Kwanini Dr Slaa ana chuki kubwa sana na Rais Samia?

Kwanza huyo Rais Samia wako kulingana na kigezo cha elimu hana sifa ya kugombea urais. Pale yupo kwa bahati mbaya maana hakugombea na kushinda. Katiba mbovu ilimbeba baada ya kifo cha JPM.
Acha ujinga wako hapa. Elimu gani uliyonayo unayoweza kulinganisha na Elimu kubwa na ujuzi na maarifa ya kutosha aliyo nayo Mh Rais wetu?
 
Huyu mama ni muendelezo uleule wa uongozi ulioshindwa, yeye nia yake, sawa na watawala wengine waliomtangulia, ni kuandika historia ya kuwahi kuwa rais wa Tanzania lakini bila kuifanyia hii nchi chochote cha maana cha kuwanufaisha wananchi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Anachuki kwa kila muislam akiwa kiongozi
 
Huyu mama ni muendelezo uleule wa uongozi ulioshindwa, yeye nia yake, sawa na watawala wengine waliomtangulia, ni kuandika historia ya kuwahi kuwa rais wa Tanzania lakini bila kuifanyia hii nchi chochote cha maana cha kuwanufaisha wananchi.
Rais Samia amefanikiwa sana kiuongozi ndani ya muda mfupi.ndio maana kila eneo utakapo tizama unaona mikono ya Rais samia.nenda katika afya, elimu, miundombinu,ajira,n.k.unaona namna tulivyofanikiwa pakubwa chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais samia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
mtu mzima akizeeka anaanza kubihave kama mtoto mdogo.
ndicho babu dr slaa anachofanya. Kudeka kwing na kulalamika.........
 
Wewe una shida. Kama dr slaa anamchukia mama ni kwamba anamuelewa sio kama wewe humjui.
 
i like the guy kwa sababu yuko real ,Mzee slaa ni mtu anapenda nchi yake sana na uzee wote kuliko hivyo vitu vingine. na ni mmoja kati ya watanzanbia wachache mtu aki perform atampenda na kama anafanya fyongo hawawezi kukaa chungu kimoja na dr slaa
 
Lini Dr Slaa amewahi kupongeza kazi njema na nzuri anazofanya mh Rais?
 
Wewe siku zote huwa unaandika vitu kiuongo uongo na kizushi tu. Embu niwekee hapa huo ushahidi wa kusema rasilimali zetu zimegawiwa kwa waarabu. Kwani ulikuwa mgonjwa au ICU wakati mkataba mzuri uliopongezwa na mamilioni ya watanzania ulipokuwa unasainiwa? Mkataba ulioonyesha kuwa ni wa muda wa miaka 30 tofauti na nyie wapotoshaji na wanafiki mliokiea mnasema mkataba ni wa milele? Hufahamu kuwa mkataba wa sasa pia utakuwa au unakipengele kinachoeleza kuwa kutakuwa kunakuwa na mapitio ya utekelezaji wa mkataba kila baada ya miaka mitano? Hufahamu kuwa mkataba wa sasa ambao utachochea na kuongeza ufanisi pale bandarini unahusu bandari ya Dar es salaam pekee na tena ni kwa baadhi ya tu ya maeneo ya siyo eneo lote tofauti na nyie wapotoshaji ,wanafiki ,waongo na wachonganishi mliokuwa mnasema bandari zote za Tanzania Bara zimetolewa bure?

Suala la katiba japo hapa naona umeonyesha uwezo wako mdogo na kutoelewa kinachoendelea hapa nchini. Kwa kukusaidia fuatilia majadiliano na mawasilisho wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya kikosi kazi. Upatikanaji wa katiba mpya upo katika mchakato na kila mdau na mtanzania yeyote yule anaelewa dhamira njema ya serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais samia katika kuwapatia katiba mpya Watanzania.

Ndiyo maana kila mwenye akili timamu anajua wewe ni punguani au uliyeamua kujitia upunguani kwa sababu ya dhamira yako chafu.

