Kwamtoro nipo huru, week moja kama miaka kumi

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Ndugu zangu wana JF. Niliwamic sana takribani week moja, nilikuwa segerea kwa kosa ambalo silifahamu mpaka leo. Poleni sana kwa Mabomu ya Gongo la mboto. Ongereni pia kwa michango yenu mizuri katika kipindi chote cha bunge.

Mod, naomba setting ya Avarta. Niweke picha yangu. Jamii inifahamu, kwamtoro nipo vipi.

Asanteni
 
Pole sana... Ingawa haufahamu kosa, charge iliyokupeleka segerea ilikuwa inasomekaje? Kuna wadau wa sheria humu wanaweza kukupa ushauri wa hatua za kuchukua dhidi ya hao waliokuonea
 
kosa unalijua...na ulilazimisha kupigwa ban
anyway pole sana na karibu tena nadhani hutakuwa na jazba tena mkuu
 
Ndugu zangu wana JF. Niliwamic sana takribani week moja, nilikuwa segerea kwa kosa ambalo silifahamu mpaka leo. Poleni sana kwa Mabomu ya Gongo la mboto. Ongereni pia kwa michango yenu mizuri katika kipindi chote cha bunge. Mod, naomba setting ya Avarta. Niweke picha yangu. Jamii inifahamu, kwamtoro nipo vipi. Asanteni
Mliapokeaje mabomu ya Goms
 
Back
Top Bottom