Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Kuna rafiki yangu baada ya kuhisi anatepeliwa na demu akaamua kupanga siku aende na demu wake mkono kwa mkono mpaka kwa dokta ili waitoe, demu alivyojua wateondoka na msela, ikabidi yule demu acheze dili na yule dokta kwamba apokee zile hela halafu wagawane.
Jamaa kufika demu wake, dokta akasema ni kweli na anatakiwa atoe hela, ikabidi msela ajikamue atoe.
Jamaa kuja kugundua aliingizwa mkenge alichoka, anakwambia wanawake si watu.
na mbunye alipigwa na doctor. Chezea co wewe!!