William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Bin Malecela,
Kwanza Salaam,
Asante kwa maelezo mazuri.........ni vizuri kubaki 'nyumbani'.....but do you really think that CCM will get back to its old former self? Or is it a case of a sinking ship and mice?
- Mkuu sana heshima yako, Mwaka 2005 niliwaonya CCM kama chama kwamba huu mtandao kuna siku utakuja kuwaumiza sana, wakapuuza na hatimaye wamefikia mahali wamekubali maneno yangu maana sasa unawaumiza sana kuliko wengi mnavyoamini na kuelewa kwa hiyo ninataka kuamini kwamba I have the bragging authority ya kutabiri kuhusu mwendo wa siasa ili kuweza kukujibu!
- I like Chadema as chama, lakini I dont trust baadhi ya viongozi wake muhimu wa taifa ingawa I trust Mh. Mbowe kwa sababu I know him kwa karibu sana toka tukiwa watoto, nimetumia muda mwingi sana kujifunza siasa kwa Marehemu baba yake pale Sea View, so I know the views za Freeman na taifa and I respect that, lakini siwezi kujiunga na Chadema kwa sababu I am not convinced kwamba wako ready for prime time!
- HOWEVER: CCM will always get better kwa sababu hahitaji kujirudia itself, katika hizi zama za mwendo wa vyama vingi huwezi kuhesabu the old CCM as anything in order ku-analyize its future, CCM inahitaji kubadilika na kuenda na wakati na uchaguzi uliopita umefanya exactly that umeiamsha CCM na sasa ndio inaanza kwenda na wakati, ninasikitika kwamba bado tuna majina yale yale kama Nauye na Makamba kwenye kubadilika, lakini that is what we have na people hao ndio the future ya CCM that is the reality, Tanzania sasa hivi tumefikia wakati kiongozi asiyekua na jina la baba anapigwa vita na wasio na majina wenzake mpaka the alternative inakuwa kiongozi mwenye jina la baba I mean wananchi tufike mahali tubadilike tuache kupigana vita bila sababu za msingi tujali the big picture kuliko ubinafsi.
- CCM haitajirudia kwenye old self, isipokuwa it will get better kwa sababu Wapinzani hawako tayari kuungana halafu pia viongozi wengi waliopo huko hawako tayari kuwaachia vijana, kwenye uchaguzi ujao CCM itaondoa viongozi karibu wote wazee and that will be the homerun, tizama sasa hivi Nape anavyowapa taabu Chadema, I mean nimewaambia CCM mara nyingi sana huko nyuma kwamba all they need to do ni kufanya one thing kuondoa mafisadi na boom Chadema watakosa agenda, wamewatoa mafisadi NEC na CC tayari the political game has changed, sasa kweli unafikiri wataishia hapo tu na huku wanaona wazi kwamba stocks za siasa zinawaendea vizuri sasa, no wataendelea ku-get better na siku watakapowatema mafisadi kabisa which is coming soon ndio watakuwa wamejiweka vizuri for a good 10 years!
- Chadema they are doing a great job to our nation no question about it, lakini wakati umefika wa wao kuelewa kwamba siasa ni kuachiana vijiti huu ni wakati wa Slaa kukabidhi mwingine kijiti, he has done an-excellent job, infact yeye na Mbowe wamefanya a fantastic job kwa Chadema ever, lakini the time has come kwa Chadema to change its direction na kuwa wabunifu zaidi na hasa kuwaelimisha wananchi ishus serious kwa taifa, kwa mfano DOWANS I mean that monster is more than what you know, utashangaa kusikia what you dont know about it na Chadema they know, lakini what should be the national priority on their agenda sasa hivi wanahangaika sana kwa wale tunaoelewa siasa. Agenda ya ufisadi imesaidia sana kuongeza wabunge, sasa ni wakati wa kutafuta agenda nyingine, ni mawazo yangu tu people!
- Ningependa kuona Dr. Kitila na Mwanakijiji wanapewa nafasi ya kuiongoza Chadema on priorities za taifa!, hata on a high consultation level.
William @ NYC, USA.