kwa wanaume tu

Mi nahisi wachache sana wanaopendana kwa dhati,Lkn wengi wao mmoja anampenda mwenzie kwa dhati alafu mwenzie yuko 50 50.Hii ipo hadi kwenye ndoa.
 
utajicontroll vipi na wewe ukipenda unapenda JUMLA????????

Hapo sasa ndo shughuli inapoanzia, labda kuna njia unazozifahamu zitakazo nisaidia kupunguza wivu, please help
yaani naumia sana ninapoachana na mwanaume ninaempenda
 
1.mwanamke akipenda WIVU atakuwa nao
2.Wanaume wachache wanaoweza kuvumilia kero za WIVU. Matokeo yake......NAKUACHA.

Ninahakika asipoonyesha kuwa na wivu na wewe utaanza kuhisi hana upendo wa kwel kwako.
 
... je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.

Wakati bado natafuta maana ya "mapenzi ya dhati" Naomba nipost hivi : Mwanamke anayeonyesha mapenzi ya dhati ni mnafiki! Mapenzi ni noun and verb - Unatakiwa uishi mapenzi na siyo kuonyesha mapenzi... Wanaume hawahitaji zawadi and the likes ili ku-harness mapenzi bali wanahitaji penzi ili kupenda kwa dhati..

Jioni Njema
 
hili nalo neno, kuishi mapenzi ndo kupi huko, ni nilidhani kumuonesha mapenzi ndo atatambua kuwa nampenda

kwangu mimi kumuonesha mapenzi ni pamoja na kumjali, kumpa attension ya ukweli na mengineyo
 
ni kama kaformula kamapenzi hivi, unapopendwa mara nyingi ndo hupendi na unapopenda ndo hupendwi.
usijali, hukufanya kosa kuwaonesha mapenzi (caring) hao ulowaacha na naamini hyo haikua sabab yawao kukuacha,labda waotu hawakukupenda.
 
Kuna kitu kinaitwa mvuto. Yaani hata kama mtu unampenda sana usitake kumuonyesha kuwa unampenda saana na huwezi ishi bila yeye. Mjali, ongea naye vizuri, msikilize, lakini linapokuja suala hukubaliani nae, mwambie wazi wazi tena straight. Mwonyeshe kuwa uko focused zaidi na maisha, sio na yeye. Usipende kubip bip au kupiga kila saa. Sometimes akikupigia mpotezee, then unakuja kupiga masaa kadhaa baadae, unamwambia kuwa ulikuwa bize na shughuli fulani ya maana, so hukuona call yake. Au unaweza kupokea then, ukamwambia kuwa, sory, kuna kitu cha muhimu nafanya hapa, nitakupigia baadae, I love you, bye.. Ukifanya hivi utajenga mvuto fulani na kila saa atakuwa anakuona mtu wa maana na focused na maisha, na atatamani kuwa na wewe. Atakuona kama mtu ambaye uko siriaz na unaweza kutunza familia ikitokea,
Lakini kama unampenda mtu alafu kila saa unataka kuongea naye, kila saa kuwa naye, kila saa unaongelea I miss you, I love you.. atakuchoka na kukuona huna maana. Automatically atakuona cheap na low grade na atakuacha. Hapa sijamaanisha kuwa mvuto, ndo basi umchunie siku mbili au tatu hujampigia, la, ila ikibidi umpigie, au unataka kusikia sauti yake, piga alafu jifanye unaulizia jambo la muhimu. Kwa mfano piga msalimie, mwambie nimekumiss alaf mwambie nilitaka unishauri labda mtu aliyemaliza form four hajapata shule, kipi cha maana kati ya secretarial na hotel management course. Akikuuliza vipi, mwambie kuna mdogo wangu nilitaka nimtafutie chuo hapa.
Jambo jingine ni kuwa usitake kwenda kwake bila sababu. Kwa mfano mwambie kuwa kama uko hom, nitakuja mara moja kukuletea zawadi yako then nitaondoka maana nataka kwenda so and so, ukitaja hata sehemu za ukweli. Hii itamfanya akuone kuwa unamjali, alafu pia uko bize. Lakini kama unataka kumuonyesha kuwa uko bize, usijisahau ukamwonyesha uko bize na mambo yanayowashirikisha sana wanaume, bali mambo ya kijamii na kielimu. Kama wewe ni mfanya kazi mwonyeshe kuwa kazini kwako uko bize na unathaminiwa. Mwonyeshe kuwa mara nyingi una homework. Katika hali kama hiyo mwache yeye ndiyo apropose kwenda out, na usikatae, bali mwambie kuwa japo nina vijishughuli vya muhimu hapa, then nitakwenda kwa sababu nakujali wewe.

