kwa wenye notice/maswali ya PCB

jakaeama

Member
Jul 12, 2013
23
2
jamani wana jf,tunawashukuru wale wote ambao kwa wakati wote wamekua wakitupa ushauri mzuri kuhusiana na masomo japo si wote tafadhari msituchoke, naomba mtu yeyote mwenye notes za pcb pamoja na maswali atusaidie kama anayo basi atuandikie link HAPA tuyadownload na kuyaona ili tuyatumie NB;kama huna mchango wowote ni afadhali uache kuuza sura hapa!!! ona aibu basi
 
Type www.google.com halafu search topic unayotaka kujua.kama ailipi type www.wikipedia.com halafu type topic mfano respiration.utapata notes kibao angalau hata zile basics.ni hayo tu lakini usitumie sana mtandao kusoma nenda library za mikoa au shuleni kwako utatoka
 
Ina maana vitabu vyote umemaliza kusoma au vp?
Tafuta vitabu usome ukikosa kabisa ndo uje uulize humu ndani
 
Back
Top Bottom