kwamwe usiende fiesta,RICK ROSS anakuja,je unajua Mungu anayemwabudu?soma hii

Hip Hop is built on the foundation that is unorthodoxy.

Graffiti is the unorthodoxy to a clean whitewashed wall, scratching is the unorthodoxy to a clean sequential playback, rapping/MCing is the unorthodoxy to melodic singing, breaking is the unorthodoxy to dancing, beatboxing is the unorthodoxy to traditional drumming.

Yet you are trying to persuade hip hop heads to not go to a concert on the basis of some flimsy orthodoxy!

You need more exposure.
 
hapa sipo kumshawishi mtu.SOMA,ELEWA,PIMA THEN CHUKUA UAMUZI.
-je wajua kwamba kizazi hiki kitasikia lakini hakitaamini?
Mathayo 13:13-15
-je wajua ya kwamba watu watapenda giza kuliko nuru?
3:19-21

Anhaaa, haya!
 
dictionary ipo sahihi kwamba holyghost =holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya

naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwamini mungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao ni masonic,siku zote shetan anaubiri aman lakin yeye hana aman ndan yake mf UN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani au kuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost

ndo tatizo la kusoma conspiracy theories na kuzibeba tu. lengo la UN ni lipi? hizo theories mnazosoma ni ndo mwanzo wa NWO. je umechunguza ukaona hata ka ukweli?this theories watu wanakusanya circumstantial evidence na kuzitafsiri wanvyopenda
watu wanapenda controversy na wasanii wanzitumia hizo kuongeza market share. angalia diamond anavaa fulana mnazosema ni za kifreemason then anaandikwa magazetini anajulikana na show zinaongezeka. hizo ni marketing strategies
 
burudani yoyote inayohusiana na nguvu za giza haina maana coz mambo yote yanafanyika usiku na siku zote shetani ni mtu wa giza

matamasha ya muziki wa injili, mikesha ya maombi pia hufanyika usiku je nayo ni ya shetani coz giza limeingia?
umeokoka karibuni nini, naona injili inakupeleka resi
 
ndo tatizo la kusoma conspiracy theories na kuzibeba tu. lengo la UN ni lipi? hizo theories mnazosoma ni ndo mwanzo wa NWO. je umechunguza ukaona hata ka ukweli?this theories watu wanakusanya circumstantial evidence na kuzitafsiri wanvyopendawatu wanapenda controversy na wasanii wanzitumia hizo kuongeza market share. angalia diamond anavaa fulana mnazosema ni za kifreemason then anaandikwa magazetini anajulikana na show zinaongezeka. hizo ni marketing strategies
ni aibu kwa msomi kuongea bila ushahidi bora kukaa kimya.UN wao ndo supporters wa NWO,na hii inakuja maana ilishaandikwa kwenye vitabu vya dini kwamba kutakuwa na utawala wa din moja ya kumwabudu mnyama which is 666.I'M NOT SPEAKING FROM NOWHERE kama wewe unavyofanyakwa kuanzia soma hapa ila najua hutasadikiThe New World Order (by Samuel Z. Batten, published in 1919)Here is an excellent explanation from eye-opening author Henry Makow concerning who theIlluminati are . . ."The Illuminati refers to a tightly organized network of family dynasties representingAnglo American and European aristocracy and Jewish finance joined by intermarriage, belief in the occult, and hatred of Christianity. Freemasonry is their instrument. They care nothing for their non-Illuminati brethren, Jewish or not. They will destroy billions as they create a neo feudal world characterized by the superrich, their support staff, soldiers and serfs."SOURCE: savethemales.ca - Countdown to World War ThreeThe ¡°Illuminati¡± was originally a group founded by occult leader Adam Weishaupt in 1775. The group disbanded after 10-years and went underground, infiltrating into Freemasonry and other circles of influence. It's more than coincidence that Adam Weishaupt's goal was World Government. Nearly a century later Karl Marx (who's considered by most to be the father of modern Communism) published his Communist Manifesto , which looks like a reprint of Weishaupt's plot for global domination.World government has been in the works for millenniums, finally brought to fruition with the birth of America in 1776 . Few students of history realize that Americafrom the very onset was founded with the intent of establishing world government. This is evidenced by the War of 1812. It wasn't enough to overthrown British control of the 13 colonies. The Freemason-controlled American forces continued north to invade and conquer Canada. But the Indians joined the Canadian forces and drove the Revolutionary Army back into the south. The calf was fatted for two hundred years in America. But over the past 40-years America has been led to the slaughter house. We are at war spiritually for our families, nation and liberties!The American public has been overthrown. I'm just teaching a basic understanding of the New World Order, but thousands of books are available on various elements of the NWO. The International Banking Cartel is behind the subversion of America. To gain a basic, but well-rounded, understanding of the history of the New World Order, please read PAWNS IN THE GAME by William Guy Carr (1895-1959). Also,watch the 2:19 hour awesome documentary titled ENDGAME by Alex Jones. Educate yourself! An important truth for every believer is taught in the Old Testament story of Ezraand the building of the wall in Jerusalem . Ezra's enemies conspired against him, trying to sidetrack him from getting the job done for God. Ezra told them he couldn't come down to talk with them, saying... ¡°I AM DOING A GREAT WORKhttp://www.jesus-is-savior.com/False%20Religions/Illuminati/nwo_basics.htmendelea kubisha nikuletee video,hata wakukate kichwa utaendelea kuisapoti UN na kumtetea shetan,No reserch no right to speak bwanakaka ukibishazaidi nakupa hizo link za un
 
