Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Nilifikirai wataka kufa......kwi kwi kwi kwiiwiwiwiiw.....:mad2:
 
Dah umenishtua mm nilijua unataka Ujisalule haya bana kila la kheri Idd njema.
tupo pamoja mpwa :cheer2::cheer2::cheer2:
 
Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.

Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.

Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.

Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!

Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!

Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.

KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!

:violin::violin::violin:

Unaongelea mwezi upi? Ni mbalamwezi au ni ule mwezi wa mzunguko wa siku 28?
 
Asprin usipoonekana leo lazima tuunganishe nyota ziwe mwezi..IDD NJEMA
Ahsante mkuu! Avatar yako inazidi kung'arisha njia ya mwezi kuandama!

Hommie kanigongee pale niweke kumbukumbu hi maneno haitoshi!!:becky:
Usipate tabu hommie! Shuhudia kwa hapa!
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:
Asprin (Today)​
Hahahahah mimi na Mzenj wangu mwezi lazima uonekane leo! Si unajua alikuwa amefunga sasa yale mambo yaleeeeeeeeeeee yalikuwa hayapo kwa mchungaji!

IDD Mubarak wote!

Mchungaji hebu piga sala mbingu zishuke kiduchu nipate kuuona mwezi vizuri!
 
Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.

Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.

Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.

Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!

Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!

Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.

KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!

:violin::violin::violin:

mkuu kwa huzuni nikafundua nikujua NDUGU YETU MKONO WA JK UMEMPELEKA AFGHANISTAN AMA SUDAN KUTUMIKIA JAMII...INSHALLAHA NAWE PIA FURAHA KUBWA ZIWAENDEE WALE WAUZAJI WA KITIMOTO PALE SINZA WALIOKUWA WAKISALI NA KUFUNGA MWEZI UISHE BIASHARA IRUDI KUNDINI
 
Kwa neema ya Mwenyezi Mungu, aliye na uwezo na mamlaka ya kila kitu juu na chini ya mbingu. Tunaungana na mitume na wapakwa mafuta wote Mwezi onekana tumechoka kukosa yale mambo muhimu.

Amen
 
Nadhani umeelewa sasa kwanini NI LAZIMA MWEZI UANDAME leo!!

Mi nilikuelewa toka kitambo tu kiongozi wangu!lakini sikuona kama ni tatizo sana!kwani wewe ulikuwa hupiti maeneo kimtindo japo kwa suna tu?
 
Kwa neema ya Mwenyezi Mungu, aliye na uwezo na mamlaka ya kila kitu juu na chini ya mbingu. Tunaungana na mitume na wapakwa mafuta wote Mwezi onekana tumechoka kukosa yale mambo muhimu.

Amen

Ameeeen!!

Ngoja nianze kuperuzi namba za ammmm Hawa, Zainab na Asha......Niliwamisi sana hawa asee!

Maskini kina Mary na Viki ntawakosa muda si mrefu manake jamaa zao ndio hivo tena Mwezi hauna jinsi lazima uandame leo LOL!
 
Mi nilikuelewa toka kitambo tu kiongozi wangu!lakini sikuona kama ni tatizo sana!kwani wewe ulikuwa hupiti maeneo kimtindo japo kwa suna tu?

Tatizo ile kitu haiwi tamu bila kuwa na Zainabu au Asha wangu kwa pembeni.... soma katikati ya mistari hapo kamanda!
 
Kwa neema ya Mwenyezi Mungu, aliye na uwezo na mamlaka ya kila kitu juu na chini ya mbingu. Tunaungana na mitume na wapakwa mafuta wote Mwezi onekana tumechoka kukosa yale mambo muhimu.
Amen
Ubarikiwe mtumishi!! Naunga na wewe pamoja na watakatifu wote.....Leo lazima uandame!
 
Hivyo, kuanzia kesho PSSSS..... zitakuwa nyingi kwenye bar na vilabuni....! Hata bei ya "Husband Day Care" itapanda...!

Aspirin, ''miss of the month'' :mabaamed walikosa watu wa kuwapeti peti?
 
Hivyo, kuanzia kesho PSSSS..... zitakuwa nyingi kwenye bar na vilabuni....! Hata bei ya "Husband Day Care" itapanda...!

Kweli mkuu tulikuwa tunakunywa kwa amani na kwa fraha hakuna bugdha sasa itakuwa full mbabanano.
 
skukuu lazima nguo mpya........mshanunua kwanza au mnataka kwenda kwa kina mwanahewa na chausiku na magwanda yaliyotumika muda mrefu! :confused2:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom