Kwanini CHADEMA wanaficha video ya Q & A aliyofanya Mbowe DMV?

Ninaamini katika kuheshimu mawazo ya binadamu wenzangu, hata kama yana mapungufu ninalo jukumu la kumsahihisha au kumrekebisha kwa staha. Mtoa hoja hii anataka kujua hiyo VIDEO "ILIPOFICHWA" na kama iliwahi kuoneshwa basi tungemjulisha mtoa mada kuwa VIDEO ilishaoneshwa na kama kuna wasamaria wema wanayo wamsaidie tu. MTOTO AKIJISAIDIA VIBAYA USIACHE KINYESI KIKAKAUKA KTK MWILI, CHUKUA MAJI UMSAFISHE NA SIO KUTUMIA GUNZI LA MAHINDI ATACHUBUKA.
 
Hapa ukitaka habari iwe na positive response uionge ccm vibaya,apo aaahh!!!,ila ukiiponda cdm na tena ukawataja viongoz wajuu weeee!!!,unatafuta kuitwa majina yote!,kichaa,hujielew,blaa blaa,mleta thread kajipange ukampambe mkt ndo tutakuelewa!,hahaha!!!
 
..........................
Tano na mwisho ningependa kuuliza kwa nini Video ya MASWALI NA MAJIBU kwenye mkutano wa DMV uliwekwa kapuni na CHADEMA? Hawa CHADEMA alivyo media savy tulitegemea MEDIA DEPARTMENT YA CHADEMA wangeweka vidoe zote kwenye:

Website yao

Blog yao
youtube channel yao

Hasa ukizingatia waziri kivuli wa utamaduni bwana mbilinyi alikuwepo kwenye ule msafara.

sasa kwa nini haya mambo ya TRANSPARENCY yamekuwa kama ya CCM? Kuna siri gani?

Mambo yaleyale ya wanaoulizia injili Feki ya Barnabas......Kwanini muamue kuchagua distorted things kama Facts na misingi ya attacks zenu?Hamuoni mnadanganyika kuliko muwapingao?
 
haya unayoeleza yana umuhimu gani katika ujenzi wenye umakini katka taifa linaloangamia na kila aina ya kidonda
au ndo kuwa mnajali kuchambua vitu vya matamanio yenu kuliko usalama wa jamii ya kitanzania umewakolea hata wewe sitakuamini tena hufai
 
sasa wameficha kuwa kulikuwa na nini usalama wa ccm mna kazi ya ziada kuamini mabadiliko yanazuiliwa kinafiki si rahisi kama mnayosema
 
Back
Top Bottom