Kwa wanaume tu-offer ya wkend

Smile hao wanaumme unaowazungumzia ni wale wasukuma mikokoteni,wafagiaji maofisini na vyooni,wafagia barabara,wabeba zege,wasukumiza maguta,beba beba miatano ehehe mia tano,sidhani m/me wa ppf tower ofc au bank awe hivyo!!!!
 
smile hao wanaumme unaowazungumzia ni wale wasukuma mikokoteni,wafagiaji maofisini na vyooni,wafagia barabara,wabeba zege,wasukumiza maguta,beba beba miatano ehehe mia tano,sidhani m/me wa ppf tower ofc au bank awe hivyo!!!!
wapi watu kwenye lift unatamani ufe?
 
Dada umesema kweli, mie nakubaliana nawe coz sometimes sie wanaume tuko very rough ile mbaya hadi saa zingine nawahurumiaga kina dada coz unakuda dada wa watu kajipendezesha halafu janaume lake liko kiiaina tu. Anyways ujumbe wako umefika mimi binafsi nitaufanyia kazi japo huwa siendi kwenye viti virefu mie mitoko yangu weekend ni church mwanzo mwisho.
Alll the best over this veekend
 
Smile, dont overdo anything and if you have to then take precaution. Better to be safe than sorry. Have fun in your weekend!
 
Smile unataka wanaume wote wapendeze ya nini?? Utawapeleka wapi wakipendeza wote? si huyo mwanaume wako anatosha tu kupendeza??
 
limewagusa washikaji fulani hivi...

yani limegusa mahali pake maana kweli baadhi yetu tunatisha kama sio kuaibisha
Kiwapa sijui kinakuwaje bana
Na wengine eti madai wagumu ndo maana wamekaa hivyo hawajipendi

papaa ya arsha ambia iyo mijaluo hapo na masai waoge bwana air pollution jamani

Ujumbe utakuwa umefika usiwe na wasi wasi watakuwa wamesikia na kurekebika
 
Smile
Utafikiri Leo ulipita hapa Mtaani kwetu, Kuna fundi nilimpa kazi ya marekebisho fulani toka J3, Kila siku anakuja ofcn na fulana hiyo hiyo. Akiingia Ofcn akitoka Hapafai.Ni mtu wa makamo zaidi yangu, Halafu ni mtumishi sana, chenji anarudisha lakini maji Hapatani nayo. Leo nilipania kumweka kitako, lakini nimeshindwa, ila nimemuweka kiporo.
 
Back
Top Bottom