibidi nimshike manyonyo yake, nilitegemea yawe na kaugumu fulani lakini hola. Sikuweza muomba anitolee nione without a bra yanakuwaje but ungeweza sema amenurse baby. Again angalia watawa wa kike wenye umri mkubwa. Hivyo nakubaliana na mtazamo wako lkn na umri pia unachangia.
 
Oh Thank you Jesus for the Cute baby that u gave me..... jamani i love my daughter na hata siku moja sitakaa nimkane mtoto wamgu kisa mwanaume....... kwani yeye aliingia Leba lol kama mtu ananipenda shurti ampende na mwanangu...

Back to topic: Pole mdada, amini Mungu ana kusudi na kila kinachotokea chini ya jua. huenda umeepushiwa kitu kwa huyo kaka kama alipangwa kuwa mmeo atarudi tuuu na kama hakupangwa huenda hata mbeleni huko mngelishindana.... Jipange upya we sio wa kwanza wala wa mwisho kuachwa tena shukuru umeachwa kabla ya engagement wengine huacha baada ya engagement na lipete mkononi!!!! Usife moyo Mungu yu pamoja nawe!!!!!
 
Hii ndio faida ya usiri, chonde wadogo zangu wa KE jitahidini kuwa wawazi tokea siku ya kwanza mwenzio anapoonyesha kutaka mahusiano na wewe, hivi ukisema ukweli inakuwaje? bora uumie siku ya kwanza kuliko kuumia baada ya siku/miaka kadhaa jeraha lake halitibiki. na vijana wa siku hizi mara chache kuoa mdada aliyezaa. Inabidi akubali matokea, aombe Mungu atapata mwingine.
 
Back
Top Bottom