same religious conspiracy theories,vitabu kibao na internet wameandika hizo stories
we unasema no research no right to speak wkt unacopy na kutuwekea humu. tupe analysis yako ya hizo theories na ulinganishe na matukio ya kihistoria tuone ukweli
 
we ni mtu wa aina gan?
Ok,bado sijatoa hata nusu ya niliyonayo kichwani
kama hauelewi ki-english sema utafsiriwe(labda ndo linalokuchanganya)
anyway sina maana mbaya

sikia ndugu yangu nikuambie kitu ambayo ni analysis yangu ya kuprove kwa kisw coz kwa kingereza umekataa
1.je unajua ya kuwa vita ya tatu ya dunia ilishaandikwa kwenye encyclopidia kibao?kuanzia itakavyotokea?hapa pitia weekpedia
2.fahamu kuwa waliosema kutakuwa na vita ya 3 ni hawa "illuminants" kaka yao "freemason" ambao ndo waliplan ya kwanza na ya pili

3.fahamu ya kuwa wameandika kuwa vita hiyo itakua kati ya Moslems world and Christianity ambao chanzo kitakua mgogoro kati ya Israel na Iran pamoja na palestine

3.role ya amerika kwenye vita ya tatu ni kutumia theory ya "devide and rule" ambapo USA atasapoti kila upande kuakikisha neither moslems nor christians will stand,thereafter USA ndo ataingiza NWO kupitia UN
nchi zote duniani zitakua zikipigana in either side moslems/christian(jews)

4.je unajua ya kuwa hiyo NWO imeshaandaliwa na soft copy yake ipo kwenye mtandao?

5.chukua hayo yote compare na hali ya kisiasa duniani
-je hauoni kila siku Iran na Israel wakirushiana maneno kuhusu nyuklia?hawa ndo wameandikwa na illuminant kama chanzo cha ww3
-je mgogoro wa Israel na palestine hauuoni?
-Ahamed Najad kuikubali NWO hapo majuz kuwa iletwe nch yake itapambana hauoni kuwa mambo yameiva?
-obama kuzungumzia One world government hauoni kila kitu kimetimia?
-libya na syria kuzi weaken kijesh je unaijua sababu yake?
Hapa nimechoka ku type kama hauta elewa na usielewe endelea kuisapoti UN na USA pamoja na hawa kina rick bila kujua siri(sitaki kukubali kuwa ni siri coz watu hamjishughulish kufuatilia)
sikulazimish kukubaliana na mimi
goodbye
je unajua ya
 
Naona Bwana Mao ze Dong amenunua kabisa zile theories za conspiracy zinazoandikwa na wale wanaotaka kuuza vitabu kwa urahisi.Ricki Rossi na wengine ni ka mbinu kao kauuza kazi zao maana wanajua wengi mnapenda kusikia yasiyojulikana
 
we ni mtu wa aina gan?
Ok,bado sijatoa hata nusu ya niliyonayo kichwani
kama hauelewi ki-english sema utafsiriwe(labda ndo linalokuchanganya)
anyway sina maana mbaya

sikia ndugu yangu nikuambie kitu ambayo ni analysis yangu ya kuprove kwa kisw coz kwa kingereza umekataa
1.je unajua ya kuwa vita ya tatu ya dunia ilishaandikwa kwenye encyclopidia kibao?kuanzia itakavyotokea?hapa pitia weekpedia
2.fahamu kuwa waliosema kutakuwa na vita ya 3 ni hawa "illuminants" kaka yao "freemason" ambao ndo waliplan ya kwanza na ya pili

3.fahamu ya kuwa wameandika kuwa vita hiyo itakua kati ya Moslems world and Christianity ambao chanzo kitakua mgogoro kati ya Israel na Iran pamoja na palestine

3.role ya amerika kwenye vita ya tatu ni kutumia theory ya "devide and rule" ambapo USA atasapoti kila upande kuakikisha neither moslems nor christians will stand,thereafter USA ndo ataingiza NWO kupitia UN
nchi zote duniani zitakua zikipigana in either side moslems/christian(jews)

4.je unajua ya kuwa hiyo NWO imeshaandaliwa na soft copy yake ipo kwenye mtandao?

