Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.
Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.
Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.
Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!
Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!
Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.
KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!
:violin::violin::violin: