Kwanini collabo za Alikiba anafanya kama hajui mziki?

Juma juxx

JF-Expert Member
Aug 18, 2016
313
148
Nimeshangaa sana collabo zilizo nyingi za Alikiba anafanya na watu wasio eleweka kama ndo wanaanza game, nilitegemea kuona anasuka colabo za maana na watu wa maana ila mambo kwahuyu jamaa ayapo hivo, tatizo nini kwa huju jamaa, nadhani ndo maana hawezi hata kuja kutoboa kimataifa zaidi.
 
Unaangalia jina au unasikiliza muziki?

Umesikiliza "Aje" remix na M.I ?

Umeelewa double entendre za M.I ?
 
Ngoja nipite... wakija wenyewe humu tutalaumiana.. sijui meneja wake anamshauri nini mfalme Kiba.
 
Ally kiba bado hajafanya collabo nyingi na wasanii wa kimataifa lkn uwezo wa Ally kiba ni mkubwa sana kwenye kuimba bongofleva..Tunahitaji wasanii wengi zaidi hapa Tanzania wapige hatua na kuitangaza bongofleva yetu kimataifa kupeperusha bendera yetu ya taifa
 
Kama ni hivyo basi Mad ice ametoboa kabisa maana yeye anaish huko huko na anapiga shoo kama kawaida

Fb ndo kuna nini
Huyo Mad ice hebu weka video yake akifanya shoo ya peke yake na amejaza. Usipofamya hivo wewe ni mnafki.
 
Back
Top Bottom