Kwako Kaka William Malecela

Maskini watanzania! like orphans hawana pa kupeleka wasi wasi wao. Willium sikiliza raia wenzako maana wengi wanaona kama wewe unaweza suluhisha matatizo yao! Maana ukisoma hapa utafikiri wewe ndo tumaini pekee na kuwa if you hear what they say then something gud can be done. Angalia lakini ukiwapa big expectations ukashindwa kuzi meet utakuwa kama mwenyekiti wako.

- Mkuu mimi ni member tu kama wengine hapa, lakini sio siri kwamba I have access kwa watawala wa vyama vyote vya siasa, kwamba ninaweza kutatua tatizo lolote hapana, lakini ninaweza kuwafikishia wanaohusika malalamiko. HOWEVER Mama Makinda alipopewa u-Spika nilisema hivi, amepewa kwa ridhaa ya Ikulu, meaning kwamba kwa uwezo wangu wa kusoma siasa, kuna mabadiliko makubwa yanakuja on mafisadi maana huyo sio chaguo lao,

- Matokeo yakawa mafisadi kuondolewa NEC na CC na sasa wako njiani kuondolewa kabisa CCM, ninasema hivi wanaondoka very soon kama hawajaambiwa tayari ni kwamba wataondolewa tu ndio maana wameshaombwa kuingia upinzani na kuna wakati walitishia kuanzisha chama chao, sasa wakati wao ni huu wakaanzishe chama chao maana wataondolewa very soon. So mkuu tunajidiliana na kupena moyo pia kwamba pole pole tutafika!


William @ NYC, USA.
 

- Ningependa kuona Dr. Kitila na Mwanakijiji wanapewa nafasi ya kuiongoza Chadema on priorities za taifa!, hata on a high consultation level.


William @ NYC, USA.

Nakataa kabisa, Mwanakijiji mjanja mjanja sana, atatuuza...Dr Kitila hapana kabisa, ni aina ya wasomi wanaoamini wanajua kila kitu!!!!
 
obama-dancing.jpg




- Mkuu usanini ni kila mahali, ila unakua na wakati wake!

William @ NYC, USA.


ahaaa William, Obama kamuua Osama bin laden nyie hata kuandika barua mnaogopa! Dancing to different tunes!
 
Willima wazo la mwisho na mimi ningepnda hilo tawi unalotaka kuanzisha lisiwe la chama bali liwe la Kitanzania kama NGO. Tuweke siasa pembeni though trough hiyo NGO chama chako kinaweza kupata umaarufu but kazi itakuwa imefanyika kwa watanzania.

waht can u do with NGO?
Kwa position yako au ebu mtumie boss wako au wewe mtumie JK zawadi hii
Physics Help: The Ultimate Physics Tutor -- 2 DVD Set -- 11 Hour Course (Newtonian Motion) $40.
Physics Help: The Ultimate Physics 2 Tutor, Volume 1 -- 10 Hour Course (Thermodynamics) $40.

Kichwa cha habarikiwe sisi tunshindwa nini?

Hivi tunalamika hatuna walimu tunalalamika hatuna maabara kwanini tunshindwa kutumi fursa zilizopo za bei nafuu. So hilo tawi lisiwe la chama liwe lenye mweleko kama huo. unawatumia mifano wahusika ili wajue cha kafanya. ........... Wakishidwa kuwezesha utengenzaji product kama hizo tutachakachua na kuziduplicate hizo hizo ili mradi watanzania wasome.......

Hakuna haja ya wanafunzi tena wa mjini kusoma practical kwa notisi kwa kisingizio cha kutokwepo vifaa vya lab . kuna visual lab na ni DVD. one time cost.

Jamani video sio laima ziwe za kanumba na haya ndo mawazo tunayataka kutoka kwenu mlio nje. sio kuanzisha matawi ya vyama vya siasa Anzisheni matawo ua Kusaidia ELIMU, AFYA etc.

Kama Juniior IT expert nachoka kabisa kuoona wenye mawazo hawana reources wenye resouces na uthority hawana ideas. Dah yaaaani........

