Thread ushuzi ndio hizi, Jay Zee ni Freemasson kwahiyo watu wasiende kwenye show zake!! ptuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!...
Mkuu usipende kujump tu kwenye coclusion kama hujui maana ya kitu...
jaribu hata ku- google atleast au angalia dictionary yako maana ya Holy Ghost..
Changamsha ubongo wako sometimes..
Kwa lugha ya wenzetu, Holy Ghost ni sawa na Holy Spirit.
Kuhusu wimbo mi sisemi kitu.
Usipite tuu...mueleweshe mleta uzi naona hajui maana ya Holy Ghost...
dictionary ipo sahihi kwamba holyghost =holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwamini mungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao ni masonic,siku zote shetan anaubiri aman lakin yeye hana aman ndan yake mf UN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani au kuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost
Wakishaona neno Ghost wanajua ni shetani!!!
hvi ww unajua unachokiongea wimbo wa freemason walitoa kukana kwamba wao masons kausikilize vizuri naona una matatizo ya uelewa
Holy Ghost is exactly the same Holy Spirit.Ni jini mtakatifu.
Holy Ghost is exactly the same Holy Spirit.
The only thing we should lern is "HIDDEN MEANING / REFERENCE USED".
If you go to whitches/ wizards/magicians/devil worshipers and they tell you "WE WORSHIP GOD & WORK WITH GOD". What god do you think is this? You must read between lines.
Even arm robbers e.t.c pray to their god to bless them and their god does that's why they continue.
dictionary ipo sahihi kwamba holyghost=holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwaminimungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao nimasonic,siku zote shetananaubiri aman lakin yeyehana aman ndan yake mfUN ambayo ndo kwa kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani aukuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost
hii hapaHebu weka picha ya huyo bwana Ross hapa, wengine tumeishi msituni sana, hatumjui
hata aje nan kama anamwabudu shetan kuna haja ya kumshangilia?
Je ni watu wangap hawaend kwenye nyumba zao za ibada lakini wanaenda fiesta?
Je ni watu wangap hawana ela ya sadaka lakini wanaela ya fiesta?
Je ni watu wangap hawasikilizi maubir msikitin/kanisan lakini wanaenda kumsikiliza rick ross?
Ata aje nan chaguo ni lako
mkuu unataka kusema ata UN wanania mbaya? duu umenishtuadictionary ipo sahihi kwamba holyghost=holyspirit ila tuangalie jinsi rick ross aliuyoitumia katika wimbo wake,jaribu ku note katika sehemu alizoanza kutukana ndo utajua aliitumia holy ghost vibaya
naomba nikupe mfano Mtu anaposema anamwamin Mungu JE unajua ni Mungu gan anamwamin hata Rick Na jay z walipo hojiwa walisema wanamwaminimungu lakini mungu wanayemwamin ni lucifer na kuzibitisha maneno yao Rick akatoa wimbo unaitwa freemason na jay z akatoa wimbo unaitwa run this town ambapo katika mashair ya nyhmabo hizo wote wanajieleza kuwa wao nimasonic,siku zote shetananaubiri aman lakin yeyehana aman ndan yake mfUN ambayo ndo kwa
kiasi kikubwa inaubiri aman lakini je unafikir UN lengo lao ni amani aukuna malengo wanayatimiza? Ikijua lengo la UN kuhubir aman lakin lengo lao sio aman ndipo utajua maana ya rick kutumia holyghost