mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 520
mwanaume kama hakupendi yaani hata ufanye vipi hatakupenda na atakupa shida sana ila kwa mwanamke mmejaaliwa kujifunza kupenda ndo so vumilia hata kama humpendi jifunze kumpenda na utaona matokeo yake utampenda tu mwenyewe kama unataka mateso kuwa na mwanaume ambaye hakupendi utajuta kuzaliwa.Wanaume tunanyanyasa sana kwa wanawake tusiowapenda na kwa tunaowapenda wanatupelekesha kama mang'ombe