Constraint kubwa katika any project ni political environment hii ni killing assumption so Willium is very right kwani yeye akipata influence through a strong party (which he has any way) na kuweza kuwa persuade basi idea yake kama anayo concerning development inakuwa implemented in a twinkling of an eye. Ukitaka kujua maana ya siasa kama killing assumption basi muulize mama Anna Tibaijuka na NGO yake ya BAWATA kuwa linked na the then NCCR mageuzi na kuishia kuwa failure japo kama angetoka through UWT lakini isiwe branch ya chama na kui deassociate taratibu wakati incentives za independent women zinapokuwa realised leo hii tungekuwa na chombo kikubwa kam JF na wanawake wangeweza ku push agenda zao kiurahisi sana bila kuwa na idiology ya kivyama. Sasa we have women who represent men's Ideas na ndiyo maana wanaonekana mzigo kwa taifa
 
- Mkuu mimi ni member tu kama wengine hapa, lakini sio siri kwamba I have access kwa watawala wa vyama vyote vya siasa, kwamba ninaweza kutatua tatizo lolote hapana, lakini ninaweza kuwafikishia wanaohusika malalamiko. HOWEVER Mama Makinda alipopewa u-Spika nilisema hivi, amepewa kwa ridhaa ya Ikulu, meaning kwamba kwa uwezo wangu wa kusoma siasa, kuna mabadiliko makubwa yanakuja on mafisadi maana huyo sio chaguo lao,

- Matokeo yakawa mafisadi kuondolewa NEC na CC na sasa wako njiani kuondolewa kabisa CCM, ninasema hivi wanaondoka very soon kama hawajaambiwa tayari ni kwamba wataondolewa tu ndio maana wameshaombwa kuingia upinzani na kuna wakati walitishia kuanzisha chama chao, sasa wakati wao ni huu wakaanzishe chama chao maana wataondolewa very soon. So mkuu tunajidiliana na kupena moyo pia kwamba pole pole tutafika!


William @ NYC, USA.

You are absolutely right on this one!
Sitta was the worst speaker in the history of the bunge!!
 
I am disgusted by such comments! Siamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza ku-support ccm. Sijui mnaona nini huko ccm mpaka mfie huko. Kama ni sera ni bora muanzishe chama kipya chenye sera hizo na nyingine bora zaidi kuliko kung'ang'ania kufufua maiti!

Ndugu zangu kwa maoni yangu tatizo la ccm sio sera zake bali ni uongozi wake!! Sera za ccm ni people centred lakini viongozi wake ni self centred! On close scrutiny, Chadema inatumia sera za ccm kuwagonga ccm kwani viongozi wake ni vilaza!!
 
DSC04369.jpg



hahaha.......kazi kweli........

malecela naomba uelewe kuwa ccm ni chama ambacho hakieleweiki kabisa........matamko yao kila siku hayaeleweki na wanajichanganya sana.......kadiri siku 90 zinavyozidi kusonga ndivyo na kauli zao zinazidi kubadilika......hivi unajua jk na el waliongea nini walipokutana kule zanzibar hivi majuzi?........
 
obama-dancing.jpg




- Mkuu usanini ni kila mahali, ila unakua na wakati wake!

William @ NYC, USA.
Mkuu wangu hapo ndio utaona tofauti yetu na hawa jjamaa. Obama anazirudi baada ya Ushindi wakati jamaa yetu yupo ktk Kampeni na hakika utamaduni wa mwafirika unaanza na ngoma. Hivyo kisiasa jamaa kapiga bao..

Nikirudi ktk siasa za Bongo, umezungumza kuhusu Dr.Slaa na Mbowe wajiuzuru nadhani haya ni mawazo ya KiCCM wakitaka force kubwa ya chama iondoke wakati hawa watu hawana hesabu kubwa bungeni kuwakilisha wananchi. Mbowe na Dr.Slaa wataondoka ktk nafasi zao ikiwa chama kinapoteza mwelekeo au kinapoteza umaarufu lakini huwezi kuondoa chama kubwa pasipo sababu ili mradi kupisha vijana wengine. Ila sema ni kweli ndani ya Chadema wapo watu au niseme viongozi ambao hata mimi nina mashaka nao sana.. kuna Unafiki wa kiana ambao unanipa wasiwasi sana kama vile wapo watu wanajiunga na Chadema kwa maslhai fulani..

