Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Mbona mawazo yako yanatofautiana na jina lako!kwa kuwa kasema dr. slaa post karibu zote zina sapoti wangesema wengine humo tungesikis wametumwa na magamba na majina kibao wangepewa

Nimeshangazwa na kitendo cha Dr.slaa kulisifia jeshi la polisi kuwa limeanza kuelewa maana ya majukumu yake kwa kutenda haki na kutowapiga wanachadema waliokamatwa kwenye sakata la viwanja vya Arusha. Mimi binafsi naona jeshi ili bado linaendesha ukatili kwa wanchama wa vyama vya upinzani kinyume na usemi wa katibu mkuu wa Chadema.
source:twitter akaunti ya Dr slaa
twitter@drwilbroadslaa

kwani uongo sasa bado kidogo lakini siku hizi hawaui tena!
Ukiwa mdini,kurunzi lako litakuonyesha udini.Mhhh maneno haya angesema Zitto (muislam), basi ungesikia ooh CCM huyo, pandikizi, msaliti, na sifa zote mbaya...lakini kasema PADRI mstaafu Slaa (mkristo), basi sifa zote nzuri anapewa, sijaona post iliyo against na kiongozi wao wakiroho na kisiasa!
Bravo, ukitaka kujuwa rangi ya CDM njoo JF, ni typical udini mtupu! Wanachuki na uislam na waislam, sipati picha hata kwa bahati mbaya mkatawala nchi hii...hivi waislama watasalimika kweli?
Kweli nimechoka na CCM lakini na CHEDEMA hapana, sitojaribu! Haihitaji kurunzi kujuwa ni chama chenye wafuasi na itikadi ya dini gani!
Wamesema waungwana "Zimwi likujualo, halikwili likakwisha" Bora nibaki na zimwi hili linijualo (CCM) kuliko hilo lisilonijuwa! Ntaendelea kusubiri mpaka kitakapo kuja chama mbadala wa CCM!
Nimeshangazwa na kitendo cha Dr.slaa kulisifia jeshi la polisi kuwa limeanza kuelewa maana ya majukumu yake kwa kutenda haki na kutowapiga wanachadema waliokamatwa kwenye sakata la viwanja vya Arusha. Mimi binafsi naona jeshi ili bado linaendesha ukatili kwa wanchama wa vyama vya upinzani kinyume na usemi wa katibu mkuu wa Chadema.
source:twitter akaunti ya Dr slaa
twitter@drwilbroadslaa
kuna watu wameponda sana ishu ya cdm kuweka kambi pale nmc wakisema kuwa ni kitendo cha kitoto. Hawaijui siasa. Siasa inapimwa kwa vitu vingi. Wanaofanya siasa ndio wanaojua. Sasa cdm wangefaham vipi kuwa polisi wamepunguza kupiga? Hii inaitwa longitudinal research. Wanaisoma dola hatua kwa hatua na sasa wamegundua kuwa dola iko pamoja nao. Kinachosubiriwa ni muda tu waweze kusaidia upinzani in full
Nimeshangazwa na kitendo cha Dr.slaa kulisifia jeshi la polisi kuwa limeanza kuelewa maana ya majukumu yake kwa kutenda haki na kutowapiga wanachadema waliokamatwa kwenye sakata la viwanja vya Arusha. Mimi binafsi naona jeshi ili bado linaendesha ukatili kwa wanchama wa vyama vya upinzani kinyume na usemi wa katibu mkuu wa Chadema.
source:twitter akaunti ya Dr slaa
twitter@drwilbroadslaa
nakuunga mkono hata wanajeshi walikuwa wanavalia kiraia wanahudhuria mikutano ya cdm.Polisi nao maisha ni magumu maana pesa hiyohiyo ya mshahara wanatunza familia zao na kusaport wazazi wao tunaoishi nao mitaani kwenye maisha magumu.Hauna taarifa ktk uchaguzi uliopita CDM iliongoza ktk vituo vyote vilivyokuwa kwenye kambi za polisi?
Na vipi angesema prof Safari au Mh Halima mdee??? Kwanza mkuu Zito angesemaje wakati hayuko Arusha bali ni mgonjwa na yuko India??? Wewe unayejua itikadi za wengine una itikadi gani?! Katika post zote hapa ni nani ameonyesha udini kama siyo wewe?! Hizi dini zenu angalau zingewasaidia kuacha unafiki na chuki, tungeziona za maana... Hivi mtu kama Shibuda au Chenge ni waislamu?! Yaani imefika mahali watu kama wewe mnataka kabla mtu hajakosolewa mkosoaji aangalie jina, kama siyo wa dini yake asimkosoe kwa sababu tu mtasema anamkosoa kwa sababu si wa dini yake...!!!Mhhh maneno haya angesema Zitto (muislam), basi ungesikia ooh CCM huyo, pandikizi, msaliti, na sifa zote mbaya...lakini kasema PADRI mstaafu Slaa (mkristo), basi sifa zote nzuri anapewa, sijaona post iliyo against na kiongozi wao wakiroho na kisiasa!