Kwa wanaume tu-offer ya wkend

UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?

umesahahu harufu kali ya kufuli zetu..................wengi hawana tabia ya kuzibadilisha kila siku na zinatoa shombo barabarani.......lol
 
Smile Umenichekeshaje? lol.... Haya bana, hope walengwa wamezingatia ujumbe huu wa Msingi.... :biggrin:

umefurahia tukisagiwa siyo.........................ngoja nikusanye nguvu kujibu mapigo..........lol...........utanuna hivi karibuni........
 
kwa iyo wewe umefanya bifu r? acha izo

siyo bifu............................Asha hupenda kulalama kwamba huwa mada nyingi humu ni za kuwaelemea......sasa naona leo kaburudika..............................mbona smile hujibu swali langu?
 
Huu mji sina appetite nao kabisaa kwa sasa.............lbda nikiweza kuafford kuwa na kiyoyozi home, kwenye gari na kwingineko ...............for the time being nitaendelea kuishi hukuhuku Makete!

hapa akamnda umenena mji una joto hata kuwa na demu
kama gesti yenyewe ni ya feni au banga boy ni kimeo
yaani bora tu uhamie sehemu nyingine kama Arusha karibu bwana
 
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:

Deodorant ipi ya nivea unayoongelea wewe? Mbona zipo nyingi za ukweli balaa, watu wanapewa mikomplimenti ya kumwaga:lol:, ila kuna moja hivi duh, ukipigwa na jua ndo inakuwa balaa zaidi
 
Kama Bwana wako ni mchafu na ana tabia hizo muambie tu usizunguke kutuponda wanaume wote lol!
 
mmh jaman... tha ndo nn hvyo, tatzo ni mwanaume ulienae.!! et deodornt ya buk 3, akat 2natumia za 20 kwenda juu.. Jarib kumchange hyo mchz af unletee jib

hapo ni kutaka kujifananisha na kuiga staili za maisha, kwani ni lazima kutumia vipodozi kama haikuwa staili yenu?? Acheni kuigiza kama hamna uwezo. ndiyo mwanzo wa matatizo ya kukosa hata uaminifu katika mahusiano
 
Back
Top Bottom