Kwanini baadhi ya wanandoa wapo hivi?

Ngoja na mimi nijitafutie pete yangu fake ili niwakamate babies kiulaini. Hiyo mimi nitaivaa full time.

Well said wenye ndoa ni raha unakuwa free akiwa kwa mkewe kuliko kukaa na vijivulana single kutwa kushinda na wewe kila kona yuko mgongoni mwako na pia salio la wenye ndoa linaridhisha hamna longoX2!
 
Washamba hao,wenye pete ndio wanatakiwa sana na wadada siku hz, tena utakuta mdada kabisaaa anaangalia kwanza kama kuna pete kidoleni

@BlackBerry kwa hiyo, wadada wengi mnapenda kutafuna vya wenzenu na hamtaki kujitafutia vyenu? Hebu tujuze kama vipi tukajinunulie pete...
 
Pete ilikuwa na maana miaka hiyooooo, leo hakuna kitu ni fashion tu kuvaa. Kuna wengine wetu hapa hatuvui lakini tunachakaza vijaruba kwa sana.
 
Washamba hao,wenye pete ndio wanatakiwa sana na wadada siku hz, tena utakuta mdada kabisaaa anaangalia kwanza kama kuna pete kidoleni
Sasa wamekwambia wao wanataka wadada??!!!!!!!!! Je kama sababu ya kuondoa hizo pete ni kukwepa hao machangu papa??!!
 
Sasa wamekwambia wao wanataka wadada??!!!!!!!!! Je kama sababu ya kuondoa hizo pete ni kukwepa hao machangu papa??!!
Hakuna kitu kama hicho, uvue pete halafu useme unakwepa kitu kama hicho, kuvua pete hakuzuii kitu kama unakihitaji toka moyoni utafanya uwe na pete ama usiwe nayo
 
Back
Top Bottom