Kwa wanaume wasiopenda kuchunwa

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
Kutokana na ugumu wa maisha na ukame wa hali ya juu ktk vipima joto vya akina dada zetu, na waombapo msaada kwa mabasha zao hutoswa, hivyo wamegundua mbinu mpya ya kujipatia mkwanja mrefu kutoka kwa mabasha zao. Ifuatayo ndio mbinu husika;

demu anakuvizia umgonge, ukishamgonga anakaa wiki anaanza kukuletea story "oooh! Dear mi sizioni siku zangu, nahisi nina mimba", kesho yake anakwambia "nimeenda kupima nimeambiwa nina mimba, sasa dear utanisaidiaje ile hali unajua mi ni mwanafunzi? Au ni mfanyakazi ila kazini kwetu huruusiwi kubeba mimba mpa utimize miaka 3 ktk kazi kinyume na hapo unafukuzwa kazi. Kwa hiyo mi nataka niitoe hivyo naomba hela." ukimuuliza ni kiasi gani anakwambia 120,000/=. Kwa woga wa kuogopa kufungwa au kumuaribia maisha inabidi uitafute hiyo hela popote umpe. Kumbe hana mimba wala nini, ndo umetapeliwa hivyo mwanaume!
Je, umeshawahi kukutana na tukio kama hili?
 
ukitaka jua kama ni kweli au la wee mkubalie ukimuahidi kwamba unakwenda kumchukua ili ukampime wewe mwenyewe. Nadhani utasikia versions nyingine tofauti kabisa na madai yake kwa kuwa itakuja julikana kwamba hana hiyo mimba anayodai
 
yaani laki moja na ishirini ndiyo mpaka binti akutungie story ndiyo umpe? acheni ubahili vijana....

hebu waambie,yaani wengine akikupa 10,000 anakufatilia mpakaajilipe.ukiwa na shida ukimwambia anakwambia ngoja nikakope.
 
mkuu unachoongea hapo juu ni kweli kuna kademu ka chuo nilikapa mambo baada ya week mbili kakasema kana mimba yaani nikakapa Laki na nusu kakatoe kamekaa baada ya mwezi kakaniambia kalikua kananidanganya kalikuwa na shida na hela ndio maana kakaongea vile
 
Me huwa csahau kondom,
au
namwambia cku akiwa kwenye cku zake aniambie,
akishaniambia tu he he naanza kuhesabu cku ambazo uwezekano wa kupata mimba haupo then i will do ma favourite Game
 
kwa hiyo kwenye option ya pili unakula 'stereo'?
 
hebu waambie,yaani wengine akikupa 10,000 anakufatilia mpakaajilipe.ukiwa na shida ukimwambia anakwambia ngoja nikakope.

lazima utofautishe 'small boys' from 'real men' chameli... mtu anakukatia fwedha ya kutosha ya matumizi na haulizi ulizi kila saa uko wapi, uko na nani na unafanya nini... siyo kijamaa kinakupa shs elfu tano kinakufatiliaaaaa, siku kikikupata bila goli saba hakishuki...
 
Last edited by a moderator:
Watu mna hela yani yani yani mnatoa hadi laki na nusu kwa malaya lkn kuchangia JF hata buku 30 hamna wakati huku mnapata madini ya kutosha!!
 
Kutokana na ugumu wa maisha na ukame wa hali ya juu ktk vipima joto vya akina dada zetu, na waombapo msaada kwa mabasha zao hutoswa, hivyo wamegundua mbinu mpya ya kujipatia mkwanja mrefu kutoka kwa mabasha zao. Ifuatayo ndio mbinu husika;

demu anakuvizia umgonge, ukishamgonga anakaa wiki anaanza kukuletea story "oooh! Dear mi sizioni siku zangu, nahisi nina mimba", kesho yake anakwambia "nimeenda kupima nimeambiwa nina mimba, sasa dear utanisaidiaje ile hali unajua mi ni mwanafunzi? Au ni mfanyakazi ila kazini kwetu huruusiwi kubeba mimba mpa utimize miaka 3 ktk kazi kinyume na hapo unafukuzwa kazi. Kwa hiyo mi nataka niitoe hivyo naomba hela." ukimuuliza ni kiasi gani anakwambia 120,000/=. Kwa woga wa kuogopa kufungwa au kumuaribia maisha inabidi uitafute hiyo hela popote umpe. Kumbe hana mimba wala nini, ndo umetapeliwa hivyo mwanaume!
Je, umeshawahi kukutana na tukio kama hili?
Nani mjinga ale mautamu kwenye kiroba halafu baada ya wiki uniambie una mzigo wangu! haihusu, sema nyinyi mnaokula ngozi kavukavu lazima mtishiwe nyau na bado mtachunwa sana mpaka mtakapokubali kufuata kauli mbiu za serikali "Jizuie ukishindwa tumia Condom".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom