Kwanini hackers wanavaa Mask na Kofia wakiwa katika shughuli zao?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,553
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
 
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Unachekesha kweli kweli. Wewe unazungumzia alama zinazotumika na hackers ukidhani wakati wako kazini wanavaa mask? Hizo masks ni ishara tu kuonyesha mtu anayefanya kitendo hicho ameji-mask kidigital, yaani amejificha kidigital.
 
Means Anonymous yani WATU WASIOJULIKANA

Miaka ya 90 kuna kundi lilivuma linaitwa Anonymous walikichafua sana sasa sheria yao ilikua inabidi usioneshe sura na usijiexpose kivyovyote vile.Na walipiga matukio ya udukuzi ya kibabe hivyo alama yao ilikua ni kuvaa anony mask ambazo hii generation ndo tunawaiga wao

Hizo mask zinauzwa Ebay,Amazon n.k lakini kuvaa hizo haimaanishi wewe ni hacker kwa ground Udukuzi ni kazi ngumu sana
 
Hacker anajimask kimtandao yaani digitally, kuanzia location, IP adress, MAC adress na vitu vingine vya kimtandao zaidi ila sio physically kwa kuvaa mzula, utakuwa hacker wa ajabu kama camera tu ya pc yako utashindwa kuihack isikupige picha, mask mara nyingi notion tu wanatumia kama logo ya kupresent mtu anonymous(hacker)
 
Unachekesha kweli kweli. Wewe unazungumzia alama zinazotumika na hackers ukidhani wakati wako kazini wanavaa mask? Hizo masks ni ishara tu kuonyesha mtu anayefanya kitendo hicho ameji-mask kidigital, yaani amejificha kidigital.
Exactly japo nlikuwa kwenye mkumbo wa mleta mada but jibu hili ni LA viwango vya DP welidi.
 
Hackers and Hats Explained – Tech Tip for November 15, 2019


Can you tell the difference between an evil hacker and an ethical hacker? Not all hackers wear the same hat. That’s why this week, we’re exploring different types of hackers—and not all of them are bad!

In order to keep them straight, hackers are universally categorized by metaphorical “hats.” Each type of hacker dons a different color hat which helps us understand their motivations and improve our security.

If you’re into old Western films, you’ll catch on quickly: the cowboy with the white hat is usually the good guy, and the one with the black hat is the bad guy. But what happens if you meet someone with a grey hat? Let’s find out…

What are Black Hat Hackers?

A western cowboy, symbolizing a black hat hacker.


Black Hat refers to a hacker who uses their skills for personal gain. These types of hackers will break into your computer system or network to steal or destroy your private data. They do it for the money or other malicious reasons and they’re experts at exploiting your security vulnerabilities. Black Hats can easily alter, disrupt, or shut down a company’s websites and networks.

What are White Hat Hackers?

A cowboy with his horse and sweetie, symbolizing a white hat hacker.


A White Hat is what we call an ethical hacker because they use their hacking skills for good. Typically, you’ll encounter a White Hat as a computer security specialist. They are skilled at breaking into protected computer systems and networks to test and assess their security.

Companies hire White Hats and give them permission to hack their system in order to see if there are any holes in their security. White Hats can show a company where they are most vulnerable and help them protect their data from Black Hats.

What are Grey Hat Hackers?

A grey cowboy hat, symbolizing a grey hat hacker.


Grey Hats refer to hackers who don’t necessarily play by society’s rules. They choose to break the law like Black Hats, but they’re not necessarily bad. For example, a Grey Hat will break into a company’s network or computer system and search for vulnerabilities without permission. This is an illegal form of hacking. However, if they find any issues in the system, they will report the problem to the company and will usually offer to fix it for a small fee.

What is a Script Kiddie?

Young boy with lasso, symbolizing a script kiddie.


The term sounds innocent enough, but a Script Kiddie (or Skiddie for short) is an amateur hacker and knows little to nothing about programming. They act like a child online, tinkering with a bunch of software they don’t understand and using it to launch attacks on computer systems and networks. While they come off as annoying internet trolls, don’t underestimate them. They’re pretty skilled at manipulating users online via fake emails and fake websites.

What are Green Hat Hackers?

Young boy dressed in western wear with a lasso, symbolizing a green hat hacker.


Similar to a Script Kiddie, a Green Hat is also a newbie when it comes to hacking. However, this type of hacker is a little more serious about cultivating their hacking skills. While they may not know as much as a full-fledged hacker, they can still cause a lot of damage without knowing it and, what’s worse, they usually have no idea how to fix it.

What are Red Hat Hackers?

Sketch of Robin Hood, symbolizing a red hat hacker.


Red Hats are the most sophisticated category of hackers because they focus on hacking the Black Hats. They don’t necessarily follow the law, but they use their skills to find and sabotage malicious hackers. They’re sort of like the Robin Hoods of the virtual world; even though they partake in illegal hacking, they’re doing it for the greater good.

 
Movie zitawapeleka pabaya.

1_ hacker havai makoti wala makofia
2_ hacker hatype kwa kasi ile mnayoona.. yaan keyboard mpk inawaka moto.. ahaaa jmn!!
3_ MWISHO
Kuhack mfumo kuna stage zake si chini ya 5.

Kuanzia reconnaissance mpk post attacking period na ku swipe footprints.
 
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Umenichekesha aisee😡😡
 
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa
Nimeona watu wanapata tabu baada ya akaunti zao kuwa hacked like this
Screenshot_20230805-212746.jpg
 
Unachekesha kweli kweli. Wewe unazungumzia alama zinazotumika na hackers ukidhani wakati wako kazini wanavaa mask? Hizo masks ni ishara tu kuonyesha mtu anayefanya kitendo hicho ameji-mask kidigital, yaani amejificha kidigital.
Thread closed
 
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Haha haha uhalifu unaogopesha
 
Hello I.T fans..

naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)

hivi sababu ni zipi hasa?

Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Kujikinga ili asijulikane na mashirika ya kijasusi au serikali ukiona kadakwa huyo akuficha ip address yake
 
Simply inaonyesha hacker hataki aache trace(s) of his identity, kwahiyo ulivyoeleza ni njia ya kumportray tu.
 
Back
Top Bottom