Usitake kumuonyesha kuwa unapenda starehe, bali usijionyeshe kuwa anti-social. Hata kama unapenda kujirusha, lakini siku zote onyesha kuwa unajirusha tu kwa sababu yake, na ukiwa mwenyewe au na watu wengine hauenjoy. Siku zote omba msaada wa mawazo kwake, na epuka kuomba msaada wa ela mara kwa mara. Hakikisha kuwa akikupa elfu 10, basi 2 zinarudi kwake kwa njia ya zawadi au kulipia bill. Sometimes jifanye kuwa una shida kubwa ya hela kiasi fulani, na akikupa, nenda kamnunulie zawadi, tena ikiwezekana ongeza na ya kwako, alafu unamwambia kuwa nilikuomba ile hela kwa sababu niliona hiki kitu fulani nikatamani uwe nacho lakini sikuwa na hela ya kutosha. Hii itamfanya aone kuwa unamjali.

All in all, kumpenda mtu kusimfanye akuone mzigo au kero, bali kuwa na mvuto fulani wa kutaka kukuona kila saa.

nitaendelea baadae...
 
1.mwanamke akipenda WIVU atakuwa nao
2.Wanaume wachache wanaoweza kuvumilia kero za WIVU. Matokeo yake......NAKUACHA.

Umenena sawia tunakimbizwa na wivu maana mwanamke akikupenda basi hata salam usisalimie mwanamke unaemjua.......
 
asante sana mkuu Tuko nimejifunza kitu hapa, ubarikiwe sana
 
Shule ya uhakika hii,Ahsante!
 
ni mejikuta naingia hapa kumbe ni wanaume tu..
Mama mpende anayekupenda asiyekupenda achana nae
 
Tuko u wapi rudi jamani umalizie kutoa shule, ndugu yako nakonda nikiachwa
 
Mimi nafikiri caring na attention kila mtu anapenda, mwanamke au mwanaume. Ila wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake ambao watakuwa wamewazidi ki-elimu na kimapato. Wanasema mwanaume ni kichwa cha nyumba, so atafurahi akiwa kichwa kwa kila eneo!

Ushauri wangu kwako Chimala, tulia sasa, umwombe Mungu akupe mume utakayeishi naye mpaka hapo kifo kiwatenganishe! Kila la heri!
 
Re: kwa wanaume tu

Hapo kwenye bold wanaongezea mwanamke ni shingo ya nyumba anakipeleka kichwa anapotaka!!!
 
Yapo mambo mawili ambayo yamejinga kwenye vichwa vya baadhi ya wanaume siku hizi. Cha kwanza wanaamini kuwa wanawake wengi wanapenda zaidi ela na starehe, na sio mapenzi. Na pia tunaona kama wanawake wengi wanapenda kuolewa tu na sio mapenzi. Jihadhari usionekane kama una hata lengo moja kati ya hayo. Onyesha kwa mwanaume kuwa unathamini sana ela na uwe unamshauri apunguze starehe. Akikutoa kwenda kula piza ya sh 30,000/= mwambie no... kwanini tusiende tu hapo mgahawani tukala chakula cha kawaida, alafu hivyo vitu vikubwa tukafanya siku maalumu tu. Kama kweli anakupenda utashangaa siku anakupeleka sehemu ya matawi ya juu kwa surprise. Kama unakunywa pombe, ukiwa nae mwangalie yeye kwanza anakunywa nini. Kama anakunywa pombe, basi usijivunge, na wewe kunywa asije akakuona mnafiki, ila kama hanywi, take care kumsoma namchukuliaje mtu anayekunywa, kama yuko neutral, then kunywa ili akuone kuwa unajiamini. Usimuachie yeye tu kulipa bill. Kama unajua mtatoka, jitahidi kupata vijisent kadhaa, na mkiwa kwenye starehe, lipia kitu chochote kimoja wapo, hata chumba (kama mtahitaji faragha). Hii itamfanya akuone kuwa unastarehe sio kwa sababu ya pesa zake, bali unapenda kustarehe.
Usipende sana kumsisitiza kuhusu ndoa. Usipende kudiscuss naye juu ya ndoa za rafiki zake au zako. Usipende kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtarajiwa wako au wewe ndiye mtarajiwa wake. Usimtambulishe hivyo kwa ndugu au jamaa. Mtambulishe kama rafiki yako wa kiume, basi. Ukiongea naye kuhusu ndoa mwambi ... mi napenda baadaye maisha yangu ya ndoa yawe hivi na hivi.. napenda niwe na mwanaume mwenye tabia nzuri kama za kwako.. Akikuuliza kwa ni huna uhakika kuwa atakuwa yeye..., mwambie yote ni mipango ya Mungu, lakini ungefurahi sana kama akiwa yeye...

Kama unataka akununulie kitu, mwombe akusindikize shopping. Ukifika kule mwambie kuwa una shilingi kadhaa na unataka kununua kitu fulani (hata kama hizo hela alikupa yeye), then chagua kama ni nguo au chochote, jaribu, akikwambia umependeza, jifanye kuulizia bei.. then akiwa kubwa kuliko ulizo nazo, usitake kumwambia akuongezee, bali sema ok,
000
\

Umeme umekatika, UPS yangu inaisha chaji, kwa heri...
 
Back
Top Bottom