kwamwe usiende fiesta,RICK ROSS anakuja,je unajua Mungu anayemwabudu?soma hii

Kwa lugha ya wenzetu, Holy Ghost ni sawa na Holy Spirit.
Kuhusu wimbo mi sisemi kitu.
 
Thread ushuzi ndio hizi, Jay Zee ni Freemasson kwahiyo watu wasiende kwenye show zake!! ptuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!...

Ni masuala ya utashi na imani,kama unamwamini Mungu utakaa mbali kabisa na yeyote yule mwenye mrengo wa kiushetani awe Jay Z, Rick Ross, pamoja na wewe unayewashabikia waabudu miungu na mashetani wote mlaaniwe,pamoja na huyo anayemleta muabudu shetani. Mungu hataniwi yatakayotokea msiseme ni mapenzi ya Mungu,kumbukeni gadhabu ya Mungu na kuiogopa.
 
Mkuu usipende kujump tu kwenye coclusion kama hujui maana ya kitu...
jaribu hata ku- google atleast au angalia dictionary yako maana ya Holy Ghost..
Changamsha ubongo wako sometimes..

dictionary ipo sahihi kwamba holyghost =holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya

naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwamini mungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao ni masonic,siku zote shetan anaubiri aman lakin yeye hana aman ndan yake mf UN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani au kuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost
 
Kwa lugha ya wenzetu, Holy Ghost ni sawa na Holy Spirit.
Kuhusu wimbo mi sisemi kitu.

dictionary ipo sahihi kwamba holyghost=holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwaminimungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao nimasonic,siku zote shetananaubiri aman lakin yeyehana aman ndan yake mfUN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani aukuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost
 
Usipite tuu...mueleweshe mleta uzi naona hajui maana ya Holy Ghost...

hvi ww unajua unachokiongea wimbo wa freemason walitoa kukana kwamba wao masons kausikilize vizuri naona una matatizo ya uelewa
 
Wakishaona neno Ghost wanajua ni shetani!!!

kwani mtu akisema anamwamin Mungu unajua ni mungu gan anamwamin,sasa cha ajabu nini yeye kutumia holy ghost kinyume na unavyoelewa,ila kama ni wewe ni mfuasi wake sikukataz ila angalia kava la albam jake hii hapa na ucheki video yake anavyokiri ushetan wake
 
Attachments

  • Jay-Z_Rick_Ross_Free_Mason_Society.jpg
    Jay-Z_Rick_Ross_Free_Mason_Society.jpg
    54.2 KB · Views: 92
http://thedoggstar.com/tag/freemasons-rick-ross-jay-z/
hvi ww unajua unachokiongea wimbo wa freemason walitoa kukana kwamba wao masons kausikilize vizuri naona una matatizo ya uelewa

unafikiri hata jay z alipohojiwa kuwa yeye ni freemason alikubali? Lakini mashairi,na nembo wanazotumia zanawarepresent najua hata wakukate kichwa utaendelea kuamin kuwa rick si freemason ila kama uliangalia hizo attachment za video ungeelewa
 
Ni jini mtakatifu.
Holy Ghost is exactly the same Holy Spirit.
The only thing we should lern is "HIDDEN MEANING / REFERENCE USED".
If you go to whitches/ wizards/magicians/devil worshipers and they tell you "WE WORSHIP GOD & WORK WITH GOD". What god do you think is this? You must read between lines.
Even arm robbers e.t.c pray to their god to bless them and their god does that's why they continue.
 
this absolutely right but this guys look at the word holyghost without exploring the hidden meaning
hata maandiko yanasema kuwa hawataelewa hata wakisoma
mathayo 13;13-15
 
dictionary ipo sahihi kwamba holyghost=holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwaminimungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao nimasonic,siku zote shetananaubiri aman lakin yeyehana aman ndan yake mfUN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani aukuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost

Watu wengi wako paranoid sana na haya mambo ya free***.
Mi sina muda wa kupambana na shetani.
Ngoja shetani apambane na mungu wake.
 
we sema tusiende kwa sababu CLOUDS FM ni wananyonya wasanii na kupromoti sana mporomoko wa maadili tanzania,IKIWEMO KUAJIRI MASHOGA, ila sio kwa sababu ya imani ya RICK ROSS kwa mungu anayemwabudu. binafsi sipendi kwenda huko.
 
Vyovyote vile siwezi kuhudhuria show yoyote ya clouds hata kama watamleta obama.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hata aje nan kama anamwabudu shetan kuna haja ya kumshangilia?
Je ni watu wangap hawaend kwenye nyumba zao za ibada lakini wanaenda fiesta?
Je ni watu wangap hawana ela ya sadaka lakini wanaela ya fiesta?
Je ni watu wangap hawasikilizi maubir msikitin/kanisan lakini wanaenda kumsikiliza rick ross?
Ata aje nan chaguo ni lako

Kwa hiyo hakuna uhalali wa kwenda kwenye burudani yoyote, sio lazima Rick Ross?
 
dictionary ipo sahihi kwamba holyghost=holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwaminimungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao nimasonic,siku zote shetananaubiri aman lakin yeyehana aman ndan yake mfUN ambayo ndo kwa
kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani aukuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost
mkuu unataka kusema ata UN wanania mbaya? duu umenishtua
 
nataka kujua ticket zinapatikana wpi nikachukue yakwangu kabla hazijaisha!
Mambo ya kumuabudu shetani anaabudu yeye,,
wangapi wanamuabudu shetani ambao wewe huwajui na unahudhuria kwenye ibada zao na mikutano yao,,, wanasiasa kibao nchi hii wanaabudu na bado unawasikiliza kila leo kwe vyombo vya habari!,
MIMI BINAFSI NINGEOMBA TU MNIAMBIE TICKET ZINAKOPATIKANA NIWAHI KABLA HAZIJAISHA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom