Kwa wanaume tu-offer ya wkend

Asante Smile kwa ushauri murua ila umenikwaza kwa kutupa na madongo pia, you seem to be a good sister lkn unapotoa ushauri mzuri kama huo usirushe madongo, ujue binadamu tuna tabia ya kuacha mazuri na kuhesabu mabaya, si unaona watu wameanza kukurushia kashfa badala ya kushukuru kwa kuwashauri?
Kwea wana JF wote na makaka; hatuwezi kupokea ushauri au kukataa hadi tumrukie mtu kwa kashfa? Mbona ushauri wa Smile ni mzuri tu, tena **** wengine watapona tu. TUJIFUNZE KUWA POSITIVE!
 
asante smile kwa ushauri murua ila umenikwaza kwa kutupa na madongo pia, you seem to be a good sister lkn unapotoa ushauri mzuri kama huo usirushe madongo, ujue binadamu tuna tabia ya kuacha mazuri na kuhesabu mabaya, si unaona watu wameanza kukurushia kashfa badala ya kushukuru kwa kuwashauri?
Kwea wana jf wote na makaka; hatuwezi kupokea ushauri au kukataa hadi tumrukie mtu kwa kashfa? Mbona ushauri wa smile ni mzuri tu, tena **** wengine watapona tu. Tujifunze kuwa positive!
sawa mkuu ila mnaudhi bwana hatupumui mjini huku
 
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:
Ushauri safi, utanikuta Mlimani city unishauri zaidi
 
Umesahau kutushauri tuisonyoa mavuzii. Je yatupasa tuyachane au tuyasuke?
 
Back
Top Bottom