Wewe unaongelea HGA, wenye akili timamu wanaongelea mkataba mama IGA. Leta hapa kipengere cha IGA kilichobadilishwa. Maadam IGA inaendelea kusimama, nchi bado imekalia bomu ambalo linaweza kulipuliwa wakati wowote na mshika mpini DPW atakapoamua.

Ujinga wa dana dana za kudai katiba haipatikani mpaka shule itolewe kwa watanzania wote, unawafaa ninyi msio na akili. Lakini Watanzania wenye akili walishatoa maoni yao yaliyopitia michakato ya kisheria na kikatiba kwa Tume ya Warioba. Yanayoendelea sasa, sijui habari ya kutoa elimu, lengo ni kuhakikisha katiba haipatikani. Kinachofanyika ni dhamira chafu.

Kama kuna haja ya kutoa elimu, basi elimu hiyo alistahili kupewa Rais Samia ambaye mpaka ameapa kulinda katiba lakini haelewi uzito na umuhimu wa katiba, kiasi cha kufikia kuiita katiba ni kijitabu.
 
Ndiyo maana kila mwenye akili timamu anajua wewe ni punguani au uliyeamua kujitoa upunguani kwa sababu ya dhamira yako chafu.

Wewe unaongelea HGA, wenye akili timamu wanaongelea mkataba mama IGA. Leta hapa kipengere cha IGA kilichobadilishwa. Maadam IGA inaendelea kusimama, nchi bado imekalia bomu ambalo linaweza kulipuliwa wakati wowote na mshika mpini DPW atakapoamua.

Ujinga wa dana dana za kudai katiba haipatikani mpaka shule itolewe kwa watanzania wote, unawafaa ninyi msio na akili. Lakini Watanzania wenye akili walishatoa maoni yao yaliyopitia michakato ya kisheria na kikatiba kwa Tume ya Warioba. Yanayoendelea sasa, sijui habari ya kutoa elimu, lengo ni kuhakikisha katiba haipatikani. Kinachofanyika ni dhamira chafu.

Kama kuna haja ya kutoa elimu, basi elimu hiyo alistahili kupewa Rais Samia ambaye mpaka ameapa kulinda katiba lakini haelewi uzito na umuhimu wa katiba, kiasi cha kufikia kuoita katiba ni kijitabu.
Huna adabu wale heshima wala akili kabisa wewe ndio maana unaandika maneno hayo yaliyokosa adabu zidi ya mh Rais.hivi wewe ndio wakusema kwamba mh Rais wetu apewe Elimu?
 
Lucas mwashambwa , wewe Huwa huna mama?
Huyu amekosa tu akili. Unaweza kuta mama na baba yake ni watu wenye akili timamu kabisa, lakini mtoto ndiyo hasara. Anamkana Mama yake, na kuishia kujibandikiza kwa mzazi asiye wake.

Kwa mwenye akili timamu, hata kama mzazi wako ana chongo, ndiye mzazi wako. Utaonea fahari kwa kuwa na mzazi huyo, na kamwe hutaonea fahari mzazi asiye wako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Slaa hawezi kupenda bomu la kienyeji
 
Huna adabu wale heshima wala akili kabisa wewe ndio maana unaandika maneno hayo yaliyokosa adabu zidi ya mh Rais.hivi wewe ndio wakusema kwamba mh Rais wetu apewe Elimu?

Upumbavu na ujinga siyo sehemu ya heshima wala hekima.

Japo najua akili na upeo wako ni duni, kwa akili yako hiyondogo, unaona Rais mwenye uelewa anaweza kutamka katiba aliyoapa kuilinda ni kijitabu tu kisicho na mchango wowote kwenye ustawi wa nchi?

Kama ni kijitabu kisicho na umuhimu kwa nini aliapa kuwa atakilinda?

Ninyi wanafiki punguani, ndio mnaompoteza Rais. Uzuri ni kwamba hata Rais mwenyewe anajua kosa alilolifanya. Wala hawezi kukufikiria punguani wewe kama mtu mwenye msaada kwake au kwa Serikali yake. Mpaka sasa anajua kabisa kuwa kuwategemea punguani wanafiki wanaompamba kwa sifa za kinafiki, ni kupotea.
 
Back
Top Bottom