LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:
Wanawake wengi ni wabinafsi sana... mwanaume yuko busy anatafuta mkwanja.....anampatia mke pesa kuazia ya vocha mpaka ya shopping..... lakini cha kushangaza mwanamke akienda kwenye hayo maduka ya nguo hata kumchagulia mzee kapea ka soksi anaona shida..anajinunulia tu mwenyewe labda na watoto......utakuta mme wake yuko vululu vululu hatamanishi kuanzia harufu ya mdomoni mpaka nguo...... Smile kama unatafuta mchumba kuwa makini maana wanaume wanaonukiaga sanaa...na wasafi sanaaa wengi wao sio rizki...au kuna kitu wanaficha. Mwanaume lazima uwe na kaarufu ka kiume bana...simaanishi kunuka.