Kwanini collabo za Alikiba anafanya kama hajui mziki?

Mkuu umechapia apo unaijua vzuri iyo lugha?
Nimechapia wapi, hebu onesha tuone nimechapia wapi na kwa vipi nijifunze na mimi.

Unapoandika "apo", "vzuri" na "iyo" unapata wapi nguvy ya kuniambia mimi nimechapia?

Wewe hiyo lugha uliyoandika unaijua vizuri?
 
Mkuu andika kiswahili halisi
 
Msaidie huyo jamaa wa juu hapo kunijibu hilo swali,maana mnaongea kwa ushabiki zaidi kuliko data.

Punguza kukariri maisha mkuu.
Hiloo ndo tatizo la binadamu wengi yani unataka awe kama diamond au apitie stage zote alizopitia diamond. Wote wametoboa kwa maziringira t
14317600_1289731871051019_257461828479096339_n.jpg
ofauti
 
Nimeshangaa sana collabo zilizo nyingi za Alikiba anafanya na watu wasio eleweka kama ndo wanaanza game, nilitegemea kuona anasuka colabo za maana na watu wa maana ila mambo kwahuyu jamaa ayapo hivo, tatizo nini kwa huju jamaa, nadhani ndo maana hawezi hata kuja kutoboa kimataifa zaidi.
Anawatoa wasanii wachanga, tatizo li wapi?
 
Msaidie huyo jamaa wa juu hapo kunijibu hilo swali,maana mnaongea kwa ushabiki zaidi kuliko data.
Sikuelew naona kma unaongea pumba iv naomba niache kidogo data huna ushabiki huna uelewa wenye huna
 
Mimi nataka unijibu,kama swali hujalielewa si vibaya ukitaka nikueleweshe kusudio la swali langu.Kinyume na hivo wewe huna jibu ndio mana unajichanganya.
 
Kwan ww unachotaka kukijua ni nini kama unataka kumkrash kiba kwamba hajatoboa utakuwa ni mgen wa mziki ww cbure
 
Nimeshangaa sana collabo zilizo nyingi za Alikiba anafanya na watu wasio eleweka kama ndo wanaanza game, nilitegemea kuona anasuka colabo za maana na watu wa maana ila mambo kwahuyu jamaa ayapo hivo, tatizo nini kwa huju jamaa, nadhani ndo maana hawezi hata kuja kutoboa kimataifa zaidi.
Ili uonekane bora ni lazima udhihirishe ubora wako kwa kuwavuta walio chini ili waje juu.Agent wa Yaya Toure alimwambia Pep Gurdiola kwamba kama kweli wewe ni kocha mzuri nenda kafundishe timu ndogo.Actually Kiba anaonekana anafanya kolabo na wasanii ambao hawajui mziki kwa sababu watz tumekuwa na mentality ya ku-shine muda wote!!wewe unafikiri kwanini corabo ya Sauti sol$Kiba ipo hot sana?
 
Back
Top Bottom