tameer
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 773
- 1,448
sasa si robotatu ya muslims watakuwa makafir kwa mtaji huo?
Ingekuwa uislam ni dini ya mufti angewatoa watu kwenye dini.
La kushangaza tu mitume wa mungu wame muomba allah awafishe hali ya kuwa wao ni waislam. It means hawana uhakika na wao kwamba wataingia katika ufalme.
La kushangaza huyu mufti (mnafiki mmoja tu) yeye amesha jipa uhakika na ataingia katika ufalme wa allah na anathubutu kuwatoa waislam wengine kwenye dini ya allah utafikiri ni dini yake.
Uislam bana sio kiivyo kama dini za kijanja janja. Hii ni dini ya allah tu, mufti yeye ni ka mtu tu ambako kakiboa sisi waislam tunamchana tu uislam haungalii ( alafu wala haumuhitaji mtu ila sisi waja ndo tunaitaka uislam ili tufanikiwe kuwa katika ufalme wa allah na kuokoka na adhabu za allah.
Mufti uislam haumtaki ila yeye ndo anautaka.
Sasa kama sisi ndo tunaitaka huu uislam nani kakupa idhini ya kuwafuta watu kwenye hii dini.
Huyu mufti laaana tu inamsumbua na njaa