Yawezekana kuwa ni wakati muafaka kwa CCM kubadilisha utawala wake ndani ya chama lakini nionavyo mimi CCM wamefanya makosa makubwa ktk mageuzi haya ya sectretariet kwa sababu wote walioingia madarakani hawajui siasa za Bongo...Na kusema kweli kama CCM ingeweza kumchagua mzee Malecela au vigogo wa zamani kuwa mwenyekiti au katibu mkuu wa chama nina hakika mngeweza kurudisha nguvu ya chama kwa sababu hawa watu wanaheshimika na wana nguvu ya kauli licha ya kwamba watu kaa Malecela wanazijua mbinu za kisiasa kupata ushindi kuliko malumbano ktk magazeti...Na labda nikwambie tu kwamba kina Nape na viongozi wa CCM waliopo leo wanacheza ngoma ya Chadema kujihusisha na malumbano ya Ufisadi..

Halafu mkuu wangu swala la Mafisadi ndilo linalosababisha matatizo yote ya kiuchumi.. Iwe kukosekana kwa umeme, maji, elimu,kilimo kwanza, afya yote haya yamerudishwa nyuma kwa sababu ya Ufisadi uliopo ngazi zote za utendaji. Hivyo huwezi kupuuza Ufisadi ukataka kujenga sera ambazo zitatumbukia ktk Ufisadi vile vile. JK kajaribu sana kuimarisha policies zetu ngazi za uzalishaji lakini zote zimeshindwa kufanya kazi kwa sababu ya UFISADI..Kibaya zaidi JK hataki kabisa kutazama huko kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe - Hapa ndio kifo na mazishi ya CCM..

Na kusema kweli tatizo kubwa la JK ni udhaifu wake ktk kukemea Ufisadi laasivyo nina hakika yapo mengi aloyafanya yangekuwa na matunda makubwa sana..Sasa ikiwa kiongozi wa Taifa ni dhaifu, nashindwa kuelewa mtaweza vipi kukijenga chama wakati kiongozi wenu ni dhaifu ktk maamuzi na utekelezaji. Halafu kibaya zaidi navyosikia JK ana tabia ya wale wanaojua kila kitu hali hawajui na mwenye msimamo wake pekee yaani hatabiriki, haambiliki na hasamehe wala kusahau fadhila au hasidi..Na hizi personal emotional hazifungamani na social development..
 
Bwana WM usikate tamaa na hizo porojo. CCM sasa imepata makamanda wa kupambana na kelele za Dr. Slaa. Hawa watu walizoea wao kupiga makombora na akina Makamba kutulia, siku hizi tz mambo mswano, Dr. Slaa akitoa kashfa kuhusu ufisadi wa CCM, Nape anajibu na vielelezo wa UFISADI wa Dr. Slaa.

Hao CDM kesho wana mkutano Songea, leo CCM ina mkutano Songea; KUMEKUCHA!!!!

Sasa naona mashindano ya mikutano tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
- Well, Mkuu sana Masa heshima yako na ahsante sana kwa ujumbe wako, naomba kusema hivi:-

1. CCM ni chama kikubwa sana kuliko Mukama na Nape, waliowavua ujumbe wa NEC na CC mafisadi sio Mukama na Nape, isipokuwa ni chama cha CCM collectivelly.

2. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa Jamhuri kwa sasa, ndiye mtendaji mkuu wa chama CCM na amesema wazi kabisa kwamba maneno ya Nape ni yake pia, kwenye siasa za taifa hapo ndio mwanzo na mwisho, hakuna mwingine tena hata awe Mukama, Mwenyekiti ndio; FULL STOP WA YOTE!

3. CCM kujivua magamba, ninaliamini kwa 100% kwanza tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM sio ya Chadema au anybody else! na kama kweli Rais wa sasa haamui maamuzi bila hao mapacha, basi wangekuwa bado wapo CC na NEC, na kama kweli Lowassa ana nguvu kama inavyosemekana basi angekua Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, siku aliponyimwa hivyo nafasi ukienda kuanglia records humu JF utaona nilisema wazi kwamba ulikuwa ndio mwisho wake politically, sasa jiulize nani aliymenyima hiyo nafasi?

4. Kuhusu Tawi, kwa kweli kama nilivyoahidi nipo mbioni kulifungua very soon bado some very few touches ninazipitia kabla halijasimama, na mimi binafsi sina nia ya kuongoza tawi hilo, nitaliongoza kwa muda tu kuelekea kusimama na kuwaachia wengine maana in the wake ya habari za ushiriki wangu hapa JF last two weeks, nimeongezekewa sana na shughuli ambazo sasa zinaanza hata kunizidi kimo kwa sababu watu wanahitaji sana msaada wa mawazo! So!

- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!


William @ NYC, USA.

Let me know if you need any financial assistance on establishing the new CCM branch in NYC area.
Be blessed!
 

Nakataa kabisa, Mwanakijiji mjanja mjanja sana, atatuuza...Dr Kitila hapana kabisa, ni aina ya wasomi wanaoamini wanajua kila kitu!!!!

Unajua ni kwanini wachaga hawana Bendi? Basi soma hii.
Hapo zamani za kale kulikua na Bendi moja ya wachaga ilivuma sana. Siku moja wakaamua kwenda kufanya Onesho katika ukumbi mmoja,
Masawe akateuliwa kwenda kukusanya mapata mlangoni, Lakini Shirima akapinga na kusema Massawe ataiba kiasi cha pesa kwenda kumalizia kibanda chake.
Shirima akataka yeye apewe hilo jukumu la kukusanya mapato lakini Oisso akapinga na kudai kuwa Shirima ataiba pesa za kununua kiwanja kisa alikua hana kiwanja.
Mwisho wakakubaliana wote wakae Getini kukusanya mapato.
Sasa hapo jiulize Jukwaani atakaa nani.
Nafikiri hapo ndio ulikua mwisho wa Bedndi.
 
-....- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!


William @ NYC, USA.

I doubt na hiyo red, huwezi kilisaidia Taifa wakati una gamba! Hapo una maana ya "kulisaidia gamba (CCM) letu limeoza". You are not real struggling for your Nation but you are supporting your fu*ken corruption party!

Huna haja ya kujieleza sana kwani tunafahamu wewe ni mmoja wa wanao faidika na magamba! Mara zote katika mapinduzi ya kweli, watoto wa walala hoi ndo wahusika wakuu. Wewe kula huko vya mwisho mwisho kwani Freedom is Coming Tomorrow! We need back our stolen country, back on our scared hand!
 
Kwa wale ambao mmesoma 'literature', iwe ya Kiswahili au ya Kiingereza, mnaweza kutafsiri ujumbe wa Mafili kwa aina mbili. Je umeweza kubaini tafsiri hizo?

tafsiri ya kwanza,tungo za mpumbavu, tafsiri ya pili mpumbavu kwenye tungo. Tafsiri zangu zote mbili zina maana kamili. Nitaishia apa ila ukita nieleze ntaeleza.
 

Nakataa kabisa, Mwanakijiji mjanja mjanja sana, atatuuza...Dr Kitila hapana kabisa, ni aina ya wasomi wanaoamini wanajua kila kitu!!!!

mhhhh

yashakuwa hayo tena? Kulikoni huko ? lakini mimi simlaumu sana, Cant knock his hustle...kwani ikiuzwa Bilicanas haitoshi kumlipa au ndio mnataka awafanyie kazi ya kanisa?
 
- Mkuu mimi ni member tu kama wengine hapa, lakini sio siri kwamba I have access kwa watawala wa vyama vyote vya siasa, kwamba ninaweza kutatua tatizo lolote hapana, lakini ninaweza kuwafikishia wanaohusika malalamiko. HOWEVER Mama Makinda alipopewa u-Spika nilisema hivi, amepewa kwa ridhaa ya Ikulu, meaning kwamba kwa uwezo wangu wa kusoma siasa, kuna mabadiliko makubwa yanakuja on mafisadi maana huyo sio chaguo lao,

- Matokeo yakawa mafisadi kuondolewa NEC na CC na sasa wako njiani kuondolewa kabisa CCM, ninasema hivi wanaondoka very soon kama hawajaambiwa tayari ni kwamba wataondolewa tu ndio maana wameshaombwa kuingia upinzani na kuna wakati walitishia kuanzisha chama chao, sasa wakati wao ni huu wakaanzishe chama chao maana wataondolewa very soon. So mkuu tunajidiliana na kupena moyo pia kwamba pole pole tutafika!


William @ NYC, USA.

Ninasubiri kuona hili jambo litokee, labda nitaweza kuchangia zaidi.
 
Back
Top Bottom