Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.
Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.
Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.
Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!
Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!
Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.
KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!
:violin::violin::violin:
Nilifikirai wataka kufa......kwi kwi kwi kwiiwiwiwiiw.....:mad2:
Ahsante mkuu! Avatar yako inazidi kung'arisha njia ya mwezi kuandama!Asprin usipoonekana leo lazima tuunganishe nyota ziwe mwezi..IDD NJEMA
Usipate tabu hommie! Shuhudia kwa hapa!Hommie kanigongee pale niweke kumbukumbu hi maneno haitoshi!!:becky:
Hahahahah mimi na Mzenj wangu mwezi lazima uonekane leo! Si unajua alikuwa amefunga sasa yale mambo yaleeeeeeeeeeee yalikuwa hayapo kwa mchungaji!
IDD Mubarak wote!
mwezi wa Ramadhani inaonyesha uliteseka sana kwa kumiss za bariiiiiiiiiiiiidi!
Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.
Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.
Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.
Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!
Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!
Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.
KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!
:violin::violin::violin:
Nadhani umeelewa sasa kwanini NI LAZIMA MWEZI UANDAME leo!!

Kwa neema ya Mwenyezi Mungu, aliye na uwezo na mamlaka ya kila kitu juu na chini ya mbingu. Tunaungana na mitume na wapakwa mafuta wote Mwezi onekana tumechoka kukosa yale mambo muhimu.
Amen
Mi nilikuelewa toka kitambo tu kiongozi wangu!lakini sikuona kama ni tatizo sana!kwani wewe ulikuwa hupiti maeneo kimtindo japo kwa suna tu?
Nadhani umeelewa sasa kwanini NI LAZIMA MWEZI UANDAME leo!!
Ubarikiwe mtumishi!! Naunga na wewe pamoja na watakatifu wote.....Leo lazima uandame!Kwa neema ya Mwenyezi Mungu, aliye na uwezo na mamlaka ya kila kitu juu na chini ya mbingu. Tunaungana na mitume na wapakwa mafuta wote Mwezi onekana tumechoka kukosa yale mambo muhimu.
Amen
Hivyo, kuanzia kesho PSSSS..... zitakuwa nyingi kwenye bar na vilabuni....! Hata bei ya "Husband Day Care" itapanda...!