5.chukua hayo yote compare na hali ya kisiasa duniani
-je hauoni kila siku Iran na Israel wakirushiana maneno kuhusu nyuklia?hawa ndo wameandikwa na illuminant kama chanzo cha ww3
-je mgogoro wa Israel na palestine hauuoni?
-Ahamed Najad kuikubali NWO hapo majuz kuwa iletwe nch yake itapambana hauoni kuwa mambo yameiva?
-obama kuzungumzia One world government hauoni kila kitu kimetimia?
-libya na syria kuzi weaken kijesh je unaijua sababu yake?
Hapa nimechoka ku type kama hauta elewa na usielewe endelea kuisapoti UN na USA pamoja na hawa kina rick bila kujua siri(sitaki kukubali kuwa ni siri coz watu hamjishughulish kufuatilia)
sikulazimish kukubaliana na mimi
goodbye
je unajua ya

Daaah ! Mzee "Mao ze dung" unaandika !......................hivi, ni kuulize, una uhakika wewe una imani sahihi ? hebu nipe ushahidi wa kimaandishi (from authentic books)kutetea imani yako, maana isije ikawa wewe na Ricky Ross hamna tofauti !:A S-coffee:
 
Stand on what is you believe to be right, imani ya mtu si tatizo kwangu. Freemasonry na mila zao za kiegypt wanasimama katika maslahi yao! Take time kufanya mambo productive, hawa jamaa wanateka watu akili huku wakificha ukweli.
via DonnOlympus
 
Huu wimbo unaitwa freemason umeimbwa na rick ross,haya jisomee

RICK ROSS LYRICS
"Free Mason"
(feat. Jay-Z, John Legend)
This is for the soldiers the see the sun
At midnight, ya dig
Let me slow down (it's so incredible)
[Rick Ross Verse]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
We the lost symbols, speak in cryptic codes
Ancient wisdom, valuable like gifts of gold
I embark on life, my path is all math
I understand the codes these hackers can't crack
I understand that folks expect me to fold
Community control to violate parole
I won't fail, but a lot of men will
I'm iconic in the field, like Solomon's Seal
Uh, it's just an intro
Allow my flow time to sink into the temple
Free Mason, freelancer, free agents, we faster
Big contracts, big contractors
Built pyramids, period we masters
No caterpillars, it was just a lot of niggas
A lot of great thinkers and a lot of great inventors
All white mansion, I'm the child of God
All black diamonds, times were hard
New Rolls Royce
Guess you made it, nigga
All white neighborhoods, you they favorite nigga
My top back like J.F.K.
They wanna push my top back like J.F.K.
So, so I J.F.K.
Join Forces with the kings and we ate all day
Right now I could rewrite history
I stopped writin so **** it, I'll do it mentally
[Rick Ross & John Legend Chorus (x2)]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
Started in the ghetto, nowwe worldwide
Multiplying and I pray to God we never die
[Jay-Z Verse]
Niggas couldn¡¯t do nothing with me they put the devil on me
I would have preferred if niggas would squeeze the metal on me

Rumors of Lucifer, I don¡¯t know who to trust
Whole world want my demise, turn my music up
Here me clearly
If y¡¯all niggas fear me, just say y¡¯all fear me
**** all these fairy tales, go to hell this is God engineering

This is a Hail Mary pass, y¡¯all interfering
He without sin shall cast the first stone
So y¡¯all check in the mirror,double check your appearance
Bitch I said I was amazing
Not that I¡¯m a Mason

It¡¯s amazing that I made itthrough the maze that I was in
Lord forgive me I never would¡¯ve made it without sin
Holy Water, my face in thebasin
Diamonds in my rosary shows he forgave him
Bitch I¡¯m red hot, I¡¯m on my third six but the devil, I¡¯m not
My Jesus piece flooded butthou shall not covet

Keep your eyes off my cupboard
I¡¯m a bad mother****er, it¡¯s Hov just say you love it
[Chorus]
If I ever die, never let it be said I didn't win
Never, never say
Never say Legend didn't go in (Imma go in)
I just wanna die on top of the world
Makin' love to my favorite girl
Makin' beautiful music, wemakin' a movie
We knew we was born to do it

kama bado hujaamini kuwa huyu ni pepo jaribu kuangalia hizi video na kama hujaamini na usiamini milele
ingia hapahttp://www.youtube.com/watch?v=FqQFX7QR4tw

Yani kama kuna nyimbo inayoonyesha jamaa ni wamcha Mungu basi ni hii. Kwanza jamani mbona mnaikashifu Freemason sana. Freemasons are not devil worshippers!! Ni vitu viwili tofauti kabisa yani. Organised religion inachangia kuwa danganya watu kuwa Freemason ni ushetani kwasbabu tu ina emphasize free will. Na magazeti ya udaku yanawapotosha sana. Any ways to each his/her own.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom